Zanzibar: Makamu wa Kwanza wa Rais, Maalim Seif Sharif Hamad, Mkewe Bi Awena waambukizwa virusi vya Corona

Zanzibar: Makamu wa Kwanza wa Rais, Maalim Seif Sharif Hamad, Mkewe Bi Awena waambukizwa virusi vya Corona

Mkiambiwa hamjafika umri wa kushika dola mnajaa mapovu.Maalimu Seif akubali tu arudi cuf hivi vyama vya wavuta bangi aachane navyo.Yaani chama kimejigeuza madaktari,
Ulitaka iwe siri. Very small mind.
 
Nikiangalia hili ni tatizo Mungu atusimamie kwa kweli kila nikiangalia gemu ngumu harafu tupo pungufu sijui kama tutapata sare maana refa nae kumaliza mpira hataki...
 
Kipi Cha ajabu?
Mbona makamu wa pili Seifu Iddi aliwahi kujifungia.
Cha ajabu ni kupata kitu ambacho tunaambiwa hakipo / taasisi husika haijasema kama kipo...., Huoni maajabu hapo ?
 
Wampe malimao

Malimao ya nini wakati Tanzania hakuna Corona?

Corona haipo. Corona ilikwisha. Aah aah ipo kidogo tu.

Kwamba ACT wametangaza, pana mijamaa ya chama fulani itakuwa imeumia kweri kweri.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
31 Jan 2021
Zanzibar, Tanzania

Zanzibar's First Vice President has Covid-19​


Video : Hon. Nassor Mazrui breaking the news to the party members and public at large, today in Zanzibar.

The First Vice President of Zanzibar and the Chairman of opposition party ACT Wazalendo H.E Maalim Seif Sharif Hamad has tested positive with Coronavirus. His party through its spokeperson Hon. Nassor Mazrui has announced the news to the public today. Speaking with the members of the party, the Secretary General Nassor Mazrui announced the news and adviced the people to take precautions as stipulated by the ministry of Health communiquè on how to minimize the spread of covid-19 in the community .

The party secretary General assured the public that the First Vice President is safe and responding well to the treatment he is given at the main Hospital in Zanzibar. From the hospital the First Vice President H.E Maalim Seif Sharrif Hamad sent a message to the people to be vigilant and keeping washing their hands using running water and soap or hand sanitizer and to wear face masks to prevent spreading of the coronavirus.
Source : The Bridge Tal
 
Ndugu au jamaa wa karibu wa mgonjwa wanaweza kutoa taarifa ikiwa mgonjwa mwenyewe ameridhia
Kiongozi yeyote akisha tia nia ya kugombea na wananchi wakamchagua basi anakoma kuwa ndugu au jamaa wa kundi fulani tu no la watu bali anakuwa mtu wa Jamii yote anayoongoza na lazima wajulishwe akikutwa na janga lolote ingawa maCCM hayapendi. Wageni wote wanaokuja Tanzania hata wale wanaokwenda Chato kuwa mtaalamu wa kujifukiza wanavaa barakoa kujikinga na wanarudi kwao salama. Rais wa Uganda na wa Ethiopia walikwenda Chato wamejiandaa wakijua hapa gonjwa lipo sana lakini Rais wetu wa Zanzibar na Makamu wake wakijua ugonjwa upo na viongozi wenzao wengi wamepoteza maisha wakaebda Chato bila tahadhari yoyote wakiamini matamko ya majukwaani. Maalum Seif Sheriff alimsindikiza Rais wake kwa hiyo walikuwa pamoja na wafuasi wao wengine ambao wanasemekana wako pia kwenye karantin lakini hawasemi chochote kuhusu hali ya Rais. CCM inataka viongozi wake waishi milele madarakani au wafe kwa Malaria ambayo Zanzibar imethibituwa!
 
TAARIFA KWA UMMA Maalim Seif Apumzishwa Baada ya Kupata Maambukizi ya Covid 19

Chama cha ACT Wazalendo kinawajuilisha wanachama wake, Wazanzibari, pamoja na umma wa Watanzania, kuwa Mwenyekiti wake wa Taifa, Maalim Seif Sharif Hamad, Mkewe, Bi Awena, pamoja na Wasaidizi wake kadhaa wa karibu, wamethibitika kupata maambukizi ya Virusi vya Covid 19 baada ya kufanyiwa vipimo.

