Zanzibar msiposimama imara kuendelea kulinda mila na tamaduni zenu, heshima yenu duniani itashuka

Acha udini wa kijinga, watu waache kwenda beach sijui wapi kisa nyie mmefunga kwani mlilazimishwa? shame on you
Amekuambia hata bara hajaona wakristo wakisherehekea pasaka Kwan kula HADHARANI,Kwanza Kwa mtu mwenye akili timamu chakula unakulaje HADHARANI?

Raha ya chakula ukae ndani na wapendwa wako kwenye dinning table au Lunch table mle msherehekee,unakulaje HADHARANI kama nguchiro?
 
Friends and Our Enemies,

Beautiful Islands Of Africa, Zanzibar...
Fahari pekee iliyobakia Africa na inayozidi kuwakilisha ubantu na TAMADUNI za heshima ni wewe Zanzibar.

Watu wengi wakitaka kujitambulisha Kwa wageni WASIO ifaham Tanzania basi utawaskia wakisema huko kuwaambia wageni kuwa Mimi ninatokea Tanzania ile Nchi ya Mlima Kilimanjaro na visiwa vya marashi ya Zanzibar...

Asitokee MTU kuwatisha na kuwadhihaki eti kisa tuh nyinyi mmeamua Kwa dhati na uzalendo kabisa kusimamia MILA na TAMADUNI ZENU.

Tokea zama na enzi Zanzibar imekuwa na utaratibu wa kuheshimu Imani za wananchi wake na za wageni mbalimbali wanaoingia ndani ya visiwa hivyo.

Wageni wanapokaribishwa Zanzibar siku zote hupewa sheria na taratibu za kuishi na wenyeji wa visiwa hivyo na bila kinyongo wageni hao wamekuwa wakizikubali na kuziheshimu, kiasi Cha kufikia kuishi na Kisha kutamani kurudi Tena na Tena ndani ya visiwa hivyo.

Wanaokwazika na TAMADUNI za Zanzibar kiasi Cha kufikia kuona kama ni kero kwao au wanatengwa basi siyo lazima Kwa wao kwenda,wabakie makwao ambako wao wanaona Wana uhuru wa kujiamulia kuishi Kwa namna wapendavyo wao.

ZANZIBAR, endelea kusimama IMARA pasipo na kutetereka.

Zanzibar, mmenikumbusha msimamo imara wa Qatar, ambapo walipoandaa world cup finals na kuwakatalia wazungu kuwa wao hawakubali kuruhusu kampeni za LGBTQ katika finals hizo Kwa namna yoyote Ile.

Japo, wazungu walinuna wengine kutishia kutoshiriki lakini Qatar walisimamia msimamo wao na mashindano yaliendelea Kwa mafanikio makubwa yasiyo na kifani.

Hongera sana Zanzibar,Dumisheni Mila na Tamqduni zenu pasi na kuhofia kitu chochote.
Wewe andazi kweli wewe. Mila na tamaduni za Zanzibar au za mwarabu sayid said?
 
Kama dini yetu inataka hivyo? acheni ujinga na udini wenu.
 
Ni kweli nanushoga kwa Afrika Mashariki uliasisiwa huko, Kama nao ni utamaduni sawa
Ushoga bila shaka mumeupeleka nyinyi makafiri wa bongo,we huoni hadi papa Kwa kuona jinsi mnavyoupenda huo mchezo kaamua kuwapa baraka zake kabisa mfunge na ndoa?
 
Ukiiweka namna hiyo, inasaundi gudi tena inaleta mantiki.

Kulinda mila na desturi zao. Hell yeaaah!

Maana hata tukiileta kiukubwa huwa tunaona kwamba watu wengi hukubaliana na suala la: kulinda mila za kiafrika dhidi ya tamaduni za kigeni. Usiulize mbona wote tunashea dunia?

Ikitokea tukaanza kuwasiliana na aliens tutasema: lazima tuzilinde taratibu za kidunia dhidi ya mila za kiallien. Watauliza mbona wote tunashea ulimwengu?

So acha wazanzibar walinde tamaduni zao as 'a people'. Tusiulize mbona wote tunashea nchi, tupi sawa wazee?
 
