Zanzibar msiposimama imara kuendelea kulinda mila na tamaduni zenu, heshima yenu duniani itashuka

Bora wakatae kabisa, kwanza ukipata dharura na ukatakiwa kujifungua kwa upasuaji na ukakosa 150k basi upo hatarini kupoteza uhai wa Mama na Mtoto kama ilivyotokea mara 2 miezi kadhaa nyuma kanda ya ziwa na Tanga .
Utaratibu wa Wanaume kuingia Leba si katika tamaduni za Kiislam
Dunia inakwenda kasi sana. Kuna baadhi ya mambo yapo katika vitabu vya dini lakini wakati unakataa hivyo watu wanaishi kadri leo inavyotaka. Mfano
Hilo la wanaume kuingia leba,ilikua wakati huo ila kwa sasa watu watalipuuza tu.
Mwanamke kuwa kiongozi, ilikua wakati ule ila kwa sasa watu wanapuuzia tu.
Unywaji wa pombe, kwa msisitizo sana imani inakataa leo watu kibao haijalishi imani zao wanapiga kilevi kama kawaida.
Uasherati, uzinzi n.k
Mwanadamu kwa sasa anakemea sana dhambi anayoona anaimudu kuikwepa asiyoimudu anaikaushia.
Jambo la msingi simamia imani yako wewe kama wewe,mengine achana nayo utaumiza kichwa bure.
Dunia kwa sasa ni mwingiliano wa watu hivyo hakuna cha mila,desturi wala tamaduni.
 
View attachment 2954225Inshalaaah Zanzibar tutaendelea Kulinda tamaduni zetu 😛😛😛
Ni kweli,na wengi wao wanatoka bara kwenda kutafuta soko la wazungu huko visiwani,soma vizuri hajasema idadi ya wanawake wa wanzazibar wanaojiuza,kasema idadi ya wanawake kwa jumla,na ukweli ulio wazi tuh kuwa wengi wanatoka bara kwenda zanzibar kujiuza,na wengi wao ni hao makafiri wenzenu wa bongo.
 
Friends and Our Enemies,

Beautiful Islands Of Africa, Zanzibar...
Fahari pekee iliyobakia Africa na inayozidi kuwakilisha ubantu na TAMADUNI za heshima ni wewe Zanzibar.

Watu wengi wakitaka kujitambulisha Kwa wageni WASIO ifaham Tanzania basi utawaskia wakisema huko kuwaambia wageni kuwa Mimi ninatokea Tanzania ile Nchi ya Mlima Kilimanjaro na visiwa vya marashi ya Zanzibar...

Asitokee MTU kuwatisha na kuwadhihaki eti kisa tuh nyinyi mmeamua Kwa dhati na uzalendo kabisa kusimamia MILA na TAMADUNI ZENU.

Tokea zama na enzi Zanzibar imekuwa na utaratibu wa kuheshimu Imani za wananchi wake na za wageni mbalimbali wanaoingia ndani ya visiwa hivyo.

Wageni wanapokaribishwa Zanzibar siku zote hupewa sheria na taratibu za kuishi na wenyeji wa visiwa hivyo na bila kinyongo wageni hao wamekuwa wakizikubali na kuziheshimu, kiasi Cha kufikia kuishi na Kisha kutamani kurudi Tena na Tena ndani ya visiwa hivyo.

Wanaokwazika na TAMADUNI za Zanzibar kiasi Cha kufikia kuona kama ni kero kwao au wanatengwa basi siyo lazima Kwa wao kwenda,wabakie makwao ambako wao wanaona Wana uhuru wa kujiamulia kuishi Kwa namna wapendavyo wao.

ZANZIBAR, endelea kusimama IMARA pasipo na kutetereka.

Zanzibar, mmenikumbusha msimamo imara wa Qatar, ambapo walipoandaa world cup finals na kuwakatalia wazungu kuwa wao hawakubali kuruhusu kampeni za LGBTQ katika finals hizo Kwa namna yoyote Ile.

Japo, wazungu walinuna wengine kutishia kutoshiriki lakini Qatar walisimamia msimamo wao na mashindano yaliendelea Kwa mafanikio makubwa yasiyo na kifani.

