Umeandika hivi kwa maksudi mkuu wa nchi asielewe nini?It's the second law of thermodynamics.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeandika hivi kwa maksudi mkuu wa nchi asielewe nini?It's the second law of thermodynamics.
QengayKama kaiona leo asiseme au mbona hata wewe unaletaga habari zingine zilizopitwa na wakati.
Kumbe wewe ni satanthebaptist
Mkuu wa nchi ana Ph.D ya Chemistry, atakuwa kashaipitia hiyo. Anajua mpaka boiling point ya Silver kichwani.Umeandika hivi kwa maksudi mkuu wa nchi asielewe nini?
Hawajielewi hawa jamaa wanadhani wanazungumza na Wana ACT pekee.Tena wanatolea Tanganyika!
PumbafPumbafu ndo nini Wewe mjinga, Wewe unakumbushwa kuhusu ulichoandika kuwa kipo hapa toka ijumaa?
Unaleta ujingaujinga hapa Wakati ugonjwa wenyewe ni mafua tu mnapiga keleele, Mimi mwenyewe tangu ijumaa ya wiki iliyopita nimekuwa na huyo korona na hata not nninapoandika sasa ni mzima wa Afya Tele
Piga nyungu tumia limao, tangawizi, swaumu na asali, hakuna ugonjwa wa kuagizia chanjo zenye mashaka na gharama zake ni 16000 kwamtu mmoja
je ni dhambi ya usaliti kwa CHADEMA ndiyo naye amelipwa>TAARIFA KWA UMMA Maalim Seif Apumzishwa Baada ya Kupata Maambukizi ya Covid 19
Chama cha ACT Wazalendo kinawajuilisha wanachama wake, Wazanzibari, pamoja na umma wa Watanzania, kuwa Mwenyekiti wake wa Taifa, Maalim Seif Sharif Hamad, Mkewe, Bi Awena, pamoja na Wasaidizi wake kadhaa wa karibu, wamethibitika kupata maambukizi ya Virusi vya Covid 19 baada ya kufanyiwa vipimo.
Katika hali ya kuchukua tahadhari zaidi Madaktari walimshauri Maalim Seif kuwa ni vyema awepo chini ya uangalizi maalumu katika kipindi chote atakachokuwa anaendelea na matibabu dhidi ya Korona. Hivyo basi, tangu juzi Ijumaa jioni, Maalim Seif alipumzishwa katika Hospitali ya Mnazi Mmoja, Unguja, Zanzibar, ambako anaendelea kuwa chini ya uangalizi wa karibu wa Madaktari.
Tunapenda kuchukua nafasi hii kuujulisha umma kuwa hali ya Maalim Seif pamoja na mkewe zinaendelea vyema kabisa, Viongozi wenzake pamoja na Wanafamilia wamekuwa na mawasiliano naye ya kawaida kila siku.
ACT Wazalendo tunawaomba wanachama wetu, Wazanzibari na Watanzania wote kwa ujumla kumuombea dua Maalim Seif katika kipindi hiki ambacho amepumzishwa ili aweze kupona kwa haraka na arudi kuendelea na majukumu yake. Pia, tunarejea wito wetu kwa Watanzania wote kuchukua hatua za kujilinda dhidi ya ugonjwa huu.
Ado Shaibu,
Katibu Mkuu,
ACT Wazalendo
31 Januari, 2021.
Chanzo: TAARIFA KWA UMMA Maalim Seif Apumzishwa Baada ya Kupata Maambukizi ya Covid 19
MY TAKE:
Hivi karibu Januari 14, 2021 Seif alitembela Chato. Je, Watu aliyokutana nao tahadhari?
Soma: Rais Magufuli: Maalim Seif ni Kiongozi kweli, aliacha 'interest' zake na kutanguliza za Wazanzibari
Hamna ujanja lazima chanjo iletwe tu hapaPumbafu ndo nini Wewe mjinga, Wewe unakumbushwa kuhusu ulichoandika kuwa kipo hapa toka ijumaa?
Unaleta ujingaujinga hapa Wakati ugonjwa wenyewe ni mafua tu mnapiga keleele, Mimi mwenyewe tangu ijumaa ya wiki iliyopita nimekuwa na huyo korona na hata not nninapoandika sasa ni mzima wa Afya Tele
Piga nyungu tumia limao, tangawizi, swaumu na asali, hakuna ugonjwa wa kuagizia chanjo zenye mashaka na gharama zake ni 16000 kwamtu mmoja
Lakini bado wanaficha,hafi mtu hapa labda wafe jamaa zaoNi Hatari sana.
Upotolo hata ulichokiandika hakijulikaniUgua pole Mzee
Mbona mtu kugua unaibeba kwenye ya Siasa!!!!! Mjitambue na kutenfa mengine.. Muendelee kusali na kutoogopa covid-19 mengi hadi muambiwe nini tena.. mpewe plan mufanyaje na familia zenu au.
Hongera sana mkuu hilo ndiyo jibu lake huyo Ndumila kuwili wa lumumbaYupo chumbani kwa mama yako
Hata akili huna wewe,Maalim ni Mwenyekiti wa ACT wazalendo hivyo kama chama wana haki ya kutoa taarifa ya Mwenyekiti wao.Yaani ACT ndio wanatoa taarifa za Makamu wa kwanza wa Rais ??
Huo ni ukiukwaji mkubwa wa protokali.
Uzuri inawaangusha wenye maamuziHapo Sasa Hivi Ndiyo Imeweka Gear Number 01.
Umemaliza kazi mkuuWametoa taarifa ya Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Taifa
Sheria za kipuuzi kabisaNani kawaruhusu ACT kutangaza korona? Sheria hairuhusu
Haya ndio matatizo ya kuwapa nafasi vyama vya mifukoni kama ACT na Chadema kila kitu wanaleta uchama uchama tu, wewe unavyoona ni sawa mfano Samia taarifa zake zitolewe na Ofisi ya CCM badala ya ofisi yake??Hata akili huna wewe,Maalim ni Mwenyekiti wa ACT wazalendo hivyo kama chama wana haki ya kutoa taarifa ya Mwenyekiti wao.
MnooHilo Dude lisikie tu...ni balaa kubwa