THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,950
- 13,527
- Thread starter
-
- #121
Amekuambia hata bara hajaona wakristo wakisherehekea pasaka Kwan kula HADHARANI,Kwanza Kwa mtu mwenye akili timamu chakula unakulaje HADHARANI?Acha udini wa kijinga, watu waache kwenda beach sijui wapi kisa nyie mmefunga kwani mlilazimishwa? shame on you
Nanyi muondoke huku kwetuSawa ni nchi ya hovyo,bakia kwenu bara.
Wewe andazi kweli wewe. Mila na tamaduni za Zanzibar au za mwarabu sayid said?Friends and Our Enemies,
Beautiful Islands Of Africa, Zanzibar...
Fahari pekee iliyobakia Africa na inayozidi kuwakilisha ubantu na TAMADUNI za heshima ni wewe Zanzibar.
Watu wengi wakitaka kujitambulisha Kwa wageni WASIO ifaham Tanzania basi utawaskia wakisema huko kuwaambia wageni kuwa Mimi ninatokea Tanzania ile Nchi ya Mlima Kilimanjaro na visiwa vya marashi ya Zanzibar...
Asitokee MTU kuwatisha na kuwadhihaki eti kisa tuh nyinyi mmeamua Kwa dhati na uzalendo kabisa kusimamia MILA na TAMADUNI ZENU.
Tokea zama na enzi Zanzibar imekuwa na utaratibu wa kuheshimu Imani za wananchi wake na za wageni mbalimbali wanaoingia ndani ya visiwa hivyo.
Wageni wanapokaribishwa Zanzibar siku zote hupewa sheria na taratibu za kuishi na wenyeji wa visiwa hivyo na bila kinyongo wageni hao wamekuwa wakizikubali na kuziheshimu, kiasi Cha kufikia kuishi na Kisha kutamani kurudi Tena na Tena ndani ya visiwa hivyo.
Wanaokwazika na TAMADUNI za Zanzibar kiasi Cha kufikia kuona kama ni kero kwao au wanatengwa basi siyo lazima Kwa wao kwenda,wabakie makwao ambako wao wanaona Wana uhuru wa kujiamulia kuishi Kwa namna wapendavyo wao.
ZANZIBAR, endelea kusimama IMARA pasipo na kutetereka.
Zanzibar, mmenikumbusha msimamo imara wa Qatar, ambapo walipoandaa world cup finals na kuwakatalia wazungu kuwa wao hawakubali kuruhusu kampeni za LGBTQ katika finals hizo Kwa namna yoyote Ile.
Japo, wazungu walinuna wengine kutishia kutoshiriki lakini Qatar walisimamia msimamo wao na mashindano yaliendelea Kwa mafanikio makubwa yasiyo na kifani.
Hongera sana Zanzibar,Dumisheni Mila na Tamqduni zenu pasi na kuhofia kitu chochote.
Kama dini yetu inataka hivyo? acheni ujinga na udini wenu.Amekuambia hata bara hajaona wakristo wakisherehekea pasaka Kwan kula HADHARANI,Kwanza Kwa mtu mwenye akili timamu chakula unakulaje HADHARANI?
Raha ya chakula ukae ndani na wapendwa wako kwenye dinning table au Lunch table mle msherehekee,unakulaje HADHARANI kama nguchiro?
Ushoga bila shaka mumeupeleka nyinyi makafiri wa bongo,we huoni hadi papa Kwa kuona jinsi mnavyoupenda huo mchezo kaamua kuwapa baraka zake kabisa mfunge na ndoa?Ni kweli nanushoga kwa Afrika Mashariki uliasisiwa huko, Kama nao ni utamaduni sawa
Wewe SI umekula pasaka Juzi,muda wa kula ulichukua chakula na familia yako mka Kaa Nje mkala au mlipata burdani yenu ya kula nyamafu ya kiti moto mkiwa ndani kwenu?Kama dini yetu inataka hivyo? acheni ujinga na udini wenu.
Nakubaliana na wewe kabisa i.e. Zanzibar utalii haujaanza jana. Na ndiyo maana, kwenye mila na desturi, mambo mengi ambayo hapo zamani ilikuwa ni kama hayawezekani siku hizi taratiiibu yanaanza kukubalika. Mind you, mabadiliko yanakuja polepole na hata wale mahafidhina inakuwa ni vigumu ku-note.Ni mjinga tuh unaedhani kuwa Utalii Zanzibar umeanza Jana au Leo,utalii Zanzibar uko Karne na Karne na hizo taratibu wageni wamekuwa wanazifuata, shida iliyopo ni wabongo tuh na chuki zenu za kutaka muishi Zanzibar kama mpo Vatican city.
