Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 40,051
- 51,217
Heppi Iddi. Yaani mpaka sasa sijapata mualiko popote pamoja na kukariri aya za Koran wiki nzima. Mpaka mchepuko wangu haujanialika. Anyways.
Ukiachana na hayo safari toka Zanzibar kwenda Dar ndio inatambulika kama fupi zaidi kwa ndege ambapo abiria anaweza kufanya booking moja kwa moja.
Kwa kutumia lile jidege letu kubwa kabisa inachukua dakika 16 tu.
Watanzania tuna mambo mengi sana ya kuyafanyia utalii ila kama alivyosema Rais Mwinyi uchumi wetu tumeukalia.
Bodi ya utalii mkowapi kulikuza hili mpaka waje wazungu kutuambia mambo tuliyonayo?
Au bado tumelala usingizi kama babu zetu ambao wameishi na mlima Kilimanjaro wakaja wazungu kuugundua wao.
Tujisahihishe.
View: https://youtu.be/90OYuupWkks?si=W81IGqRljeTtG0xx