Zanzibar msiposimama imara kuendelea kulinda mila na tamaduni zenu, heshima yenu duniani itashuka

Wao wapo tayar hata Sasa huo muungano muuvunje,usije ukadhani ya kwamba wao Wana dhiki kiasi Cha kufikia kuukumbatia,na aliekwenda kutoa proposal ya muungano siyo Zanzibar,ni Tanganyika utambue.

Wewe Lia ikibid saga meno ila ukienda Zanzibar utake usitake fuata sheria za pale
 
Kigezo Cha kusema sheria zisibague ubara ni kipi Sasa,ile video au kipi,it seems una mafundo fundo yako ya muda mrefu,ila hii video ya Juzi imekuwa kama ni point of eruption tuh.

Wabara wengi wanaishi Zanzibar Kwa Amani na upendo,hiyo ya kusema sheria isibague ubara bila shaka inatoka kwako.
 
Usichanganye imani ya dini na utamaduni, Unataka kusema uislam ni utamaduni wa zanzibar wakati inajulikani uislam ni utamaduni wa kiarabu na zanzibar si nchi ya kiarabu/kiislam. Kama vipi ijitangaze ni nchi ya kiarabu/kiislam ili mgeni anapoingia hapo ajue kuwa kaingia katika nchi/jimbo/mkoa unaoongozwa kwa tamaduni/sheria/sharia za kiislam/kiarabu. Vinginevyo hiyo sehemu ni jamhuri ya muungano wa tanzania yenye uhuru sawa na bara raia wote wako huru kula wakati wote bila kubughudhiwa kwa sababu za dini
 
Dini ya kobazi ni ya kijima sana! Mtu akila mbele yako wewe inakuathiri nini kama si kujiendekeza?

Hao wazungu wasipokuja kutalii thamani ya Zanzibar itakua nini? Ile minyoo mnayosoma imewaharibu sana akili!
Ukienda wewe kula tu barabarani. Wacha porojo za watalii.
 
Hapana! tunachoeleza ni jinsi Wazanzibar walivyo wabaguzi

Hiyo video si kigezo, ni kwamba Wazanzibar wana chuki sana na Watanganyika, wakisahau kwamba Tanganyika ndilo Taifa pekee duniani lililowabeba na kuwapa kila fursa. It is coming to an end soon! Wenye Tanganyika yao wanaidai

Hao makachu kachu ni Wazanzibar kwasababu huwezi kupata kazi bila kuwa na kitambulisho cha Uzanzibar

Wabara wanaishi Zanzibar kwa amani ipi? Hawana haki ya kazi, masomo wala Ardhi. Ukimya si amani.
 
Bila shaka ni kobasii wewe
 
tena chakula kinaliwa mpaka malangoni pa misikiti mchana peupe, kuna fremu zao zina migahawa watu wanakula kwa amani bila hofu ya kuvamiwa. Sasa huo uislam wa zanzibar ni uislam gani huo mpaka uwe kero kwa wanaokula mchana?
 
unajenga hoja dhaifu sana wakati huo uchafu umetamalaki zanzibar mpaka inatia aibu, acha kubagua watanzania kwa misingi ya dini muhuni wewe
 
kwani zanzibar ni taifa la kigeni tofauti na tanzania? Ile ni tanzania hakuna mtanzania anayefanya hila kuharibu tamaduni nzuri huko, ila udini haukubaliki, usilete ubaguzi kubagua watu wa taifa moja
 
Kama wewe umekubali agizo la papa la kutaka uolewe,basi usidhani wote tutakubaliana na Hilo, nyinyi makafiri mna dini yenu na wale Wana dini yao,hujalazimishwa kwenda Zanzibar,SI ubakie kwenu?
acha kumtaja papa, hajasema habari za kuolewa, unashupaza shingo kwa hoja mufilisi, acha udini
 
zanzibar ni tanzania we mwehu, huwezi kubagua watu wa taifa moja kwa misingi ya tamaduni na dini, huo ni ushenzi unaopaswa kukemewa kwa nguvu zote
 
