Zanzibar: Mahujaji Kupata Chanjo ya Corona

waambie wanachokitafuta watakipata.
Huyu jamaa ni mnafiki kiwango cha lami...
IMG_20210514_191439.jpg
IMG_20210514_191437.jpg
 
Wewe umechanja? Au unatumika tu kama condom?!!

Umeamka bado na wenge kichwani? Hii awamu ya sita. Jikumbushe:

IMG_20210515_070726_153.jpg

Upate kutambua mburula wa Chatto wewe kuwa awamu ya tano haipo tena.

Hiiiiii bagosha!
 
Kipindi hicho ukivaa barakoa unaonekana msaliti, , jk peke yake ndo aliforce kuvaa na alisemwa mno

JK ni dume kama walivyo waliompigia kelele mwendazake na sera za kirugaruga akiwa mzima na hata alipokuwa kaburini.

Tofauti na Kikwette, JK Nyerere asingemwacha mtu pori kutuharibia nchi kiasi kile achilia mbali hata kuupewa urais.
 
Watapatia wapi chanjo na hapa nchini tumeomba sana tupatiwe chanjo na mpaka sasa chanjo hakuna. Wajitahidi kupiga nyungu.
 
Unafiki huwa upo tu Duniani ila kwa Bakwata huwa wanaupeleka New level
 
Umeamka bado na wenge kichwani? Hii awamu ya sita. Jikumbushe:

View attachment 1785482

Upate kutambua mburula wa Chatto wewe kuwa awamu ya tano haipo tena.

Hiiiiii bagosha!
Tunaendelea na awamu ya sita mkuu. Nyinyi wapiga domo tunawacheki tu na kusema hiiiiiiii.. nipo napata supu yanguvu sijui wewe uko kwa Mtogole au??!!
 
Watapatia wapi chanjo na hapa nchini tumeomba sana tupatiwe chanjo na mpaka sasa chanjo hakuna. Wajitahidi kupiga nyungu.

Chanjo inakuja. Aliyekuwa akiipiga vita mwenyewe hakujua kuwa aliihitaji mno. Madhali sasa hayupo na tume ya mama haiitaki upumbavu, utekelezaji wa ushauri wake: "mwenye macho haambiwi tazama."
 
Kama ni chanjo kweli ije tu unless kama unalako jambo au unampango wakuleta chanjo feki nini??!! Nakuona umeng'ang'ania kweli kweli. Vipi umepewa tenda nini ya kuleta chanjo feki kutoka majuu??
 
Tunaendelea na awamu ya sita mkuu. Nyinyi wapiga domo tunawacheki tu na kusema hiiiiiiii.. nipo napata supu yanguvu sijui wewe uko kwa Mtogole au??!!

Niko raha mstarehe katika awamu ya 6. Mola katuona na kutupa "Suluhu" ya matatizo yetu.

Niko Chatto nafanya utalii wa ndani nijiridhishe haya mabati na shujaa, Matumizi ya international airport, Maendeleo Burigi, Hospitali ya rufaa, Chatto kuwa mkoa nk.

Pamoja na uote hayo nikifuatilia alipo Sabaya na Suluhu kafika wapi na matumizi sahihi ya wataalamu kwenye mambo nyeti bila kuisahau chanjo hii muhimu sana kwa maisha ya binadamu.

Habari ndiyo hiyo ndugu yangu msukuma.

Hiiiiii bagosha!
 
Kama ni chanjo kweli ije tu unless kama unalako jambo au unampango wakuleta chanjo feki nini??!! Nakuona umeng'ang'ania kweli kweli. Vipi umepewa tenda nini ya kuleta chanjo feki kutoka majuu??

Umeanza kwa kunena vyema: "Kama ni chanjo kweli ije." Bila shaka ulimaanisha kila mtu atakuwa huru kuchagua.

Ukamalizia na ule utopolo wenu wa siku zote:

"Nakuona umeng'ang'ania kweli kweli." Afya zetu hatukumkabidhi mtu pori hata siku moja na nyungu, juice za Madagascar wala za NIMRI, nk. Sembuse mamburula mataga wahedi nyie?

Tuna maliza hili kuna ripoti za BOT na TPA. Labda huko nako kama tuna tenda kutoka majuu!
 
Niko raha mstarehe katika awamu ya 6. Mola katuona na kutupa "Suluhu" ya matatizo yetu.

Niko Chatto nafanya utalii wa ndani nijiridhishe haya mabati na shujaa, Matumizi ya international airport, Maendeleo Burigi, Hospitali ya rufaa, Chatto kuwa mkoa nk.

Pamoja na uote hayo nikifuatilia alipo Sabaya na Suluhu kafika wapi na matumizi sahihi ya wataalamu kwenye mambo nyeti bila kuisahau chanjo hii muhimu sana kwa maisha ya binadamu.

Habari ndiyo hiyo ndugu yangu msukuma.

Hiiiiii bagosha!
Hahahahah..
 
Mimi NIMRI na nyungu ndizo zimeniponyesha Corona mkuu naziheshimu sana tu!
 
Hizo ndiyo zimemuwahisha kwenda kuongoza malaika ndugu yetu huyu, kiasi sasa niko hija kama nilivyokwisha kukutaarifu.

Kwani mama anavyoendelea kupata ushauri tokea kwa tume yake umesikia tena nyungu, maombi au hizo juice za jamukaya?

Hivi sasa mambo iko huku:

IMG_20210514_192000_156.jpg

IMG_20210514_210624_218.jpg

Zanzibar tayari wanaongelea AstraZeneca kutia timu watu waendelee na shughuli zao.
 
Back
Top Bottom