Tetesi: Zanzibar Kwachafuka,..

Tetesi: Zanzibar Kwachafuka,..

Hatuombi yatokee mabaya hayo ila, naona muvie hii inaongozwa ki-ccm zaidi. CUF wamekaa kimya mno wenzao wanataka kuwa pekenyua mpaka watoke waliko.
Mola na aseme na wakuu wetu, wasiyachukulie kijuu juu maneno haya kwani hata roho ya taahira kichaa ina thamani mbele za Mola wetu. Tutadaiwa. Kwani ni lazima mtu uongoze?? Hukuzaliwa kuongoza, na kama unaotaka kuwaongoza vyema hawataki basi waache walione wenyewe. Mtoto akililia wembe, mpe. Natamani muwape hayo mamlaka kamili yao wanayolilia.
Bara tupo macho, Mmburushi wala Mmanga haingii pale, iwe kwa mlango wa msaada wala dini. Tutawapiga tuu. Lakini, mzalendo wa kweli mwenye uchungu na Zanzibari, asiguswe. Awe Mpemba au Muunguja, asiguswe kwa ajili ya kukusaidia weye ukae madarakani
 
Haya huo uchawi wako na fujo ziendelee tu utaona matokeo yake na tija ya ushabiki wako utaipata.
Kuna kazi kweli kweli kama kuelewa jambo dogo namana hii inakuwa shida ndiyo mnaweza kuelewa kwamba CCM huwa wanaiba kura na sasa wameshindwa kuiba za dar es salaam wanaleta mauza uza!?
 
Kwa hiyo unafurahia machafuko?
Hapana Mkuu. Nimemsifia huyo anayedhani kwamba wapinzani wa CCM ni halali kupigwa au "kukomeshwa". Sifurahi machafuko lakini ki ukweli kabisa mimi sipo kwenye nafasi ya kuyazuia bali wale walio kwenye madaraka ndiyo wana nafasi hiyo!!
 
Hao ni ccm ndio wanaojichomea ofisi zao wenyewe ili iwe sababu ya kupeleka majeshi Zanzibar.
 
Ee Mungu wangu!Wape ufahamu wazanzibar wa kukuogopa na kufuata haki iliyo wazi,epusha mungu uharibifu wowote usitokee.Ameen
 
Wacha tuwe wajinga wazanzibar kwa kutetea maslahi ya wazanzibar,ila mkataa kwao ni mtumwa rejesheni tanganyika yenu mkate minyororo ya mkoloni mweusi fisiem
Kwani unguja sio zanzibar au?
Hakuna cha haki wala uzanzibari hapo Bali upemba na uoman tu,
Waambie hayo wale wasioelewa kiini, pia wewe tangu lini UKAWA ikawa zanzibar na sio monduli?
 
Hapana Mkuu. Nimemsifia huyo anayedhani kwamba wapinzani wa CCM ni halali kupigwa au "kukomeshwa". Sifurahi machafuko lakini ki ukweli kabisa mimi sipo kwenye nafasi ya kuyazuia bali wale walio kwenye madaraka ndiyo wana nafasi hiyo!!
Acha unafiki
nawe unafurahia
ajabu yakitokea sijui nani anae umia
 
Kampeni zimekwisha bado tu hamjabadili lugha zenu za jalalani?
Hujaelewa kwakuwa umejiunga na mazuzu
nawe umekuwa zuzu
kujamba nineno lipo hata kabla ya Lowassa kujinyea,
hapa mada mnae shangilia
msubiri kuona ni jecha au nani atakaye jambishwa
 
Unatafuta kick JF... Huna kazi unatanga tanga kama kiwavi... Hopeless kabisa bora waliokuvamia kipindi kile wangekupasua bichwa lako hilo lililojaa usaha....
Hahaha unafurahisha vichaa wenzie
mimi sitafuti kick kama mlivyo nyie majuha
mnapongezana humu jf mnajiona vidume kumbe kundi la vibogoyo

Lolote la hovyo mkipost humu lazima tuwakemee kunguni nyie
Ukimuona poyoyo kama wewe anapongezwa na poyoyo mwenzie
ujue Mna laana na ningumu kupona
 
Back
Top Bottom