Zanzibar mbioni kuanzisha shirika lake la ndege ''Zanzibar Airline''

Kwa nini tusitengane tu. Itapendeza sana
 
Watanganyika tunaumizana wenyewe halafu lawama tunataka kuwabebesha wazanzibar

Yule bi mdashi pale juu amekaa kama toy ila wanaomuendesha wote wabongo ila bado hatujajua kama roho zetu wenyewe za ubinafsi ndiyo zinaturudisha nyuma
 
Hela ya rasilimali za Tanganyika zinatumiwa vibaya sana na Wazanzanzibari.

Haya ni makosa ambayo kamwe Watanganyika hawatomsamehe Nyerere.
1. Muungano na Zanzibar
2. Kuanzisha ibada za mashetani kwa kivuli cha mwenge.
3. Kuiacha nchi ya vyama vingi ikiwa chini ya katiba ya mfumo wa chama kimoja
 
Na chawa unashangilia kabisa bila kufahamu hizo ni pesa za Tanganyika wahuni wamechepusha huko visiwani.

Mikopo na madeni inalipwa kwa mwamvuli wa muungano ila mashirika wanaita yao.
 
Tuna danganywa tuna muangano but the way Zanzibar wanavyo operate inaonyesha ni Nchi kamili kabisa
Ulikua hujui,huoni kama ina rais na bunge? Kwenye muungano kuna mambo ya muungano na yasiyo ya muungano, muungano original una vipengele 11,tukaulawti wabara tukaongeza vikafika 22
 
Nafuu lianzishe shirika lake ili tuwe na competition. Hii ATC inatufanya watanzania wapumbavu, wamepewa ndege bure wanashindwa kuiendesha.
 
Safi sana wanzanzibari ni vizuri mkatumia huu mda mkapata na sarafu yenu , makajiimarisha kiuchumu na kijeshi , achaneni kabisa na hawa goigoi wapo bize na kudaka 7000 za kuabdu na kusifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…