Hongera sana Zanzibar,Dumisheni Mila na Tamqduni zenu pasi na kuhofia kitu chochote.
Ka nchi kenyewe kadogo kuliko wilaya ya liwale….Zanzibar bila watalii hana lolote Zanzibar bila bara hana lolote…
Zanzibar bila hao wazungu au wala mchana hakuna lolote hakuna popote pa kuwapa hela nje ya utalii na wala mchana….
Kwanza hakuna utamaduni wa kulazimisha watu kufunga au kutokula hadharani na huo sio utamaduni bali ni ujinga….
Zanzibar wachague moja wanataka utalii au wanataka kutokula mchana?
Ni wazi serikali imechagua utalii…!

Zanzibar uko duniani ina sifika kwa utalii na sio kufunga au kutokula mchana……na hao watalii wote ni wale wala mchana kwa hiyo Zanzibar itake isitake lazima ifate matakwa ya watalii wala mchana kweupe
 
Wamepigwa na waislam au na wazanzibar?

Sababu wazanzibar ambao ni wakristo na watu wa dini zingine hawajawahi kuwa na tatzo na jambo Hilo,jambo Hilo shida ni kwenu nyinyi makafiri wa bongo na chuki zenu, tuambie ni wakristo Gani wamekuja kulalamika kuwa wanapigwa na waislam eti Kwa kuwa wanakula mchana Zanzibar?

Mfano kwenye ile video,how sure you are kuwa yule aliepigwa ni mkristo?

Sababu wapo hata waislam wengine wengi tuh Ramadhan hawafungi,chuki zenu na islamophobia makafiri wa bongo zinawasumbua tuh.

Kwa hakika baadhi ya Wazanzibari hawajastaarabika. Wamekuwa punguani wa akili na dhamira.

Nani walimwua Padre wa Kikatoliki? Yule Padre aliwafanya nini Wazanzibari au wauslam mpaka wamwue?

Wale mashekhe waliohusishwa na ugaidi hadi SMZ kuomva waje wawekwe mahabusu za Dar, walikuwa wanatetea mila na desturi gani za Wazanzibari?

Wazanzibari baadhi wanahitaji msaada. Utumwa umefifisha akili zao kiasi cha kushindwa kuwa na akili ya kutafakari, na kubakia kuwa mapunguani wa kulariri hata upumbavu.
 
Upeo wako ni mdogo sana,au may be una umri mdogo wa kuweza kuelewa mambo,sina level ya kuzungumza na wewe.
 
Ni kweli,na wengi wao wanatoka bara kwenda kutafuta soko la wazungu huko visiwani,soma vizuri hajasema idadi ya wanawake wa wanzazibar wanaojiuza,kasema idadi ya wanawake kwa jumla,na ukweli ulio wazi tuh kuwa wengi wanatoka bara kwenda zanzibar kujiuza,na wengi wao ni hao makafiri wenzenu wa bongo.

Miaka 4 nilienda kutalii Zanzibar. Kijana mmoja wa Kizanzibari akanijia ili anitembeze maeneo mbalimbali, nika.kubalia. Kitu cha ajabu Mzanzibari yule akaanza kuniambia kuwa eti pamoja na kunizungisha maeneo mbalimbali, anaweza kunitafutia chochote ninachotaka. Kama nataka binti yeyote wa Kizanzibari, yeye ataniletea. Nikamkatalia kwa sababu halikuwa hitaji langu. Akawa anaeleza namna ambavyo amekuwa akiwapelekea watalii mabinti wa kizanzibari, akisema kuwa siyo rahisi kwa wageni kuwapata hao malaya, ila kwa wao wazanzibari ni rahisi.

Nilienda mahoteli yale ya kitalii yanayomilikiwa na wazungu. Nilishangaa kuona wahudumu wa hoteli mabinti wa Kizanzibari, wanakuja wakiwa wamevaa mabaibui mpaka eneo la nje ya hoteli, halafu wanaingia kwenye kachumba na kubadilisha mavazi. Wakitoka wamebadilika hasa, mini skirt iliyopigwa huioni hata hapo Dar mabinti wamevaa barabarani.

Nikaamini kuwa Wazanzibari, kwa kiasi kikubwa wamejaa unafiki, na hata hizo taratibu za dini wanalazimishwa, hazipo kwenye mioyo yao. Ndiyo maana hata kufunga inaonekana wanatengeneza mazingira ya kulazimisha.

