Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 29,909
- 32,414
Lusungo huyu THE BIG SHOW ni mmakonde wa hapa mtwara namjua mbona yeye hajadumisha mila na tamaduni yake ya kuvaa kaniki nyeusi na kujichora usoni kama wamakonde wenzake?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Video: Arab blogger captures people eat during the day in Ramadan in IranFriends and Our Enemies,
Beautiful Islands Of Africa, Zanzibar...
Fahari pekee iliyobakia Africa na inayozidi kuwakilisha ubantu na TAMADUNI za heshima ni wewe Zanzibar.
Watu wengi wakitaka kujitambulisha Kwa wageni WASIO ifaham Tanzania basi utawaskia wakisema huko kuwaambia wageni kuwa Mimi ninatokea Tanzania ile Nchi ya Mlima Kilimanjaro na visiwa vya marashi ya Zanzibar...
Asitokee MTU kuwatisha na kuwadhihaki eti kisa tuh nyinyi mmeamua Kwa dhati na uzalendo kabisa kusimamia MILA na TAMADUNI ZENU.
Tokea zama na enzi Zanzibar imekuwa na utaratibu wa kuheshimu Imani za wananchi wake na za wageni mbalimbali wanaoingia ndani ya visiwa hivyo.
Wageni wanapokaribishwa Zanzibar siku zote hupewa sheria na taratibu za kuishi na wenyeji wa visiwa hivyo na bila kinyongo wageni hao wamekuwa wakizikubali na kuziheshimu, kiasi Cha kufikia kuishi na Kisha kutamani kurudi Tena na Tena ndani ya visiwa hivyo.
Wanaokwazika na TAMADUNI za Zanzibar kiasi Cha kufikia kuona kama ni kero kwao au wanatengwa basi siyo lazima Kwa wao kwenda,wabakie makwao ambako wao wanaona Wana uhuru wa kujiamulia kuishi Kwa namna wapendavyo wao.
ZANZIBAR, endelea kusimama IMARA pasipo na kutetereka.
Zanzibar, mmenikumbusha msimamo imara wa Qatar, ambapo walipoandaa world cup finals na kuwakatalia wazungu kuwa wao hawakubali kuruhusu kampeni za LGBTQ katika finals hizo Kwa namna yoyote Ile.
Japo, wazungu walinuna wengine kutishia kutoshiriki lakini Qatar walisimamia msimamo wao na mashindano yaliendelea Kwa mafanikio makubwa yasiyo na kifani.
Hongera sana Zanzibar,Dumisheni Mila na Tamqduni zenu pasi na kuhofia kitu chochote.
Mikindani Zama zile ilikuwa wakati WA Ramadan na sasa Hali ipojeLabda kama hujaishi na kukaa ZANZIBAR.
Kila wkend tunaona boti Zinavyojaa Malaya kutoka sehemu mbali mbali bara kwenda kuwinda wazungu na wageni Zanzibar,Hilo kwani Lina Siri?SI lipo wazi tuh?
Kampeni ya kuitaka kuichafua na kuua utamaduni wa wanzibar hazijaanza Leo,zimeanza muda mrefu tuh,na haya Sasa ni matokeo tuh,pamoja na nguvu kubwa kutumika ila Zanzibar imejitahidi sana kusimama IMARA,kwanini mnataka kulazimisha wafuate Mila zenu?
Nimekaa sana huo mji, kutokutupa taka taka si mila bro, almost manispaa zote nchi hii zina hiyo sheria. Tofauti ni moshi wanakazania, miji mingine wanachukulia poa.Mila na sheria Zao ziko prescribed kwenye by laws,nenda Moshi katupe taka taka hovyo uone kama hujampelekwa mahakamani,msilazimishe Mila zenu Kwa miji ya watu.
Nakubaliana nawewe katika kulinda mila, Desturi na Tamaduni za Wazanzibar, hata Marcus Garvey alisema Mtu bila Utamaduni wake ni kama Mti bila mizizi...utaanguka tu popote na nafurahi sana kama mtapinga Ushoga na UsagajiKuna hii mila ya wanawake wa visiwani kukataa kujifungulia watoto kule bara.
Hivi Afande Rama nae amefunga ramadhan?Nauliza
Kufunga mwezi wa ramadhani ndio utamaduni wa Mzanzibari?
Mi ninavyofahamu huo ni utamaduni wa Mwarabu aliyevamia zanzibar na kuishia kufukuzwa na wazanzibari.
Hivi kabla ya kuja mwarabu Mzanzibari alikuwa hana utamaduni?