Huo ndiyo ukweli,tatizo makafiri wengi wa bongo hawataki.Ukiiweka namna hiyo, inasaundi gudi tena inaleta mantiki.
Kulinda mila na desturi zao. Hell yeaaah!
Maana hata tukiileta kiukubwa huwa tunaona kwamba watu wengi hukubaliana na suala la: kulinda mila za kiafrika dhidi ya tamaduni za kigeni. Usiulize mbona wote tunashea dunia?
Ikitokea tukaanza kuwasiliana na aliens tutasema: lazima tuzilinde taratibu za kidunia dhidi ya mila za kiallien. Watauliza mbona wote tunashea ulimwengu?
So acha wazanzibar walinde tamaduni zao as 'a people'. Tusiulize mbona wote tunashea nchi, tupi sawa wazee?
Tatizo lenu mna damu ya utumwa na ndio maana akili zenu bado zimedumaa kwa sababu ya utwana mliokuwa nao na bado mnauendelezaFriends and Our Enemies,
Beautiful Islands Of Africa, Zanzibar...
Fahari pekee iliyobakia Africa na inayozidi kuwakilisha ubantu na TAMADUNI za heshima ni wewe Zanzibar.
Watu wengi wakitaka kujitambulisha Kwa wageni WASIO ifaham Tanzania basi utawaskia wakisema huko kuwaambia wageni kuwa Mimi ninatokea Tanzania ile Nchi ya Mlima Kilimanjaro na visiwa vya marashi ya Zanzibar...
Asitokee MTU kuwatisha na kuwadhihaki eti kisa tuh nyinyi mmeamua Kwa dhati na uzalendo kabisa kusimamia MILA na TAMADUNI ZENU.
Tokea zama na enzi Zanzibar imekuwa na utaratibu wa kuheshimu Imani za wananchi wake na za wageni mbalimbali wanaoingia ndani ya visiwa hivyo.
Wageni wanapokaribishwa Zanzibar siku zote hupewa sheria na taratibu za kuishi na wenyeji wa visiwa hivyo na bila kinyongo wageni hao wamekuwa wakizikubali na kuziheshimu, kiasi Cha kufikia kuishi na Kisha kutamani kurudi Tena na Tena ndani ya visiwa hivyo.
Wanaokwazika na TAMADUNI za Zanzibar kiasi Cha kufikia kuona kama ni kero kwao au wanatengwa basi siyo lazima Kwa wao kwenda,wabakie makwao ambako wao wanaona Wana uhuru wa kujiamulia kuishi Kwa namna wapendavyo wao.
ZANZIBAR, endelea kusimama IMARA pasipo na kutetereka.
Zanzibar, mmenikumbusha msimamo imara wa Qatar, ambapo walipoandaa world cup finals na kuwakatalia wazungu kuwa wao hawakubali kuruhusu kampeni za LGBTQ katika finals hizo Kwa namna yoyote Ile.
Japo, wazungu walinuna wengine kutishia kutoshiriki lakini Qatar walisimamia msimamo wao na mashindano yaliendelea Kwa mafanikio makubwa yasiyo na kifani.
Hongera sana Zanzibar,Dumisheni Mila na Tamqduni zenu pasi na kuhofia kitu chochote.
Mila na taratibu nzuri ndiyo hizo,utake utazifuata,hutaki ondoka...siku zote unakula chakula wewe na familia yako mkiwa ndani,na hamli chakula HADHARANI,Cha ajabu Nini wazanzibar wakiwaambia mle chakula mkiwa ndani kwenu?kwani siku zoote SI mnakuka mkiwa ndani tatizo Nini.Wewe andazi kweli wewe. Mila na tamaduni za Zanzibar au za mwarabu sayid said?
Kula mchana hadharani wakati wa mwezi mtukufu ni Mila za wazanzibar au ni taratibu za kiisilamu? Unaweza kufananisha kula mchana hadharani wakati wa mwezi mtukufu na ushoga, au umeishiwa na utetezi wa hiyo dini yako?Friends and Our Enemies,
Beautiful Islands Of Africa, Zanzibar...
Fahari pekee iliyobakia Africa na inayozidi kuwakilisha ubantu na TAMADUNI za heshima ni wewe Zanzibar.