Kama dini yetu inataka hivyo? acheni ujinga na udini wenu.
Wewe SI umekula pasaka Juzi,muda wa kula ulichukua chakula na familia yako mka Kaa Nje mkala au mlipata burdani yenu ya kula nyamafu ya kiti moto mkiwa ndani kwenu?
 
Ni mjinga tuh unaedhani kuwa Utalii Zanzibar umeanza Jana au Leo,utalii Zanzibar uko Karne na Karne na hizo taratibu wageni wamekuwa wanazifuata, shida iliyopo ni wabongo tuh na chuki zenu za kutaka muishi Zanzibar kama mpo Vatican city.
Nakubaliana na wewe kabisa i.e. Zanzibar utalii haujaanza jana. Na ndiyo maana, kwenye mila na desturi, mambo mengi ambayo hapo zamani ilikuwa ni kama hayawezekani siku hizi taratiiibu yanaanza kukubalika. Mind you, mabadiliko yanakuja polepole na hata wale mahafidhina inakuwa ni vigumu ku-note.
 
Ukiiweka namna hiyo, inasaundi gudi tena inaleta mantiki.

Kulinda mila na desturi zao. Hell yeaaah!

Maana hata tukiileta kiukubwa huwa tunaona kwamba watu wengi hukubaliana na suala la: kulinda mila za kiafrika dhidi ya tamaduni za kigeni. Usiulize mbona wote tunashea dunia?

Ikitokea tukaanza kuwasiliana na aliens tutasema: lazima tuzilinde taratibu za kidunia dhidi ya mila za kiallien. Watauliza mbona wote tunashea ulimwengu?

So acha wazanzibar walinde tamaduni zao as 'a people'. Tusiulize mbona wote tunashea nchi, tupi sawa wazee?
Huo ndiyo ukweli,tatizo makafiri wengi wa bongo hawataki.
 
Friends and Our Enemies,

Beautiful Islands Of Africa, Zanzibar...
Fahari pekee iliyobakia Africa na inayozidi kuwakilisha ubantu na TAMADUNI za heshima ni wewe Zanzibar.

Watu wengi wakitaka kujitambulisha Kwa wageni WASIO ifaham Tanzania basi utawaskia wakisema huko kuwaambia wageni kuwa Mimi ninatokea Tanzania ile Nchi ya Mlima Kilimanjaro na visiwa vya marashi ya Zanzibar...

Asitokee MTU kuwatisha na kuwadhihaki eti kisa tuh nyinyi mmeamua Kwa dhati na uzalendo kabisa kusimamia MILA na TAMADUNI ZENU.

Tokea zama na enzi Zanzibar imekuwa na utaratibu wa kuheshimu Imani za wananchi wake na za wageni mbalimbali wanaoingia ndani ya visiwa hivyo.

Wageni wanapokaribishwa Zanzibar siku zote hupewa sheria na taratibu za kuishi na wenyeji wa visiwa hivyo na bila kinyongo wageni hao wamekuwa wakizikubali na kuziheshimu, kiasi Cha kufikia kuishi na Kisha kutamani kurudi Tena na Tena ndani ya visiwa hivyo.

Wanaokwazika na TAMADUNI za Zanzibar kiasi Cha kufikia kuona kama ni kero kwao au wanatengwa basi siyo lazima Kwa wao kwenda,wabakie makwao ambako wao wanaona Wana uhuru wa kujiamulia kuishi Kwa namna wapendavyo wao.

ZANZIBAR, endelea kusimama IMARA pasipo na kutetereka.

Zanzibar, mmenikumbusha msimamo imara wa Qatar, ambapo walipoandaa world cup finals na kuwakatalia wazungu kuwa wao hawakubali kuruhusu kampeni za LGBTQ katika finals hizo Kwa namna yoyote Ile.

Japo, wazungu walinuna wengine kutishia kutoshiriki lakini Qatar walisimamia msimamo wao na mashindano yaliendelea Kwa mafanikio makubwa yasiyo na kifani.

