THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,950
- 13,527
- Thread starter
-
- #41
Nani kanyimwa uhuru wa kuabudu Zanzibar, ingekuwa ni hivyo umaarufu huu wa Zanzibar kama ni sehemu karim Kwa wageni ungekuwapo?Baada ya kuungana tumekubaliana Uhuru wa kuabudu na si kulazimishana.
Mila na sheria Zao ziko prescribed kwenye by laws,nenda Moshi katupe taka taka hovyo uone kama hujampelekwa mahakamani,msilazimishe Mila zenu Kwa miji ya watu.Mila si sheria, ndio maana bara hawa wanyanyapai visiwani? Ndio kusema bara hawana mila no, ila wanajua mipaka between mila na sheria za nchi.
Mjifunze mila ni muhimu zibaki, lakini zina mipaka yake
Kuna niliposema mpemba amevunja tamaduni za mtu hapa bara?nimesema hakuna anayewabughudhi kwa sababu hawajawahi kumtaka mtu afate mila zao.Mpemba kavunja Mila na TAMADUNI zako zipi hapa bara?
Zanzibar ipo miaka na miaka,msitake kupeleka Mambo ambayo hata kwenye by laws Zao hayapo na mnajua,kama mmeshindwa kukaa huko huku kwenu bahari SI ipo na beaches SI zipo?
Acheni uchokozi.
Kulazimishana kufunga kwa Watu wasiotaka kufunga au ambao ni Waumini wa Dini tofauti na Islam.Nani kanyimwa uhuru wa kuabudu Zanzibar, ingekuwa ni hivyo umaarufu huu wa Zanzibar kama ni sehemu karim Kwa wageni ungekuwapo?
Nimeisha sana Mji Mkongwe, Kojani na Mwembeladu. Naijua sanaLabda kama hujaishi na kukaa ZANZIBAR.
Ikiwa wanawataka Wazungu na Dollar zao utakwepaje huduma kama hizo?Kila wkend tunaona boti Zinavyojaa Malaya kutoka sehemu mbali mbali bara kwenda kuwinda wazungu na wageni Zanzibar,Hilo kwani Lina Siri?SI lipo wazi tuh?
Hakuna kampeni ya aina yoyote, Wazanzibar ni wanadamu wana sifa zote za uanadamu!Kampeni ya kuitaka kuichafua na kuua utamaduni wa wanzibar hazijaanza Leo,zimeanza muda mrefu tuh,na haya Sasa ni matokeo tuh,pamoja na nguvu kubwa kutumika ila Zanzibar imejitahidi sana kusimama IMARA,kwanini mnataka kulazimisha wafuate Mila zenu?
Kuna niliposema mpemba amevunja tamaduni za mtu hapa bara?nimesema hakuna anayewabughudhi kwa sababu hawajawahi kumtaka mtu afate mila zao.
Nawasisitiza Jamiiforums pamoja na kuwa tumo humu kwa fake IDs isitufanye kufanya mijadala kuwa migumu kisa hatujuani ili kutambuana ufahamu wetu jinsi tulivyo na low IQ,unapaswa ujue hapo Zanzibar panaitwa Tanzania Visiwani kwa sababu ya muungano wake na Tanzania Bara na zilizoungana ni nchi na nchi zenye wananchi wenye mila na tamaduni tofauti tofauti hawakuungana watu kwa watu kwamba kwa sababu tumeungana wewe utalazimika kufuata tamaduni zangu.
Akenda leo Msukuma nyumba ya mpemba,mgunya au mkojani hapo Zanzibar akalazimisha kufanya mila na tamaduni za Kisukuma ndani ya nyumba zao huyo atakuwa amekosea anastahiki kuchukuliwa hatua lakini huyo huyo akiwa nje ya makazi ya watu tajwa hapo juu akafanya tamaduni za Kisukuma aachwe maana atakuwa hajamvunjia mtu utamaduni wake.
