Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
Maajabu Ni kuwa wote walikuwepo enzi zile za gizaMabibi na mabwana inatia moyo sana tunapokuwa na serikali sikivu kama za awamu hii. Madhali haya mambo ni hiari ya mtu, kwanini tupangiane?
View attachment 1785261
Wewe hutaki chanjo? Si ubakie bila kuchanjwa? Kwani pilipili usizozila zikuwashe wewe vipi?
![]()
Heko Dr. Mwinyi na Mama Samia. Mdogo mdogo tutafika tu.
View attachment 1785265
Heko Mufti Mkuu kwa kuliweka wazi, tunao wajibu wa kuzilinda afya zetu.