Zanzibar: Mama ajifungua na kuzika mtoto wake

Kumbe kule Kwa yule bibi maisha ni magumu ?
 
Mleta uzi hujaleta habari kamili

Huyo mama ameachika kwenye ndoa ya watoto 6
Amepata mimba ya 7 bila ndoa, kaona aibu kutokana na mila za watu wa zenji ndio akaamua kumzika mtoto mchanga kukwepa aibu!

Cc: Clouds Tv
Aisee
 
Si bora angetoa mimba kabla haijakuwa! Umalaya wake ndiyo amuue mtoto!
 
Si bora angetoa mimba kabla haijakuwa! Umalaya wake ndiyo amuue mtoto!
Hapo hakuna chenye ubora. Hata kutoa mimba ni kuua vilevile.
Afadhali hata angemtelekeza hapo hospital akatoroka, huenda mtoto angepata msamaria wa kumlea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…