Dakika 16 tu?Kwa hiyo hata mtu anaweza kukurushia samaki kutoka Zenji ukamdaka ukiwa Kijiwe Samli Daslamu?Heppi Iddi. Yaani mpaka sasa sijapata mualiko popote pamoja na kukariri aya za Koran wiki nzima. Mpaka mchepuko wangu haujanialika. Anyways.
Ukiachana na hayo safari toka Zanzibar kwenda Dar ndio inatambulika kama fupi zaidi kwa ndege ambapo abiria anaweza kufanya booking moja kwa moja.
Kwa kutumia lile jidege letu kubwa kabisa inachukua dakika 16 tu.
Watanzania tuna mambo mengi sana ya kuyafanyia utalii ila kama alivyosema Rais Mwinyi uchumi wetu tumeukalia.
Bodi ya utalii mkowapi kulikuza hili mpaka waje wazungu kutuambia mambo tuliyonayo?
Au bado tumelala usingizi kama babu zetu ambao wameishi na mlima Kilimanjaro wakaja wazungu kuugundua wao.
Tujisahihishe.
View: https://youtu.be/90OYuupWkks?si=W81IGqRljeTtG0xx
Umewahi kusafiri kwa ndege toka Brazaville kwenda Kinshasa? Ni dk 3Heppi Iddi. Yaani mpaka sasa sijapata mualiko popote pamoja na kukariri aya za Koran wiki nzima. Mpaka mchepuko wangu haujanialika. Anyways.
Ukiachana na hayo safari toka Zanzibar kwenda Dar ndio inatambulika kama fupi zaidi kwa ndege ambapo abiria anaweza kufanya booking moja kwa moja.
Kwa kutumia lile jidege letu kubwa kabisa inachukua dakika 16 tu.
Watanzania tuna mambo mengi sana ya kuyafanyia utalii ila kama alivyosema Rais Mwinyi uchumi wetu tumeukalia.
Bodi ya utalii mkowapi kulikuza hili mpaka waje wazungu kutuambia mambo tuliyonayo?
Au bado tumelala usingizi kama babu zetu ambao wameishi na mlima Kilimanjaro wakaja wazungu kuugundua wao.
Tujisahihishe.
View: https://youtu.be/90OYuupWkks?si=W81IGqRljeTtG0xx
Nauli ni faranga/franga/amafranga ngapi?Umewahi kusafiri kwa ndege toka Brazaville kwenda Kinshasa? Ni dk 3
Mhi data za wapi hizi?Dar to Zanzibar kilometers 85 tu. Ni jirani kuliko Dar Chalinze.
Hakuna safari za ndege kati ya kinshasa na brazzaville ni boatUmewahi kusafiri kwa ndege toka Brazaville kwenda Kinshasa? Ni dk 3
Ila magreat thinker wapewe mbingu yao kabisa😂Hakuna safari za ndege kati ya kinshasa na brazzaville ni boat