Wewe umekula usiku wote watu wengine wakiwa wamelala, hawa waliolala usiku wakiamua kula mchana, kuna shida gani?
 
Upeo wako ni mdogo sana,au may be una umri mdogo wa kuweza kuelewa mambo,sina level ya kuzungumza na wewe.

Wewe ni punguani huwezi kufanya argument na mtu anayeelewa. Ungekuwa na akili angalao kidogo ungeeleza kwa nini mlimwua yule padre. Aluwazuia msuwe mnakula usiku?
 
Baada ya kubadilisha masaa ya kula ili kuzingatia ramadhani ya muarabu warudi kwenye minyanduano na anasa za kila aina ikiwemo kufumuana marinda.
 
Sasa unataka kusema utamaduni wa Zanzibar ni WA Vatican city?

Huo ustaarabu wa Zanzibar,Amani upendo na utulivu,utiifu Kwa mamlaka Zao na kuishi na watu wa Iman zingine Kwa heshima na kuvumuliana Tokea Karne na Karne ndiko uliyoifanya Zanzibar kiwe ni kisiwa Cha Amani na kuheshimika duniani.

Huo ni utamaduni wa kiislam ulivyo.

Hakuna vita,hakuna dhulma,hakukuwa na Pombe Zanzibar hizo mnaleta nyinyi makafiri saizi,hakukuwa na kamari,michezo kama ndondi Zanzibar ilikuwa marufuku na kadhalika,hautaki nenda kajambe zako mbele.

Unataka ukienda Zanzibar heshimu taratibu Zao.
kama unaanza kutoa povu jingi kwa kujibu ushuzi basi ishakuwa hivyo na hutaweza kuzuia mwingiliano wa tamaduni kumbuka pia kuna utandawazi na zanzibar haiwezi kuwa kisiwa kilichojitenga na dunia na kianze kuishi kwa tamaduni zake pekee wakati haipo peponi.
 
Mila na taratibu nzuri ndiyo hizo,utake utazifuata,hutaki ondoka...siku zote unakula chakula wewe na familia yako mkiwa ndani,na hamli chakula HADHARANI,Cha ajabu Nini wazanzibar wakiwaambia mle chakula mkiwa ndani kwenu?kwani siku zoote SI mnakuka mkiwa ndani tatizo Nini.
Wewe una defect of reasoning
 
Friends and Our Enemies,

Beautiful Islands Of Africa, Zanzibar...
Fahari pekee iliyobakia Africa na inayozidi kuwakilisha ubantu na TAMADUNI za heshima ni wewe Zanzibar.

Watu wengi wakitaka kujitambulisha Kwa wageni WASIO ifaham Tanzania basi utawaskia wakisema huko kuwaambia wageni kuwa Mimi ninatokea Tanzania ile Nchi ya Mlima Kilimanjaro na visiwa vya marashi ya Zanzibar...

Asitokee MTU kuwatisha na kuwadhihaki eti kisa tuh nyinyi mmeamua Kwa dhati na uzalendo kabisa kusimamia MILA na TAMADUNI ZENU.

Tokea zama na enzi Zanzibar imekuwa na utaratibu wa kuheshimu Imani za wananchi wake na za wageni mbalimbali wanaoingia ndani ya visiwa hivyo.

Wageni wanapokaribishwa Zanzibar siku zote hupewa sheria na taratibu za kuishi na wenyeji wa visiwa hivyo na bila kinyongo wageni hao wamekuwa wakizikubali na kuziheshimu, kiasi Cha kufikia kuishi na Kisha kutamani kurudi Tena na Tena ndani ya visiwa hivyo.

Wanaokwazika na TAMADUNI za Zanzibar kiasi Cha kufikia kuona kama ni kero kwao au wanatengwa basi siyo lazima Kwa wao kwenda,wabakie makwao ambako wao wanaona Wana uhuru wa kujiamulia kuishi Kwa namna wapendavyo wao.

ZANZIBAR, endelea kusimama IMARA pasipo na kutetereka.