Soma kuanzia hapa upate mwanga.
Nani kalazimishwa kufunga?Kulazimishana kufunga kwa Watu wasiotaka kufunga au ambao ni Waumini wa Dini tofauti na Islam.
Hawagombani na watu kwa sababu wanakutana na watu understanding,usifikiri hawana madhaifu yao hao wanayo mengi sana ni kwa vile Watanzania huku bara hatujajifunga kwenye ”umimi” na ndiyo maana ni rahisi sana kuchangamana na kufanya mambo bila kufahamiana asili zetu,hili kwa wapemba halipo.Mpemba akienda kwa watu anaheshimu mila na gesturing zao.wameenea kote duniani hujawahi kuskia wamegombana na wenyeji wao kwa kutaka kupeleka mila zao huko. Na ww ukija kwao heshimu gesturing zao.Hili ni suala rahisi sana ukiwa mtu unataka kuelewa. Lakini kama huelewi basi hatuna vya kukufanya uelewe na ukiforce ndio hapo utawaona watu wabaya kuwa wanalindq tamaduni zao. Na mm hapa wala sio mpemba lakini huo ndio ukweli watu wasijitoe fahamu
Wabara wakirudi kwao mtalishwa na nani nyie mapimbi? Asilimia kubwa ya bajeti ya kuendesha hicho kisiwa inatoka bara Kwa Hawa unaowaita makafiri mmekula mmeshiba Sasa mmevimbiwa subiri 25 tuwaondoe Hawa ndugu zenu wanaowaendekeza tutawalete mahita mwingine awanyooshe mpaka akili zenu zikae sawa nyie wapemba mrudi kwenu Oman mkalinde Mila zenu hukoWewe ndie hueelewi na unataka kujifanya kuwa ni mwerevu kumbe ni mjinga.
ZANZIBAR kuungana na Tanganyika na kuitwa eti Tanzania visiwani siyo kigezo eti Mila na TAMADUNI za bara basi ziwe ni lazima huko Zanzibar.
Zanzibar ni nchi pia yenye Rais wake,bunge,mahakama zake na kadhalika, Zanzibar kama nchi Ina by laws zake ambazo wakazi wa hapo na wageni lazima kuzifuata, Zanzibar siyo mkoa wa Tanzania,ni nchi hiyo.
Besides, utamaduni huo Zanzibar upo tokea muda mrefu tuh,why tusiskie miaka yoote hiyo mje nyinyi kulalama Leo?
Kama mmeshindwa kukaa huko Zanzibar Rudini kwenu,siyo lazima.
Hakuna anayepeleka tamaduni kule, kipi ambacho Zanzibar wanacho , Bara hakipo!ZANZIBAR kuungana na Tanganyika na kuitwa eti Tanzania visiwani siyo kigezo eti Mila na TAMADUNI za bara basi ziwe ni lazima huko Zanzibar.
Nooo! Zanzibar ni mkoa mkubwa kwasababu unapata pesa nyingi za Tanganyika kuliko mkoa wowote.Zanzibar ni nchi pia yenye Rais wake,bunge,mahakama zake na kadhalika, Zanzibar kama nchi Ina by laws zake ambazo wakazi wa hapo na wageni lazima kuzifuata, Zanzibar siyo mkoa wa Tanzania,ni nchi hiyo.
Kwanini Watanganyika na si watu wengine wa E.Africa kama Mombasa?Besides, utamaduni huo Zanzibar upo tokea muda mrefu tuh,why tusiskie miaka yoote hiyo mje nyinyi kulalama Leo?
Kama mmeshindwa kukaa huko Zanzibar Rudini kwenu,siyo lazima.
Ondoa chuki kwanza ndipo uwe free kujadili,bila hivyo mjadala wako utakuwa unageuka kuwa emotional badala ya kutumia facts.Sikatai na naunga mkono kabisa usimamizi wa sheria na taratibu zao.
