Acha wehu wako muheshimiwa.Kijiji kinaitwa "Sizini"
Kawaida KE ndiyo wanatakiwa kuandika hivi.Heee, jamani jamani…; apimwe akili kwanza
Hatua kali si suluhu.Nini changamoto kwa huyo binti?Ukatili wa hali ya juu,hatua Kali za kisheria zichukuliwe kwa huyo mama
Mama mmoja aliyefahamika kwa jina la Mchanga Omar Said mkazi wa kijiji cha Sizini wilaya ya Micheweni visiwani Zanzibar ameripotiwa kuwa amejifungua na kukizika kichanga kikiwa hai.
Akizungumza katika eneo la tukio ,mkuu wa wilaya ya Micheweni Mgeni Khatib Yahya amelaani tukio hilo na kutaka vyombo vya sheria kuchukua hatua stahiki juu ya mama huyo.
Kwa upande wake daktari wa zamu wa wilaya ya Micheweni amesema baada ya kufukua kaburi hilo walibaini kuwepo na chembechembe zinazobainisha ni viungo vya binadamu.
Allah Akbar!Mama mmoja aliyefahamika kwa jina la Mchanga Omar Said mkazi wa kijiji cha Sizini wilaya ya Micheweni visiwani Zanzibar ameripotiwa kuwa amejifungua na kukizika kichanga kikiwa hai.
Akizungumza katika eneo la tukio ,mkuu wa wilaya ya Micheweni Mgeni Khatib Yahya amelaani tukio hilo na kutaka vyombo vya sheria kuchukua hatua stahiki juu ya mama huyo.
Kwa upande wake daktari wa zamu wa wilaya ya Micheweni amesema baada ya kufukua kaburi hilo walibaini kuwepo na chembechembe zinazobainisha ni viungo vya binadamu.
Kosa lake li wapi? Yeye kaeleza kama mleta mada alivyotutaarifu kuwa mtuhumiwa katoka kijiji cha Sizini Wilaya ya Micheweni huko Visiwani Zanzibar.Acha wehu wako muheshimiwa.
Wala hakuna shida.Neno "wehu" limekutisha?Tulia.Kosa lake li wapi? Yeye kaeleza kama mleta mada alivyotutaarifu kuwa mtuhumiwa katoka kijiji cha Sizini Wilaya ya Micheweni huko Visiwani Zanzibar.
Ila mimba aliona sio aibu!??Mleta uzi hujaleta habari kamili
Huyo mama ameachika kwenye ndoa ya watoto 6
Amepata mimba ya 7 bila ndoa, kaona aibu kutokana na mila za watu wa zenji ndio akaamua kumzika mtoto mchanga kukwepa aibu!
Cc: Clouds Tv
duuuh 🤣🤣🤣 vitu vingine vinachekesha?Mleta uzi hujaleta habari kamili
Huyo mama ameachika kwenye ndoa ya watoto 6
Amepata mimba ya 7 bila ndoa, kaona aibu kutokana na mila za watu wa zenji ndio akaamua kumzika mtoto mchanga kukwepa aibu!
Cc: Clouds Tv
Hata mimi nimemshangaaIla mimba aliona sio aibu!??
Alafu amezinKijiji kinaitwa "Sizini"