Johnny Sins
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 2,537
- 3,873
EATV watafungiwa soonChama Cha ACT WAZALENDO kimethibitsha kuwa kiongoz wake MAALIM SEIF SHARIF HAMAD ANA Corona...pamoja na wasaidizi wake wa jirani..CREDIT: eatv
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
EATV watafungiwa soonChama Cha ACT WAZALENDO kimethibitsha kuwa kiongoz wake MAALIM SEIF SHARIF HAMAD ANA Corona...pamoja na wasaidizi wake wa jirani..CREDIT: eatv
acha uchocheziMY TAKE:
Hivi karibu Januari 14, 2021 Seif alitembela Chato
Kwa mujibu wa kifungu gani cha sheria?
Anko Jo
Sheria ya Chattle au Tanzania?
They tried to kill it many years ago. Killing the prophets of reggae destroying the references of reggae butNobody Can Stop Reggae.
Kwanini wasife kwani wanaokufa si binadamu kama waoNetwork ikamate mpaka huku bara kwa wale wakubwa zaidi. wasife ila wahenyeshwe tu mpaka waseme coona ipo kwelikweli
Acha ubwege wako. Kama mgonjwa mwenyewe Maalimu ndio kasema?ACT wazalendo ni madaktari? Ugonjwa ni siri kati ya mgonjwa na daktari
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hii CORONA naona inagonga nyavu za pembeni na kutoka nje, inabidi itumbie golini kabisa watu tuinuke, ebo!