Nisichokubaliana nacho ni Unafiki.
Kama makachu kachu ni Vijana wa Bara , waondoeni kama walivyowafurusha Wamasai
Tatizo sni Ubara, kule kwenye mahoteli Wakenya wamejaa na wanatenda yao ! hatusikii.
Yes, waweke sheria kama ile ya kuzuia ndizi za Tanganyika lakini za Mombasa ruksa. Walikuwa na haki nashangaa wameondoa. Unajua ni kwanini! Walionjeshwa adha ya ubaguzi wakaona itakula kwao.
Sheria ya Pombe wamelumbana wenyewe, hakuna Mtanganyika aliyewaingilia. Mwisho wamekubali Dollar inanunua Pombe. Wameachia.
Weka sheria , simamia sheria kwa ukamilifu si unafiki au kuwasingizia Wabara.
Utamaduni ni pamoja na kuzuia bikini na wale vijana wasibebe bikini madole yao! astaghafir
Nitajie eneo moja tu lisilo na Malaya hapa duniani halafu nitajua Zanzibar ipo salama bila Mtanganyika!
Yule anaetandikwa mijeredi kwasababu kalewa na kula.Nani kalazimishwa kufunga?
Wakristo wako Zanzibar miaka na miaka umewahi skia wanatoa lawama kuwa wanaminywa uhuru wao wa kuabudu? that's why tunakuuliza iweje iwe ni Leo?
Umesmkia mkenya,au mzungu,au mnyarwanda analalamika?Hakuna anayepeleka tamaduni kule, kipi ambacho Zanzibar wanacho , Bara hakipo!
Nooo! Zanzibar ni mkoa mkubwa kwasababu unapata pesa nyingi za Tanganyika kuliko mkoa wowote.
Nionyeshe Bajeti ya Ulinzi na usalama! tuya Zanzibar!
Kwanini Watanganyika na si watu wengine wa E.Africa kama Mombasa?
Ukitaka Watanganyika waondoke, unafungua' pandora box'. Nusu ya Zanzibar ipo Bara kumbuka
Una uhakika yule aliepigwa ni mkristo?Yule anaetandikwa mijeredi kwasababu kalewa na kula.
Look... acheni kufanya Watu wajinga!
Mila za Zanzibar ziheshimiwe,asietaka kuziheshimu siyo lazima kwenda,bakia kwenu bara uishi Kwa uhuru unaoutaka
Mnawalisha bure au wananunua?Wabara wakirudi kwao mtalishwa na nani nyie mapimbi? Asilimia kubwa ya bajeti ya kuendesha hicho kisiwa inatoka bara Kwa Hawa unaowaita makafiri mmekula mmeshiba Sasa mmevimbiwa subiri 25 tuwaondoe Hawa ndugu zenu wanaowaendekeza tutawalete mahita mwingine awanyooshe mpaka akili zenu zikae sawa nyie wapemba mrudi kwenu Oman mkalinde Mila zenu huko
Humo nilimo-bold!Wewe ndie hueelewi na unataka kujifanya kuwa ni mwerevu kumbe ni mjinga.
ZANZIBAR kuungana na Tanganyika na kuitwa eti Tanzania visiwani siyo kigezo eti Mila na TAMADUNI za bara basi ziwe ni lazima huko Zanzibar.
Zanzibar ni nchi pia yenye Rais wake,bunge,mahakama zake na kadhalika, Zanzibar kama nchi Ina by laws zake ambazo wakazi wa hapo na wageni lazima kuzifuata, Zanzibar siyo mkoa wa Tanzania,ni nchi hiyo.
Besides, utamaduni huo Zanzibar upo tokea muda mrefu tuh,why tusiskie miaka yoote hiyo mje nyinyi kulalama Leo?
Kama mmeshindwa kukaa huko Zanzibar Rudini kwenu,siyo lazima.