Zanzibar: Mahujaji Kupata Chanjo ya Corona

Maajabu Ni kuwa wote walikuwepo enzi zile za giza
 
Unafiki upi? Wewe hutaki chanjo kwa nini hutaki wanaotaka kuchanjwa wachanjwe?

Nyinyi bakini na kina Gwajima. Si mko vizuri?
Mimi nawashangaa kuna watu utasema wamerogwa kwani uliambiwa lazima uchome? anayetaka atachoma lakini usizuie watu wanaotaka kuchoma sababu wewe hutaki. Gwajima kawaambia mtazaa mazezeta hapo hajachomwa kishakuwa zezeta. Hawa waliaminisha kwa watu wao wanafufua watu na wanawaamini kabisa lakini siku JPM kaondoka utasema siyo yeye anayefufua watu.
 

Na sisi tunaotaka chanjo hali hatuendi kuhiji kwa maoni yako ndiyo imekula kwetu?

Kwamba nyie hamtaki chanjo? Si msichanjwe? Hiyo haitoshi tu ila na sisi wengine tusichanjwe ndicho mnachotaka?

Watu wa namna gani nyie?!
 
Acha kuzunguka.
Nioneshe mgonjwa wa Corona

Jinafasi ufike mahospitalini.

Ila usisahau kuwa wale vinara wa kuifukuza Corona kwa maombi wengine hatunao. Pia waliosifiwa kukomaa na maombi leo hii busara imewarejelea.



Aisifuye mvua itakuwa imemnyea:



Ushauri wa tume ya wataalamu unaendelea kufanyiwa kazi mdogo mdogo. Hiyo ndiyo habari yenyewe.
 
ENDELEA KURUKA RUKA
 
Lini inakuja chanjo?
bure au na hela?
La msingi ni kuwa mama keshaliona. Kazi inapoendelea chanjo inakuja. Kila mtu na lwake:

"Asiyetaka chanjo haya! Anayetaka chanjo haya!"

Ya nini tupigishane kelele?
 
Unafiki upi? Wewe hutaki chanjo kwa nini hutaki wanaotaka kuchanjwa wachanjwe?

Nyinyi bakini na kina Gwajima. Si mko vizuri?
Wewe umechanja? Au unatumika tu kama condom?!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…