Hongera sana Zanzibar,Dumisheni Mila na Tamqduni zenu pasi na kuhofia kitu chochote.
Tatizo lenu mna damu ya utumwa na ndio maana akili zenu bado zimedumaa kwa sababu ya utwana mliokuwa nao na bado mnauendeleza

Wala sio mbali si ni majuzi tu karne iliyopita mlikuwa mnachapwa mijeledi na wengine kufanyiwa ukatili wa kutisha ikiwemo kuhasiwa, kugeuzwa na kuuzwa kama watumwa na mabwana wa kutoka mashariki ya kati

Leo hii mmesahau??

Nyie ndio wa kuita watu wa bara mijitu ya Tanganyika na kumwona mwarabu ndugu yenu wa damu wakati mnaswagwa kama mifugo mixer mijeledi kutoka uvinza huko mpaka bagamoyo leo hii mnasahau asili yenu???

Mkataa kwao ni mtumwa na ukikiri we ni mtumwa basi huna tofauti na mbwa maana utu kwako ni kile ulicholazimishwa na masultani

Sasa endekezeni ushenzi wa kukataza kula huku mnafukunyuana mitaro na watoto kufanyiwa ukatili na takwimu zipo huku mnachekelea kama mazuzu

Anzeni kwanza kwa kukomesha udhalimu, udhalilishaji, pingeni ushoga na vinginevyo kisha mthamini utaifa wenu, asili yenu na mkumbuke mlipotoka.
 
Lini zanzibar iliheshimu imani za wengine?daily wanabomoa na kuandamana kisa makanisa
 
Wewe andazi kweli wewe. Mila na tamaduni za Zanzibar au za mwarabu sayid said?
Mila na taratibu nzuri ndiyo hizo,utake utazifuata,hutaki ondoka...siku zote unakula chakula wewe na familia yako mkiwa ndani,na hamli chakula HADHARANI,Cha ajabu Nini wazanzibar wakiwaambia mle chakula mkiwa ndani kwenu?kwani siku zoote SI mnakuka mkiwa ndani tatizo Nini.
 
Afande Rama ameshakusikia, ni ataendeleza utamaduni wake bila shaka. Mabinti wa Kizanzibari pia wataendelea kutoa 'nyuma' kuliko 'mbele' ili kulinda bikra zao.
 
Friends and Our Enemies,

Beautiful Islands Of Africa, Zanzibar...
Fahari pekee iliyobakia Africa na inayozidi kuwakilisha ubantu na TAMADUNI za heshima ni wewe Zanzibar.

Watu wengi wakitaka kujitambulisha Kwa wageni WASIO ifaham Tanzania basi utawaskia wakisema huko kuwaambia wageni kuwa Mimi ninatokea Tanzania ile Nchi ya Mlima Kilimanjaro na visiwa vya marashi ya Zanzibar...

Asitokee MTU kuwatisha na kuwadhihaki eti kisa tuh nyinyi mmeamua Kwa dhati na uzalendo kabisa kusimamia MILA na TAMADUNI ZENU.

Tokea zama na enzi Zanzibar imekuwa na utaratibu wa kuheshimu Imani za wananchi wake na za wageni mbalimbali wanaoingia ndani ya visiwa hivyo.

Wageni wanapokaribishwa Zanzibar siku zote hupewa sheria na taratibu za kuishi na wenyeji wa visiwa hivyo na bila kinyongo wageni hao wamekuwa wakizikubali na kuziheshimu, kiasi Cha kufikia kuishi na Kisha kutamani kurudi Tena na Tena ndani ya visiwa hivyo.

Wanaokwazika na TAMADUNI za Zanzibar kiasi Cha kufikia kuona kama ni kero kwao au wanatengwa basi siyo lazima Kwa wao kwenda,wabakie makwao ambako wao wanaona Wana uhuru wa kujiamulia kuishi Kwa namna wapendavyo wao.

ZANZIBAR, endelea kusimama IMARA pasipo na kutetereka.

Zanzibar, mmenikumbusha msimamo imara wa Qatar, ambapo walipoandaa world cup finals na kuwakatalia wazungu kuwa wao hawakubali kuruhusu kampeni za LGBTQ katika finals hizo Kwa namna yoyote Ile.

