Corona imeshashindwa na NIMRI na Nyungu hata wewe umetumia sana acha kubwabwaja mkuu!!Hizo ndiyo zimemuwahisha kwenda kuongoza malaika ndugu yetu huyu, kiasi sasa niko hija kama nilivyokwisha kukutaarifu.
Kwani mama anavyoendelea kupata ushauri tokea kwa tume yake umesikia tena nyungu, maombi au hizo juice za jamukaya?
Hivi sasa mambo iko huku:
View attachment 1785541
View attachment 1785542
Zanzibar tayari wanaongelea AstraZeneca kutia timu watu waendelee na shughuli zao.