Zanzibar msiposimama imara kuendelea kulinda mila na tamaduni zenu, heshima yenu duniani itashuka

Lusungo huyu THE BIG SHOW ni mmakonde wa hapa mtwara namjua mbona yeye hajadumisha mila na tamaduni yake ya kuvaa kaniki nyeusi na kujichora usoni kama wamakonde wenzake?
 
Video: Arab blogger captures people eat during the day in Ramadan in Iran
 
Mikindani Zama zile ilikuwa wakati WA Ramadan na sasa Hali ipoje
 
Nauliza
Kufunga mwezi wa ramadhani ndio utamaduni wa Mzanzibari?
Mi ninavyofahamu huo ni utamaduni wa Mwarabu aliyevamia zanzibar na kuishia kufukuzwa na wazanzibari.

Hivi kabla ya kuja mwarabu Mzanzibari alikuwa hana utamaduni?

Hivi ni nani aliyeanza kuishi zanzibar kati ya Mzanzibari na Mwarabu?
 
Mila na sheria Zao ziko prescribed kwenye by laws,nenda Moshi katupe taka taka hovyo uone kama hujampelekwa mahakamani,msilazimishe Mila zenu Kwa miji ya watu.
Nimekaa sana huo mji, kutokutupa taka taka si mila bro, almost manispaa zote nchi hii zina hiyo sheria. Tofauti ni moshi wanakazania, miji mingine wanachukulia poa.
ingekuwa wenyeji wa mji husika, wana force kila mgeni lazima anywe mbege ikifika sikukuu? Lazima washiriki matambiko kila sikuu? Ulishasikia wana force wale wasio kabila za huko kufanya hivyo?

kuna tofauti kubwa between laws za nchi na mila. Kila mila ikiwa included kwenye sheria za nchi hatutokuwa na nchi, Watu wa bara wanaelewa hili ndio maana hawanyanyapai wa visiwani.
 
Kuna hii mila ya wanawake wa visiwani kukataa kujifungulia watoto kule bara.
Nakubaliana nawewe katika kulinda mila, Desturi na Tamaduni za Wazanzibar, hata Marcus Garvey alisema Mtu bila Utamaduni wake ni kama Mti bila mizizi...utaanguka tu popote na nafurahi sana kama mtapinga Ushoga na Usagaji

LAKINI, mara nyingine wala mengine si utamaduni ila ni UJINGA, UNAFIKI na SIFA ZA HOVYO, kwa mfano...viongozi wa Zanzibar wanapinga Ushoga lakini wao ni Mashoga

Hata viongozi wa ulinzi na usalama zanzibar wengi wanapakuliwa

Au Wanapinga Uvaaji wa nguo fupi na suruali lakini ni kwa watu weusi tu...kwa Wazungu wanawaacha kwasababu wanataka pesa zao, huu ni UNAFIQ

Pombe mnaikataa lakini Mnaiagiza tena kwa tani kadhaa na inanyweka forodhani na katika hoteli za Zanzibar, huu ni UNAFIQ

Tazama maneno ya Mke wa mwinyi baada ya tafiti
 

Attachments

  • Screenshot_20240330_205144_Chrome.jpg
    560.9 KB · Views: 1
Hivi Afande Rama nae amefunga ramadhan?
 
Dini ya kobazi ni ya kijima sana! Mtu akila mbele yako wewe inakuathiri nini kama si kujiendekeza?

Hao wazungu wasipokuja kutalii thamani ya Zanzibar itakua nini? Ile minyoo mnayosoma imewaharibu sana akili!
Ukiona dini hadi leo yenyewe ni mwaka 1445 unadhani kuna civilizede leople humo?hawa niwa kuhurumia tu.
 