Zanzibar, mmenikumbusha msimamo imara wa Qatar, ambapo walipoandaa world cup finals na kuwakatalia wazungu kuwa wao hawakubali kuruhusu kampeni za LGBTQ katika finals hizo Kwa namna yoyote Ile.

Japo, wazungu walinuna wengine kutishia kutoshiriki lakini Qatar walisimamia msimamo wao na mashindano yaliendelea Kwa mafanikio makubwa yasiyo na kifani.

Hongera sana Zanzibar,Dumisheni Mila na Tamqduni zenu pasi na kuhofia kitu chochote.
Isaya 58:4 - 7

Tazama, ninyi mwafunga mpate kushindana na kugombana, na kupiga kwa ngumi ya uovu.
Hamfungi siku hii ya leo hata kuisikizisha sauti yenu juu.

Je! Kufunga namna hii ni saumu niliyoichagua mimi? Je! Ni siku ya mtu kujitaabisha nafsi yake? Ni kuinama kichwa kama unyasi, na kutanda nguo za magunia na majivu chini yake? Je! Utasema ni siku ya kufunga, na ya kukubaliwa na Bwana?

Je! Saumu niliyoichagua, siyo ya namna hii? Kufungua vifungo vya uovu, kuzilegeza kamba za nira, kuwaacha huru walioonewa, na kwamba mvunje kila nira?

Je! Siyo kuwagawia wenye njaa chakula chako, na kuwaleta maskini waliotupwa nje nyumbani kwako? Umwonapo mtu aliye uchi, umvike nguo; wala usijifiche na mtu mwenye damu moja nawe?
 
IBADA YA FUNGA SIYO KWA WATU WOTE,NI KWA WALE TUH AMBAO WAMEAMINI,NA SIYO LAZIMA KUFUNGA KAMA WEWE HAUJAMINI UWEPO WA MUNGU MMOJA MUUMBA WA MBINGU NA ARDHI.

ENYI MLIOAMIMNI! MMELAZIMISHWA KUFUNGA (swaumu) KAMA WALIVYOLAZIMISHWA WALIOKUWA KABLA YENU ILI MPATE KUMCHA ALLAH. SIKU CHACHE TU (kufunga huko). NA ATAKAYEKUWA MGONJWA KATIKA NYINYI AU KATIKA SAFARI (akafungua baadhi ya siku), BASI (atimize) HISABU KATIKA SIKU NYINGINE. NA WALE WASIOWEZA, WATOE FIDIA KWA KUMLISHA MASIKINI. NA ATAKAYEFANYA WEMA KWA RADHI YA NAFSI YAKE, BASI NI BORA KWAKE. NA (huku) KUFUNGA NI BORA KWENU IKIWA MNAJUA. (mwezi huo mlioambiwa kufunga) NI MWEZI WA RAMADHANI AMBAO IMETEREMSHWA KATIKA (mwezi) HUO HII QUR-ANI ILI IWE UWONGOZI KWA WATU, NA HOJA ZILIZO WAZI ZA UWONGOFU NA UPAMBANUZI (wa baina ya haki na batili). ATAKAYEKUWA KATIKA MJI KATIKA HUU MWEZI (wa Ramadhani) AFUNGE. NA MWENYE KUWA MGONJWA AU SAFARINI, BASI (atimize) HISABU (ya siku alizoacha kufunga) KATIKA SIKU NYINGINE. ALLAH ANAKUTAKIENI YALIYO MEPESI NA WALA HAKUTAKIENI YALIYO MAZITO, NA PIA (anakutakieni) MTIMIZE HISABU HIYO. NA (anakutakieni) KUMTUKUZA ALLAH KWA KUWA AMEKUONGOZENI, ILI MPATE KUSHUKURU”. [2:183-185]
 
Weka hizo by laws acha longolongo
 
Weka hizo by laws acha longolongo

NENDA ZANZIBAR UTAPEWA.

SISI TUMEAMINI UWEPO WA MUNGU MMOJA MUUMBA WA MBINGU NA ARDHI,NA TUMEAMINI KUWA MUHAMMAD NI MTUME WAKE,KAMA VILE AMBAVYO TUMEAMINI KUWA YESU ALIKUWA MTUME WAKE NA SIYO MUNGU,KAMA AMBAVYO TUMEAMINI KUWA IBRAHIM,JACOB,MUSSA,ISHAQ,YACOUB,NUHU,ISMAIL,YUNUS NA WENGINE WEENGI HADI BABA YETU ADAM KUWA NI MITUME WAKE,KAMA VILE AMBAVYO WALILAZIMISHWA HAO MITUME WAKE KUFUNGA NA NDIVYO HUVYO HIVYO SISI TUMELAZIMISHWA KUFUNGA ILI TUPATE KUWA WACHAMUNGU.

