Zanzibar: Meli ya Serikali iliyokarabatiwa kwa Tsh. Bil 3.6 yauzwa kwa Tsh. Mil 536.8
Mungu wangu hivi hawa watu wasio mwogopa Mwenye Enzi Mungu wametokea wapi hapa duniani?
Uwiii [emoji24]
 
Meli ni ya serikali, imekarabatiwa kwa Tsh 3.6 Bilion inauzwa milion 536?

Sasa mnasema tuende naye hadi 2030, tunaenda naye wapi?
 
Weka andiko tusome na usisahau kujaza source 1 & 2 na unachokijua
 
Hata Unguja kwenye Serikali kuna mafisadi?

1f5789a2-7ef2-4735-8070-7d290d7e914a.jpg
 
Chogo tulia huko huko bara. Mambo ya visiwani tuachie wenyewe.
 
Zanzibar hiyo. Pia walinunuwa meli mpya ambayo haikufanya kazi hatà miezi sita. MV MAPINDUZI 2.
 
Meli ya MV Maendeleo yenye uwezo wa kubeba abiria 600 na tani 697 za mzigo kwa wakati mmoja ilikuwa ikifanyiwa matengenezo Bandari Kavu ya Mombasa, Kenya.

Wizara ya Uchukuzi Zanzibar imechukua uamuzi wa kutoendelea na ukarabati na kuiuza Meli hiyo kwa mnunuzi ambaye hajatajwa ili kupunguza hasara.

Mei 2021, Shirika la Meli Zanzibar lilitangaza kuuza Meli zake 3 za MV Maendeleo, MV Ukombozi na MV Mapinduzi II. Hatma ya MV Ukombozi na Mapinduzi II bado haijafahamika.
=========================

The Zanzibar government has sold off a passenger-cum-cargo ship that has been undergoing repairs in Kenya to an undisclosed buyer at $230,000, after running up repair costs of over $1.5 million.

The archipelago’s Transport ministry said that the government had “decided not to continue with the repairs but to dispose of” MV Maendeleo, whose repairs were being done at a dry dock yard in Mombasa. The cumulative expenses had reached $1,554,551, according to the ministry.

The ship’s value had deteriorated from $500,000, according to government-hired evaluators, to $370,000.

In its heyday, MV Maendeleo used to ply the Dar es Salaam-Zanzibar-Pemba route. It had the capacity to carry 600 passengers and 697 tonnes of cargo at a go.

Last May, the Zanzibar Shipping Corporation announced the sale of three vessels — MV Maendeleo, MV Ukombozi and MV Mapinduzi II — on an ‘as is, where is’ basis. The fate of the other two vessels is unknown.

State-owned shipping companies in the region have been struggling to sustain their fleets and face off competition from private operators.

THE EASTAFRICAN
Wameuza meli hiyo kwa sultani wa Zanzibar?
 
Back
Top Bottom