Hivi mambo ya Mwezi Mtukufu ni utamaduni wa Zanzibar ?
Mi ninavyo jua huo ni utamaduni wa Mwarabu aliyeitawala Zanzibar.
Au mnataka kusema Mwarabu aliishi Zanzibar kabla ya Mzanzibari?
Au Mzazibari hana tamaduni kabisa?
Mpemba alikuwa na tamaduni zake kabla ya kuvamiwa na Mwarabu na kumrithisha utamaduni wake.
Haya ndiyo madhara ya kudharau tamaduni zetu na kukumbatia tamaduni za wengine.
 
Nani kavaa bango usoni au mgongoni anapobeba mzungu au Malaya ya kwamba yeye ni mzanzibar au mtannganyika au mkenya?
Bila kitambulisho cha Uzanzibar ukaazi huwezi kupata kazi. Wale Vijana Forodhani wanatambuliwa rasmi na wanalipwa kuitangaza Zanzibar. Hakuna Mtanganyika anayeaajiriwa na SMZ kwasababu ni Mbara au Chogo.

Lakini nikubaliane na hoja yako kwa muda, je si wewe unayetambua malaya wa Tanganyika! Je, wana mabango usoni au mgongoni. Kupanda Boti ndiyo alama ya Utanganyika. Kwani Boti Wazanzibar hawapandi.

Hoja yako pale Buckingham Palace wanasema 'self inflicted wound''
Tena Wamasai ndio kabisaa. Hivi Wamasai wamekuwepo Zanzibar miaka mingapi. Kwanini mwaka huu wafurushwe.
Wanafukuzwa kwasababu ya sera ya kulinda ajira za Wazanzibar. Hakuna tatizo kama hilo

Tatizo linakuja pale ambapo Wabaguzi hao wanapopewa asilimia 21 za kazi kutoka kwa Wamasai wakilipwa mishahara kwa kodi za Wamasai. Wazanzibar hawabaguliwi wakiwa bara, wanapata kila kitu lakini chuki dhidi ya Watanganyika imepita kiwango.

Walinde sheria na Tamaduni zao kwasababu wana katiba, tunataka Tanganyika yetu ili tusigombane nao.
Tanganyika itakayowajali Wamasai waliofukuzwa Zanzibar na Wananchi wake
 
Mila na sheria Zao ziko prescribed kwenye by laws,nenda Moshi katupe taka taka hovyo uone kama hujampelekwa mahakamani,msilazimishe Mila zenu Kwa miji ya watu.
unalinganisha kula na kutupa taka? Si kila by law itakubalika na kuheshimiwa na wananchi wote. Zipo by law ambazo zinakubalika kwa wote na sio huo udini unaotaka ufuatwe na raia wote
 
Eti utamaduni¡¡¡¡ Zanzbar ina utamaduni au huu ulioletwa na waarabu waliokuwa na wanauza babu zetu kama nyanya? Dubai imeendelea sana je wameacha utamaduni wao? Zanzbar hakuna utamaduni bali vichwa vingi vya wazanzbar vimejaa utumwa usio na elimu kichwani kwaiyo kumezaliwa ujinga wa hali ya juu, pambaneni na tatizo la ushoga uliotapakaa huko dunia itawaelewa sio kupambania ujinga usio na msingi kwenu, mtu kula mchana mbele yako kuna uhusiano gani na nia yako uliyoiweka usiku baada ya kula daku mbele ya mola wako? Ni utumwa na ujinga tu uliwajaa vichwani full 🛑
 
zanzibar si nchi ya kiislam kama unavyoi brand na kuinasibisha na utamaduni wa kiarabu/kiislam, kama inataka iheshimiwe kwa utamaduni huo basi ijitangaze ni nchi ya kiislam dunia nzima ijue ukifika huko ufuate utamaduni wa kiislam maana ni sheria inayoongoza nchi hiyo. Vinginevyo we ni mchochezi na mbaguzi, ngoja tukupige spana ukome kubagua watu wa taifa
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…