Hivi ni nani aliyeanza kuishi zanzibar kati ya Mzanzibari na Mwarabu?
Ukiona dini hadi leo yenyewe ni mwaka 1445 unadhani kuna civilizede leople humo?hawa niwa kuhurumia tu.Dini ya kobazi ni ya kijima sana! Mtu akila mbele yako wewe inakuathiri nini kama si kujiendekeza?
Hao wazungu wasipokuja kutalii thamani ya Zanzibar itakua nini? Ile minyoo mnayosoma imewaharibu sana akili!
Nimeishi Zanzibar miaka 5 Wana utamaduni mzuri Sana kushinda huku bara, hawana baya sheikh wewe ndiyo una bayaWewe ndie unasema hayo,umeenda Zanzibar umekuta Mila na Tamqduni Zao,siyo lazima kuishi au kukaa hapo,kama zimekushinda panda boti Rudi kwenu mbeya.
Kuna watu hudhani mnatetea dini kumbe kimsingi mnatetea ushetwani!! Kula ni dhambi toka lini? Kama mtu kashindwa kufunga au kiimani hapaswi kufunga unampiga ingali uko kwenye mfungo? Stupid nonsense,niwapi mtume kafundisha kupiga wasiofunga??Sawa,waachie kisiwa Chao,wewe bakia kwenu bara uendelee na maisha yako,unachokonolewa na Nini?
Uchafu huo uliotamalaki Zanzibar, tukisema unapelekwa kule mara nyingi na hawa watu wa bara tunakosea?unajenga hoja dhaifu sana wakati huo uchafu umetamalaki zanzibar mpaka inatia aibu, acha kubagua watanzania kwa misingi ya dini muhuni wewe
Sasa unataka kusema utamaduni wa Zanzibar ni WA Vatican city?Usichanganye imani ya dini na utamaduni, Unataka kusema uislam ni utamaduni wa zanzibar wakati inajulikani uislam ni utamaduni wa kiarabu na zanzibar si nchi ya kiarabu/kiislam. Kama vipi ijitangaze ni nchi ya kiarabu/kiislam ili mgeni anapoingia hapo ajue kuwa kaingia katika nchi/jimbo/mkoa unaoongozwa kwa tamaduni/sheria/sharia za kiislam/kiarabu. Vinginevyo hiyo sehemu ni jamhuri ya muungano wa tanzania yenye uhuru sawa na bara raia wote wako huru kula wakati wote bila kubughudhiwa kwa sababu za dini
Kwa zaidi ya miaka kumi nilioishi na kufanya kazi znz sijaona utamaduni wowote wala mila, zaidi ya kuiga vitu vichache kwa waarabu na labda lile tamasha la ngono la MwakakogwaFriends and Our Enemies,
Beautiful Islands Of Africa, Zanzibar...
Fahari pekee iliyobakia Africa na inayozidi kuwakilisha ubantu na TAMADUNI za heshima ni wewe Zanzibar.
Watu wengi wakitaka kujitambulisha Kwa wageni WASIO ifaham Tanzania basi utawaskia wakisema huko kuwaambia wageni kuwa Mimi ninatokea Tanzania ile Nchi ya Mlima Kilimanjaro na visiwa vya marashi ya Zanzibar...
Asitokee MTU kuwatisha na kuwadhihaki eti kisa tuh nyinyi mmeamua Kwa dhati na uzalendo kabisa kusimamia MILA na TAMADUNI ZENU.
Tokea zama na enzi Zanzibar imekuwa na utaratibu wa kuheshimu Imani za wananchi wake na za wageni mbalimbali wanaoingia ndani ya visiwa hivyo.
Wageni wanapokaribishwa Zanzibar siku zote hupewa sheria na taratibu za kuishi na wenyeji wa visiwa hivyo na bila kinyongo wageni hao wamekuwa wakizikubali na kuziheshimu, kiasi Cha kufikia kuishi na Kisha kutamani kurudi Tena na Tena ndani ya visiwa hivyo.
Wanaokwazika na TAMADUNI za Zanzibar kiasi Cha kufikia kuona kama ni kero kwao au wanatengwa basi siyo lazima Kwa wao kwenda,wabakie makwao ambako wao wanaona Wana uhuru wa kujiamulia kuishi Kwa namna wapendavyo wao.
ZANZIBAR, endelea kusimama IMARA pasipo na kutetereka.
