Zanzibar: Makamu wa Kwanza wa Rais, Maalim Seif Sharif Hamad, Mkewe Bi Awena waambukizwa virusi vya Corona

Zanzibar: Makamu wa Kwanza wa Rais, Maalim Seif Sharif Hamad, Mkewe Bi Awena waambukizwa virusi vya Corona

Kwa mujibu wa kifungu gani cha sheria?

Kanuni za kupambana na Corona zinamtambua Rais, Makamu, Waziri wa Afya na Msemaji wa Serikali kuwa ndiyo pekee wenye mamlaka ya kutangaza hali ya ugonjwa na wagonjwa wa covid
 
10126120311.jpg
 
Mungu awaponye viongozi wetu na kuwalinda wao na watz wote dhidi ya huyu mgeni
 
Maalim Seif apumzishwa baada ya kupata maambukizi ya kushindwa kupumua.

Barua rasmi ya ACT wazalendo hii hapa chini.
Screenshot_20210131-151419.jpg
 
Ni kama Zenji wanataka kurudi kwenye masharti ya WHO. Seif ni stunt tu ya Dr. Mwinyi
 
Kiki tu hana lolote.

Juzi tu katoka chato ina maana huo ugonjwa kaupatia huko? Na je hao aliokuwa nao huko nao wakapimwe?
 
Mataga za wazee wa ubwabwa!!! Bado mama zenu na Baba zenu ndio mtaelewa.
 
Back
Top Bottom