Tetesi: Zanzibar Kwachafuka,..

Tetesi: Zanzibar Kwachafuka,..

Aiseeeee.. Hata msitu Mkubwa huanza kwa kuungua sehemu ndogo tu! Yaani njiti moja inaweza teketeza malaki ya kilomita za Mraba!
Kwa issue ya zanzibara hata kijinga cha moto kinafaa ili moto ukolee mapema ili chakula kiive na watu wapate shiba
 
Ukweli ambao ni mchungu sana kwa watu wengi, ni kwamba Zanzibar hayatatokea machafuko.. Kuna watu wengi wanaombea yatokee ili kuikomoa serikali ya CCM, lakini serikali imejipanga na inatumia uoga na utu wa Watanzania kama silaha... Uchaguzi utafanyika, CCM itashinda na watakaoleta fyokofyoko watakuwa contained mapema kabla hajaleta madhara.... Kwa hali ya kisiasa ilivyo Zanzibar mpaka sasa kila mtu ana mtu tayari.

Tutulie, tujenge nchi.... Katulizwa Lowasa na katulia.
Lowassa ndo mleta fyoko fyoko? si bure mimba ya lowassa inakusmbua
 
Kuotea nini kwani wewe si fukara? Au ushasahau tulivyojitolea ulipofyekwa mapanga?

Laana sana wewe
mkuu anafikiria na matako shoga huyo....si angechangiwa na sisiemu yake kumbafu zake
 
Kuna video moja fupi ya All shabab nimeiona Leo,Yale maneno waliyoyaongea kuhusu Zanzibar yamenitisha,Magufuri ingilia kati ishu ya Zanzibar watu wasijepata pa kuingilia
 
Tatizo kubwa ni kwa CCM kuwa kama mtoto mchokozi anayetembea barabarani akiwa ameambatana na mtu mzima mpumbavu.
Akiwaona watoto wadogo wenzake anawachokoza kwa kuwarushia mawe na kuwapiga kwa kujidai kuwa yuko na mtu mwenye nguvu. Hali inayojenga visasi vya kuviziwa wakati akiwa peke yake.

CCM wametawaka kwa miaka zaidi ya hamsini lakini wameshindwa kujenga misingi imara ya amani inayowwza kuwafanya wapumzike kwa amani na hata wakifa makaburi yao yapaliliwe yaaiote nyasi endapo wapinzani wataingia madarakani.
Kwa muda wote taifa lilikua na amani inayotokana na utu wa watanzania maskini na wanyonge huku viongozi wakiwaza kutawala tu na kujineemesha na familia zao.
Wakasahau kujenga misingi ya haki na uhuru.
Woga wa makada walafi na walevi wa madaraka ndani ya CCM dhidini ya wapinzani ni kupoteza maslahi yao.

CCM wanaishauri vibaya serikali kwa kuvuruga sheria na kukiuka misingi ya haki kwa kutegemea majeshi.
Bila kujua kuwa suala la kupotea kwa amani ni pale jeshi linapotumia silaha dhidi ya wananchi kwa lengo la kulinda kakundi kadogo kanakonufaika madaraka. Kupotea kwa amani sio kwa jeshi tu kushindwa bali hata pale jeshi linapozunguka mitaani na mizinga na vifaru ni kielelezo cha kupotea kwa amani.
Haki na demokrasia ikisimamiwa ipasavyo haya kamwe hatatokei.
Marekani ina watu wengi na wakorofi na jeshi kubwa na lenye kila aina ya vifaa kuliko Tanzania lakini huwezi kusikia vurugu na vitisho vya watawaka kutumia majeshi kwa lengo la kushinda kwa chama kinachokua madarakani.
Hali hiyo ndiyo inayosababisha hata wananchi wakorofi kama walivyo baadhi ya Wamarekani kuamini kuwa hakuna hujuma zinazofanyika wakati wa uchaguzi.

Matumizi na vitisho wakati wa uchaguzi ndio yanayofanya watu wakose imani na maamuzi na matokeo yanayotolewa wakati wa chaguzi au chafuzi za nchi nyingi za kiafrika.

Tatizo kubwa ni wizi na ufisadi unaofanywa na watawala wa nchi za kiafrika na mwishowe kuogopa kuwa watakosa usingizi endapo wapinzani wao watatawala.
 
Safi sana Wazanzibar kwa kuakikisha nchi yenu amuirudishi kwa waarabu tena. Mapambano yaendelee wazalendo tupo nyuma yenu.
Wakinq Bakharesa, manji, dewigj, karimjee(Toyata Tanzania) wa oilcom ,homeshopping, abood bus ehh ehh
 
Safi sana Wazanzibar kwa kuakikisha nchi yenu amuirudishi kwa waarabu tena. Mapambano yaendelee wazalendo tupo nyuma yenu.
Mzalendo hafanani na haya uliyo andika, mzalendo ana upendo na busara, mzalendo hana unafiki, Karume alikuwa rais wa nchi hiyo na ni muarabu mlikuwa wapi kulisema hilo?
 
Back
Top Bottom