Katika hali ya kuchukua tahadhari zaidi Madaktari walimshauri Maalim Seif kuwa ni vyema awepo chini ya uangalizi maalumu katika kipindi chote atakachokuwa anaendelea na matibabu dhidi ya Korona. Hivyo basi, tangu juzi Ijumaa jioni, Maalim Seif alipumzishwa katika Hospitali ya Mnazi Mmoja, Unguja, Zanzibar, ambako anaendelea kuwa chini ya uangalizi wa karibu wa Madaktari.

Tunapenda kuchukua nafasi hii kuujulisha umma kuwa hali ya Maalim Seif pamoja na mkewe zinaendelea vyema kabisa, Viongozi wenzake pamoja na Wanafamilia wamekuwa na mawasiliano naye ya kawaida kila siku.

ACT Wazalendo tunawaomba wanachama wetu, Wazanzibari na Watanzania wote kwa ujumla kumuombea dua Maalim Seif katika kipindi hiki ambacho amepumzishwa ili aweze kupona kwa haraka na arudi kuendelea na majukumu yake. Pia, tunarejea wito wetu kwa Watanzania wote kuchukua hatua za kujilinda dhidi ya ugonjwa huu.

Ado Shaibu,
Katibu Mkuu,
ACT Wazalendo
31 Januari, 2021.

Chanzo: TAARIFA KWA UMMA Maalim Seif Apumzishwa Baada ya Kupata Maambukizi ya Covid 19

MY TAKE:

Hivi karibu Januari 14, 2021 Seif alitembela Chato. Je, Watu aliyokutana nao tahadhari?

Soma: Rais Magufuli: Maalim Seif ni Kiongozi kweli, aliacha 'interest' zake na kutanguliza za Wazanzibari

Boraaaaa , bado jonijo
 
Najaribu kuwaza hii mikusanyiko mikubwa ya JPM si hatari kuwa na mass infection ya corona virus? Nini kifanyike ? Maalim Seif maambukizi aliyapata wapi? Je hakuyapeleka Chato? au ndiyo tunasubiri incubation period

1612110780294.png


COVID-19 mortality risk for older men and women​

Results: Over the six-week period of data, there were 178,568 COVID-19 deaths from a total population of
approximately 2.4 billion people. Age and sex were associated with COVID-19 mortality. Compared with individuals
ages 54 years or younger, the incident rate ratio (IRR) was 8.1, indicating that the mortality rate of COVID-19 was 8.1
times higher (95%CI = 7.7, 8.5) among those 55 to 64 years, and more than 62 times higher (IRR = 62.1; 95%CI = 59.7,
64.7) among those ages 65 or older. Mortality rates from COVID-19 were 77% higher in men than in women (IRR =
1.77, 95%CI = 1.74, 1.79).
Conclusions: In the 16 countries examined, persons age 65 years or older had strikingly higher COVID-19 mortality
rates compared to younger individuals, and men had a higher risk of COVID-19 death than women.
 
Kuna wagonjwa wangapi wa Corona ?
Malimao ya nini wakati Tanzania hakuna Corona?

Corona haipo. Corona ilikwisha. Aah aah ipo kidogo tu.

Kwamba ACT wametangaza, pana mijamaa ya chama fulani itakuwa imeumia kweri kweri.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Najaribu kuwaza hii mikusanyiko mikubwa ya JPM si hatari kuwa na mass infection ya corona virus? Nini kifanyike ? Maalim Seif maambukizi aliyapata wapi? Je hakuyapeleka Chato? au ndiyo tunasubiri incubation period
Babu mpenda madaraka wa Unguja, yeye na mkewe wameukwaa
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Huu sio muda wa kulaumiana.
Mia tano yako tu unapata malimao na tangawizi z kutosha.
 
Babu mpenda madaraka wa Unguja, yeye na mkewe wameukwaa
with this age, tuombe sana Mungu. Lolote liaweza tokea....

Rate ratios compared to 18-29 year olds​

Rate ratios compared to 18-29 year olds
Hospitalization1Death2
0-4 years4x lower9x lower
5-17 years9x lower16x lower
18-29 yearsComparison GroupComparison Group
30-39 years2x higher4x higher
40-49 years3x higher10x higher
50-64 years4x higher30x higher
65-74 years5x higher90x higher
75-84 years8x higher220x higher
85+ years13x higher630x higher
 
Back
Top Bottom