Wewe ndie unasema hayo,umeenda Zanzibar umekuta Mila na Tamqduni Zao,siyo lazima kuishi au kukaa hapo,kama zimekushinda panda boti Rudi kwenu mbeya.
Nimeishi Zanzibar miaka 5 Wana utamaduni mzuri Sana kushinda huku bara, hawana baya sheikh wewe ndiyo una baya
 
Ni kweli nanushoga kwa Afrika Mashariki uliasisiwa huko, Kama nao ni utamaduni sawa
 
Sawa,waachie kisiwa Chao,wewe bakia kwenu bara uendelee na maisha yako,unachokonolewa na Nini?
Kuna watu hudhani mnatetea dini kumbe kimsingi mnatetea ushetwani!! Kula ni dhambi toka lini? Kama mtu kashindwa kufunga au kiimani hapaswi kufunga unampiga ingali uko kwenye mfungo? Stupid nonsense,niwapi mtume kafundisha kupiga wasiofunga??
Tusiende Zanzibar vp kwani sisehemu ya TZ? Mbona wao wanakuja huku nasisi tunakula na kunywa hawaleti huo ujinga?? Acha kutetea WAHUNI Kwa kutumia dini utavuna madhambi kumi lamwisho hili
 
unajenga hoja dhaifu sana wakati huo uchafu umetamalaki zanzibar mpaka inatia aibu, acha kubagua watanzania kwa misingi ya dini muhuni wewe
Uchafu huo uliotamalaki Zanzibar, tukisema unapelekwa kule mara nyingi na hawa watu wa bara tunakosea?

Mara ngapi tunaona hawa machoko kama kina James delicious, Noel, Aggrey na wengine wengi wakitaka Zao bara kwenda kutafuta mabwana Zanzibar??

Na Wala siyo Siri,Huwa wanajitangaza kbs mitaondaoni.
 
Sasa unataka kusema utamaduni wa Zanzibar ni WA Vatican city?

Huo ustaarabu wa Zanzibar,Amani upendo na utulivu,utiifu Kwa mamlaka Zao na kuishi na watu wa Iman zingine Kwa heshima na kuvumuliana Tokea Karne na Karne ndiko uliyoifanya Zanzibar kiwe ni kisiwa Cha Amani na kuheshimika duniani.

Huo ni utamaduni wa kiislam ulivyo.

Hakuna vita,hakuna dhulma,hakukuwa na Pombe Zanzibar hizo mnaleta nyinyi makafiri saizi,hakukuwa na kamari,michezo kama ndondi Zanzibar ilikuwa marufuku na kadhalika,hautaki nenda kajambe zako mbele.

Unataka ukienda Zanzibar heshimu taratibu Zao.
 
Kwa zaidi ya miaka kumi nilioishi na kufanya kazi znz sijaona utamaduni wowote wala mila, zaidi ya kuiga vitu vichache kwa waarabu na labda lile tamasha la ngono la Mwakakogwa
 
Mila za Zanzibar ziheshimiwe,asietaka kuziheshimu siyo lazima kwenda,bakia kwenu bara uishi Kwa uhuru unaoutaka
Kuna namna moja tu ya kutunza mila na desturi za sehemu: Usiruhusu utalii. Madhali Zanzibar imeruhusu utalii, basi ni suala la muda tu, mila na desturi zao zitakuwa mambo ya kale. Andika hii, itatoka kwenye mtihani.
 
Kwa zaidi ya miaka kumi nilioishi na kufanya kazi znz sijaona utamaduni wowote wala mila, zaidi ya kuiga vitu vichache kwa waarabu na labda lile tamasha la ngono la Mwakakogwa
Sawa,basi fuata hizo taratibu Zao kama vile ambavyo umekuwa unafuata Kwa hiyo miaka Kumi.

Kama umeshindwa Rudi kwenu longido au machame.
 
Kuna namna moja tu ya kutunza mila na desturi za sehemu: Usiruhusu utalii. Madhali Zanzibar imeruhusu utalii, basi ni suala la muda tu, mila na desturi zao zitakuwa mambo ya kale. Andika hii, itatoka kwenye mtihani.
Ni mjinga tuh unaedhani kuwa Utalii Zanzibar umeanza Jana au Leo,utalii Zanzibar uko Karne na Karne na hizo taratibu wageni wamekuwa wanazifuata, shida iliyopo ni wabongo tuh na chuki zenu za kutaka muishi Zanzibar kama mpo Vatican city.
 
Acha ujinga, Sudan kuna dini gani? hata hao wachache hawana haki ya kusherekea kisa nyie mmefunga? kwani mlilazimishwa kufunga?
 
Usiniandikie mambo nisiyoelewa kwa upuuzi wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…