Watu wengi wakitaka kujitambulisha Kwa wageni WASIO ifaham Tanzania basi utawaskia wakisema huko kuwaambia wageni kuwa Mimi ninatokea Tanzania ile Nchi ya Mlima Kilimanjaro na visiwa vya marashi ya Zanzibar...
Asitokee MTU kuwatisha na kuwadhihaki eti kisa tuh nyinyi mmeamua Kwa dhati na uzalendo kabisa kusimamia MILA na TAMADUNI ZENU.
Tokea zama na enzi Zanzibar imekuwa na utaratibu wa kuheshimu Imani za wananchi wake na za wageni mbalimbali wanaoingia ndani ya visiwa hivyo.
Wageni wanapokaribishwa Zanzibar siku zote hupewa sheria na taratibu za kuishi na wenyeji wa visiwa hivyo na bila kinyongo wageni hao wamekuwa wakizikubali na kuziheshimu, kiasi Cha kufikia kuishi na Kisha kutamani kurudi Tena na Tena ndani ya visiwa hivyo.
Wanaokwazika na TAMADUNI za Zanzibar kiasi Cha kufikia kuona kama ni kero kwao au wanatengwa basi siyo lazima Kwa wao kwenda,wabakie makwao ambako wao wanaona Wana uhuru wa kujiamulia kuishi Kwa namna wapendavyo wao.
ZANZIBAR, endelea kusimama IMARA pasipo na kutetereka.
Zanzibar, mmenikumbusha msimamo imara wa Qatar, ambapo walipoandaa world cup finals na kuwakatalia wazungu kuwa wao hawakubali kuruhusu kampeni za LGBTQ katika finals hizo Kwa namna yoyote Ile.
Japo, wazungu walinuna wengine kutishia kutoshiriki lakini Qatar walisimamia msimamo wao na mashindano yaliendelea Kwa mafanikio makubwa yasiyo na kifani.
Hongera sana Zanzibar,Dumisheni Mila na Tamqduni zenu pasi na kuhofia kitu chochote.
Twende taratibu, tatizo lenu makafiri ni usahaulifu na ujinga.Tatizo lenu mna damu ya utumwa na ndio maana akili zenu bado zimedumaa kwa sababu ya utwana mliokuwa nao na bado mnauendeleza
Wala sio mbali si ni majuzi tu karne iliyopita mlikuwa mnachapwa mijeledi na wengine kufanyiwa ukatili wa kutisha ikiwemo kuhasiwa, kugeuzwa na kuuzwa kama watumwa na mabwana wa kutoka mashariki ya kati
Leo hii mmesahau??
Nyie ndio wa kuita watu wa bara mijitu ya Tanganyika na kumwona mwarabu ndugu yenu wa damu wakati mnaswagwa kama mifugo mixer mijeledi kutoka uvinza huko mpaka bagamoyo leo hii mnasahau asili yenu???
Mkataa kwao ni mtumwa na ukikiri we ni mtumwa basi huna tofauti na mbwa maana utu kwako ni kile ulicholazimishwa na masultani
Sasa endekezeni ushenzi wa kukataza kula huku mnafukunyuana mitaro na watoto kufanyiwa ukatili na takwimu zipo huku mnachekelea kama mazuzu
Anzeni kwanza kwa kukomesha udhalimu, udhalilishaji, pingeni ushoga na vinginevyo kisha mthamini utaifa wenu, asili yenu na mkumbuke mlipotoka.
Wewe inakuhusu nini hata kama tulikuwa tukiwa chooni? Shame on youWewe SI umekula pasaka Juzi,muda wa kula ulichukua chakula na familia yako mka Kaa Nje mkala au mlipata burdani yenu ya kula nyamafu ya kiti moto mkiwa ndani kwenu?
Zanzibar sio nchiZanzibar ni nchi ya Waislam.
Mbele ya harakati za maisha hakuna cha tamaduni wala mila. RPC amesema ulikua msako wa wavuta bangi ikawa bahati mbaya.Lengo lenu la kutaka kuifanya Zanzibar iwe kitivo Cha uovu haitafanikiwa.
TAMADUNI za Zanzibar na wazanzibar tokea miaka na miaka zinafahamika.
Hata Rate za maambuki ya HIV na magonjwa ya zinaa Kwa wanzibar ni almost zero,mnachotaka ni kuona Zanzibar inaingia kwenye hizo laana unazozisema,hamtafanikiwa.
Kama unakwazika na TAMADUNI za Zanzibar,bakia kwenu bara.
Mila za Zanzibar ziheshimiwe,asietaka kuziheshimu siyo lazima kwenda,bakia kwenu bara uishi Kwa uhuru unaoutaka