Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Katiba hairuhusuVikosi Vya SMZ Viko Wapi Au Ndio Wanasubiri MSAADA Toka BARA?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katiba hairuhusuVikosi Vya SMZ Viko Wapi Au Ndio Wanasubiri MSAADA Toka BARA?
Steringi wake ni ngoooshaaangoja tuone haka kamovie..
Na udhalimu wa ccm ndio mwisho wake hapoSafi sana!! Hakuna marefu yasiyo na ncha!!
Kwa issue ya zanzibara hata kijinga cha moto kinafaa ili moto ukolee mapema ili chakula kiive na watu wapate shibaAiseeeee.. Hata msitu Mkubwa huanza kwa kuungua sehemu ndogo tu! Yaani njiti moja inaweza teketeza malaki ya kilomita za Mraba!
Waarabu ndio nani? Jinga nyambafu weweSafi sana Wazanzibar kwa kuakikisha nchi yenu amuirudishi kwa waarabu tena. Mapambano yaendelee wazalendo tupo nyuma yenu.
Hata mi sijui kwanini wakati ndo fyoko fyoko zenyewe sasa.....:..........sasa mkuu kwanini wachome ofisi za ccm
Lowassa ndo mleta fyoko fyoko? si bure mimba ya lowassa inakusmbuaUkweli ambao ni mchungu sana kwa watu wengi, ni kwamba Zanzibar hayatatokea machafuko.. Kuna watu wengi wanaombea yatokee ili kuikomoa serikali ya CCM, lakini serikali imejipanga na inatumia uoga na utu wa Watanzania kama silaha... Uchaguzi utafanyika, CCM itashinda na watakaoleta fyokofyoko watakuwa contained mapema kabla hajaleta madhara.... Kwa hali ya kisiasa ilivyo Zanzibar mpaka sasa kila mtu ana mtu tayari.
Tutulie, tujenge nchi.... Katulizwa Lowasa na katulia.
Mazombie hao wanafnya mrejesho kwenye ofisi zaoHao wahuni watanyooshwa tu ngoja watoto wa kiume kesho waanze kuvuka maji waje mtaisoma namba.
Hivi UKAWA mbona mnapenda sana kushabikia machafuko!?
Nyinyi si ndio mnajifanya wanyonge!!? Unadhani wataumia zaidi yenu nyinyi?
mkuu anafikiria na matako shoga huyo....si angechangiwa na sisiemu yake kumbafu zakeKuotea nini kwani wewe si fukara? Au ushasahau tulivyojitolea ulipofyekwa mapanga?
Laana sana wewe
kama spartacuseHiyo movie ni ndefu sana haiishi saa hizi
Wakinq Bakharesa, manji, dewigj, karimjee(Toyata Tanzania) wa oilcom ,homeshopping, abood bus ehh ehhSafi sana Wazanzibar kwa kuakikisha nchi yenu amuirudishi kwa waarabu tena. Mapambano yaendelee wazalendo tupo nyuma yenu.
Mzalendo hafanani na haya uliyo andika, mzalendo ana upendo na busara, mzalendo hana unafiki, Karume alikuwa rais wa nchi hiyo na ni muarabu mlikuwa wapi kulisema hilo?Safi sana Wazanzibar kwa kuakikisha nchi yenu amuirudishi kwa waarabu tena. Mapambano yaendelee wazalendo tupo nyuma yenu.
Mbadala wa makaratasi!sasa mkuu kwanini wachome ofisi za ccm
Pichazzz plzMaskan za ccm za chomwa moto kisiwa kidogo cha TUMBATU.
Chanzo: Muhusika aliyepo Zanzibar.