Zanzibar mbioni kuanzisha shirika lake la ndege ''Zanzibar Airline''

Samia ana akili sana. Hata ingekuwa mimi ningefanya kama yeye.

Mfano me ni raia wa Comoro unipe uraisi wa tanganyika niache kujenga Comoro nijenge tanganyika? Sina ujinga huo. Uza vya tanganyika jenga vya nyumbani coz watanganyika ni wajinga.
Ukimwambia mtanganyika tuuze rasilimali za nchi nitakupa gawio kidogo anakubali ila ukimwambia mzqnzibari tuuze rasilimali za Zanzibar nitakugawia hakubali hata kidogo.
 
Mwisho wakati mitumba mlitegemea nini? Kuna kitu gani Cha maana nyie wadanganyika mnakiweza tofauti na mdomo?
Unaona sasa .

Hizo bold na msimamo WAko WA kisiasa hapa jukwaan ukiambiwa ufafanue unaweza?

Anayenunua ? Nani ?
 
Unaona sasa .

Hizo bold na msimamo WAko WA kisiasa hapa jukwaan ukiambiwa ufafanue unaweza?

Anayenunua ? Nani ?
Mna tabia za kijinga sana za kubagua Wazanzibar Kwa sababu mnazozijua nyie.

Msimamo wangu uko wazi Mimi ni shabiki wa Samia na Maendeleo sio mashabiki wa Vyama Wala watu wenye milengo ya kijamaa kama watu wengi wa huku Bara hamjielewi.

Leo hii ukifuatilia sera za Zanzibar ya Mwinyi Haina hata chembe ya ujamaa mbuzi ndio maana asilimia kubwa ya Bajeti yake inaendeshwa Kwa mikopo ,Bara huku hamuwezi thubutu hili mtaanza kuhubiri ule upuuzi wenu wa tunakopa sana,hamna akili.

Kwanza Samia amejitahidi sana ku push reforms za Uchumi katikati ya wajamaa ambao wanashida rundo ila hawana mbinu za kutatua hizo shida.
 
Tusipokuwa makini Zanzibar wanajiandaa kulipiza unyonyaji wote tuliowafanyia.
 
Okay!Mkoa wa Zanzibar na majambo yao, inshaallah!
 
Sasa kwa nini wewe unaishabikia CCM hadi unaonekana zuzu-mburula?
NB;Tulia.usijibu harakaharaka.
Ukiona nashabikia CCM ni Kwa sababu nashabikia Rais ambae anaendesha sera nazozipenda na si vinginevyo.

Mbona nilikuwa napinga CCM na Magufuli awamu ya 5?

Huko Upinzani ndio kabisaa kumejaa mbumbumbu wa Uchumi Huwa sikihangaishi.

Mtu kama Heche au Lisu anajua nini Cha maana kwenye Uchumi?
 
Ila wewe ni zuzu sana.Kwani kila mtu anajua uchungu wa kuzaa kama si mwanamke?Jinga sana wewe!
 

Bora, hope waOMANI watawapa sapoti kubwa hao ndugu zetu

Natamani nikaishi znz
 
Ila wewe ni zuzu sana.Kwani kila mtu anajua uchungu wa kuzaa kama si mwanamke?Jinga sana wewe!
Pumba zako ni irrelevant.

Naongelea mambo ya Uchumi wewe inaleta stori za leba,ndio maana nasema Chadomo nyie ni mbumbumbu wa Uchumi
 
No Reforms No Election si kauli ya kupinga uchaguzi kwa utashi wa kisiasa bali ni wito wa haki na demokrasia ya kweli. Tunadai marekebisho ya msingi katika mfumo wa uchaguzi ili kuhakikisha kila kura ina thamani, na matokeo yanayoakisi sauti ya wananchi

#NoReformsNoElection
 
Akili za hovyo za mijitu ya Bara πŸ˜† πŸ˜†

Jibu hoja, Zanzibar hawana pesa?
No Reforms No Election si kauli ya kupinga uchaguzi kwa utashi wa kisiasa bali ni wito wa haki na demokrasia ya kweli. Tunadai marekebisho ya msingi katika mfumo wa uchaguzi ili kuhakikisha kila kura ina thamani, na matokeo yanayoakisi sauti ya wananchi

#NoReformsNoElection
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…