Japo, wazungu walinuna wengine kutishia kutoshiriki lakini Qatar walisimamia msimamo wao na mashindano yaliendelea Kwa mafanikio makubwa yasiyo na kifani.

Hongera sana Zanzibar,Dumisheni Mila na Tamqduni zenu pasi na kuhofia kitu chochote.
Kula mchana hadharani wakati wa mwezi mtukufu ni Mila za wazanzibar au ni taratibu za kiisilamu? Unaweza kufananisha kula mchana hadharani wakati wa mwezi mtukufu na ushoga, au umeishiwa na utetezi wa hiyo dini yako?
 
Tatizo lenu mna damu ya utumwa na ndio maana akili zenu bado zimedumaa kwa sababu ya utwana mliokuwa nao na bado mnauendeleza

Wala sio mbali si ni majuzi tu karne iliyopita mlikuwa mnachapwa mijeledi na wengine kufanyiwa ukatili wa kutisha ikiwemo kuhasiwa, kugeuzwa na kuuzwa kama watumwa na mabwana wa kutoka mashariki ya kati

Leo hii mmesahau??

Nyie ndio wa kuita watu wa bara mijitu ya Tanganyika na kumwona mwarabu ndugu yenu wa damu wakati mnaswagwa kama mifugo mixer mijeledi kutoka uvinza huko mpaka bagamoyo leo hii mnasahau asili yenu???

Mkataa kwao ni mtumwa na ukikiri we ni mtumwa basi huna tofauti na mbwa maana utu kwako ni kile ulicholazimishwa na masultani

Sasa endekezeni ushenzi wa kukataza kula huku mnafukunyuana mitaro na watoto kufanyiwa ukatili na takwimu zipo huku mnachekelea kama mazuzu

Anzeni kwanza kwa kukomesha udhalimu, udhalilishaji, pingeni ushoga na vinginevyo kisha mthamini utaifa wenu, asili yenu na mkumbuke mlipotoka.
Twende taratibu, tatizo lenu makafiri ni usahaulifu na ujinga.

Kama umefika Zanzibar,lipo hadi kanisa ambako kihistoria watumwa walikuwa wanaombewa hapo kabla ya kupakiwa kwenye meli na kupelekwa ulaya na marekani.

Huko Mombasa ushahidi wa ngome ya Yesu upo,na ni sehemu ambayo mababu zenu wazungu walikuwa wanawachukuwa wazee wetu kuwapeleka utumwani,usije kusema kuwa umesahau kuwa miongoni mwa agents of colonialism Afrika walikuwa ni missionaries,unaanzaje kusahau Hilo??

Wachache wa waarabu walikuwa ni middle men tuh Kwa maelekezo ya hao wamission,usijitie chizi au hamnazo Kwa mambo ambayo yako wazi kabisa.

The Anglican Cathedral of Christ Church was built in Stone Town (the old part of Zanzibar city) in the place where the biggest slave market of Eastern Africa operated. Its altar was placed exactly where the slaves for sale were whipped. On the floor, among the benches, there are black cobblestones as a remembrance of the dungeons used for slaves in the basement. Outside the Cathedral, there is a stone monument showing four people enchained by their necks as a way of reproducing the way in which slaves were offered to buyers.

Near the Church there is the Exhibition of the Slave Market of Eastern Africa, an exhibition center that displays pictures, photographs and historical information.
1712294512407.png
 
Lengo lenu la kutaka kuifanya Zanzibar iwe kitivo Cha uovu haitafanikiwa.

TAMADUNI za Zanzibar na wazanzibar tokea miaka na miaka zinafahamika.

Hata Rate za maambuki ya HIV na magonjwa ya zinaa Kwa wanzibar ni almost zero,mnachotaka ni kuona Zanzibar inaingia kwenye hizo laana unazozisema,hamtafanikiwa.

Kama unakwazika na TAMADUNI za Zanzibar,bakia kwenu bara.
Mbele ya harakati za maisha hakuna cha tamaduni wala mila. RPC amesema ulikua msako wa wavuta bangi ikawa bahati mbaya.
Wewe andika andiko lako huku lakini wenye mamlaka wamekanusha.
 
Back
Top Bottom