Zanzibar, mmenikumbusha msimamo imara wa Qatar, ambapo walipoandaa world cup finals na kuwakatalia wazungu kuwa wao hawakubali kuruhusu kampeni za LGBTQ katika finals hizo Kwa namna yoyote Ile.
Japo, wazungu walinuna wengine kutishia kutoshiriki lakini Qatar walisimamia msimamo wao na mashindano yaliendelea Kwa mafanikio makubwa yasiyo na kifani.
Hongera sana Zanzibar,Dumisheni Mila na Tamqduni zenu pasi na kuhofia kitu chochote.
Kuna namna moja tu ya kutunza mila na desturi za sehemu: Usiruhusu utalii. Madhali Zanzibar imeruhusu utalii, basi ni suala la muda tu, mila na desturi zao zitakuwa mambo ya kale. Andika hii, itatoka kwenye mtihani.Mila za Zanzibar ziheshimiwe,asietaka kuziheshimu siyo lazima kwenda,bakia kwenu bara uishi Kwa uhuru unaoutaka
Sawa,basi fuata hizo taratibu Zao kama vile ambavyo umekuwa unafuata Kwa hiyo miaka Kumi.Kwa zaidi ya miaka kumi nilioishi na kufanya kazi znz sijaona utamaduni wowote wala mila, zaidi ya kuiga vitu vichache kwa waarabu na labda lile tamasha la ngono la Mwakakogwa
Acha udini wa kijinga, watu waache kwenda beach sijui wapi kisa nyie mmefunga kwani mlilazimishwa? shame on youHata bara sijaona anaesherehekea pasaka kwa kula barabarani.
Ni mjinga tuh unaedhani kuwa Utalii Zanzibar umeanza Jana au Leo,utalii Zanzibar uko Karne na Karne na hizo taratibu wageni wamekuwa wanazifuata, shida iliyopo ni wabongo tuh na chuki zenu za kutaka muishi Zanzibar kama mpo Vatican city.Kuna namna moja tu ya kutunza mila na desturi za sehemu: Usiruhusu utalii. Madhali Zanzibar imeruhusu utalii, basi ni suala la muda tu, mila na desturi zao zitakuwa mambo ya kale. Andika hii, itatoka kwenye mtihani.
Acha ujinga, Sudan kuna dini gani? hata hao wachache hawana haki ya kusherekea kisa nyie mmefunga? kwani mlilazimishwa kufunga?Hivi serikali ikiamua ifanye sensa ya DINI aise utakimbia huu uzi, hata hii comment yako utaifuta mlivyo wachache, basi tu Uislamu ni dini ya amani na huruma, ingelikua nchi hii haina waislamu sijui kama wewe au katika familia yenu mgebaki salama. Refer Congo, rwanda na south afrika ambapo waislamu ni wachache, halafu mnaleta jeuri na kibri.
Usiniandikie mambo nisiyoelewa kwa upuuzi wakoIle ni nchi ya kiislamu, na sio nchi ya kikafiri, hivyo usilazimishe wafuate mila zenu
وَلَنْ تَرْضَىٰ عَنْكَ الْيَهُودُ وَلَا النَّصَارَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ ۗ قُلْ إِنَّ هُدَى اللَّهِ هُوَ الْهُدَىٰ ۗ وَلَئِنِ اتَّبَعْتَ أَهْوَاءَهُمْ بَعْدَ الَّذِي جَاءَكَ مِنَ الْعِلْمِ ۙ مَا لَكَ مِنَ اللَّهِ مِنْ وَلِيٍّ وَلَا نَصِيرٍ
Al-Baqarah 120
Mayahudi hawawi radhi nawe, wala Wakristo, mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika uwongofu wa Mwenyezi Mungu ndio uwongofu. Na kama ukifuata matamanio yao baada ya ujuzi ulio kwisha kujia, hutapata mlinzi wala msaidizi kwa Mwenyezi Mungu.
وَإِذَا قِيلَ لَهُمُ اتَّبِعُوا مَا أَنْزَلَ اللَّهُ قَالُوا بَلْ نَتَّبِعُ مَا أَلْفَيْنَا عَلَيْهِ آبَاءَنَا ۗ أَوَلَوْ كَانَ آبَاؤُهُمْ لَا يَعْقِلُونَ شَيْئًا وَلَا يَهْتَدُونَ
Al-Baqarah 170
Na wanapo ambiwa: Fuateni aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu; wao husema: Bali tutafuata tuliyo wakuta nayo baba zetu. Je, hata ikiwa baba zao walikuwa hawaelewi kitu, wala hawakuongoka?