Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,503
- 20,892
Kutokea Chattle wakati wa uzinduzi wa shamba la miti..Katangazia Wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kutokea Chattle wakati wa uzinduzi wa shamba la miti..Katangazia Wapi?
Ulitaka iwe siri. Very small mind.Mkiambiwa hamjafika umri wa kushika dola mnajaa mapovu.Maalimu Seif akubali tu arudi cuf hivi vyama vya wavuta bangi aachane navyo.Yaani chama kimejigeuza madaktari,
Aa in biological system'It's the second law of thermodynamics.
Cha ajabu ni kupata kitu ambacho tunaambiwa hakipo / taasisi husika haijasema kama kipo...., Huoni maajabu hapo ?Kipi Cha ajabu?
Mbona makamu wa pili Seifu Iddi aliwahi kujifungia.
Wampe malimao
Now that is sacrilegious.Possibly both. I see no contradiction between them.
Kwani wanafaida gani acha wafe tu tuanze upya.Network ikamate mpaka huku bara kwa wale wakubwa zaidi. wasife ila wahenyeshwe tu mpaka waseme coona ipo kwelikweli
Yakweje sawa?Inapendeza Sana Maana Ndiyo Watajua Tunapolalamika Siye Wadogo Tunataka Mambo Mengi Yawekwe Sawa Sawa
Kiongozi yeyote akisha tia nia ya kugombea na wananchi wakamchagua basi anakoma kuwa ndugu au jamaa wa kundi fulani tu no la watu bali anakuwa mtu wa Jamii yote anayoongoza na lazima wajulishwe akikutwa na janga lolote ingawa maCCM hayapendi. Wageni wote wanaokuja Tanzania hata wale wanaokwenda Chato kuwa mtaalamu wa kujifukiza wanavaa barakoa kujikinga na wanarudi kwao salama. Rais wa Uganda na wa Ethiopia walikwenda Chato wamejiandaa wakijua hapa gonjwa lipo sana lakini Rais wetu wa Zanzibar na Makamu wake wakijua ugonjwa upo na viongozi wenzao wengi wamepoteza maisha wakaebda Chato bila tahadhari yoyote wakiamini matamko ya majukwaani. Maalum Seif Sheriff alimsindikiza Rais wake kwa hiyo walikuwa pamoja na wafuasi wao wengine ambao wanasemekana wako pia kwenye karantin lakini hawasemi chochote kuhusu hali ya Rais. CCM inataka viongozi wake waishi milele madarakani au wafe kwa Malaria ambayo Zanzibar imethibituwa!Ndugu au jamaa wa karibu wa mgonjwa wanaweza kutoa taarifa ikiwa mgonjwa mwenyewe ameridhia
Boraaaaa , bado jonijoTAARIFA KWA UMMA Maalim Seif Apumzishwa Baada ya Kupata Maambukizi ya Covid 19
Chama cha ACT Wazalendo kinawajuilisha wanachama wake, Wazanzibari, pamoja na umma wa Watanzania, kuwa Mwenyekiti wake wa Taifa, Maalim Seif Sharif Hamad, Mkewe, Bi Awena, pamoja na Wasaidizi wake kadhaa wa karibu, wamethibitika kupata maambukizi ya Virusi vya Covid 19 baada ya kufanyiwa vipimo.
Katika hali ya kuchukua tahadhari zaidi Madaktari walimshauri Maalim Seif kuwa ni vyema awepo chini ya uangalizi maalumu katika kipindi chote atakachokuwa anaendelea na matibabu dhidi ya Korona. Hivyo basi, tangu juzi Ijumaa jioni, Maalim Seif alipumzishwa katika Hospitali ya Mnazi Mmoja, Unguja, Zanzibar, ambako anaendelea kuwa chini ya uangalizi wa karibu wa Madaktari.
Tunapenda kuchukua nafasi hii kuujulisha umma kuwa hali ya Maalim Seif pamoja na mkewe zinaendelea vyema kabisa, Viongozi wenzake pamoja na Wanafamilia wamekuwa na mawasiliano naye ya kawaida kila siku.
ACT Wazalendo tunawaomba wanachama wetu, Wazanzibari na Watanzania wote kwa ujumla kumuombea dua Maalim Seif katika kipindi hiki ambacho amepumzishwa ili aweze kupona kwa haraka na arudi kuendelea na majukumu yake. Pia, tunarejea wito wetu kwa Watanzania wote kuchukua hatua za kujilinda dhidi ya ugonjwa huu.
Ado Shaibu,
Katibu Mkuu,
ACT Wazalendo
31 Januari, 2021.
Chanzo: TAARIFA KWA UMMA Maalim Seif Apumzishwa Baada ya Kupata Maambukizi ya Covid 19
MY TAKE:
Hivi karibu Januari 14, 2021 Seif alitembela Chato. Je, Watu aliyokutana nao tahadhari?
Soma: Rais Magufuli: Maalim Seif ni Kiongozi kweli, aliacha 'interest' zake na kutanguliza za Wazanzibari
Afe WA mfano ndio watajua unaua.Network ikamate mpaka huku bara kwa wale wakubwa zaidi. wasife ila wahenyeshwe tu mpaka waseme coona ipo kwelikweli
Malimao ya nini wakati Tanzania hakuna Corona?
Corona haipo. Corona ilikwisha. Aah aah ipo kidogo tu.
Kwamba ACT wametangaza, pana mijamaa ya chama fulani itakuwa imeumia kweri kweri.
Au nasema uongo ndugu zangu?
Babu mpenda madaraka wa Unguja, yeye na mkewe wameukwaaNajaribu kuwaza hii mikusanyiko mikubwa ya JPM si hatari kuwa na mass infection ya corona virus? Nini kifanyike ? Maalim Seif maambukizi aliyapata wapi? Je hakuyapeleka Chato? au ndiyo tunasubiri incubation period
naomba literature inayosema hivyo ni dawa ya koronaHuu sio muda wa kulaumiana.
Mia tano yako tu unapata malimao na tangawizi z kutosha.