NYINYI MAKAFIRI MNASEMA MNAFUNGA KWARESMA SIJUI,MNAFUNGA NINI EXACTLY??MAANA HALISI YA FASTING MNAIJUA??

YESU ALIFUNGA KWA UTARATIBU UPI,NA JE NYINYI MNAFUNGA KAMA VILE AMBAVYO YEYE ALIKUWA ANAFUNGA AU MNAIGIZA??
 
Nauliza
Kufunga mwezi wa ramadhani ndio utamaduni wa Mzanzibari?
Mi ninavyofahamu huo ni utamaduni wa Mwarabu aliyevamia zanzibar na kuishia kufukuzwa na wazanzibari.

Hivi kabla ya kuja mwarabu Mzanziba alikuwa hana utamaduni?

Hivi ni nani aliyeanza kuishi zanzibar kati ya Mzanzibari na Mwarabu?
Kufunga ni kwa yule alieamini, na sio utamaduni wa Wazanzibari tu!

Na hizo mila zenu za kiafrika za kucheza ngoma, kuuwa mnyama na kunywa damu n.k, kujitoboa ulimi, masikio, kuvaa mavazi yasio na stara na kujipaka marangi usoni n.k si katika mila za kiislamu.
 
Friends and Our Enemies,

Beautiful Islands Of Africa, Zanzibar...
Fahari pekee iliyobakia Africa na inayozidi kuwakilisha ubantu na TAMADUNI za heshima ni wewe Zanzibar.

Watu wengi wakitaka kujitambulisha Kwa wageni WASIO ifaham Tanzania basi utawaskia wakisema huko kuwaambia wageni kuwa Mimi ninatokea Tanzania ile Nchi ya Mlima Kilimanjaro na visiwa vya marashi ya Zanzibar...

Asitokee MTU kuwatisha na kuwadhihaki eti kisa tuh nyinyi mmeamua Kwa dhati na uzalendo kabisa kusimamia MILA na TAMADUNI ZENU.

Tokea zama na enzi Zanzibar imekuwa na utaratibu wa kuheshimu Imani za wananchi wake na za wageni mbalimbali wanaoingia ndani ya visiwa hivyo.

Wageni wanapokaribishwa Zanzibar siku zote hupewa sheria na taratibu za kuishi na wenyeji wa visiwa hivyo na bila kinyongo wageni hao wamekuwa wakizikubali na kuziheshimu, kiasi Cha kufikia kuishi na Kisha kutamani kurudi Tena na Tena ndani ya visiwa hivyo.

Wanaokwazika na TAMADUNI za Zanzibar kiasi Cha kufikia kuona kama ni kero kwao au wanatengwa basi siyo lazima Kwa wao kwenda,wabakie makwao ambako wao wanaona Wana uhuru wa kujiamulia kuishi Kwa namna wapendavyo wao.

ZANZIBAR, endelea kusimama IMARA pasipo na kutetereka.

Zanzibar, mmenikumbusha msimamo imara wa Qatar, ambapo walipoandaa world cup finals na kuwakatalia wazungu kuwa wao hawakubali kuruhusu kampeni za LGBTQ katika finals hizo Kwa namna yoyote Ile.

Japo, wazungu walinuna wengine kutishia kutoshiriki lakini Qatar walisimamia msimamo wao na mashindano yaliendelea Kwa mafanikio makubwa yasiyo na kifani.

Hongera sana Zanzibar,Dumisheni Mila na Tamqduni zenu pasi na kuhofia kitu chochote.
 
Attachments

  • GDkA6xli2D2JxmwDAFPK_vl04JgabmdjAAAF.mp4
    4 MB
Mimi ni wa bara, ila unavyoongea utafikiri peke yako una haki ya kuishi huku, halafu huwa hamfikirii umauti, mpo kidunia sana.

Makafiri wao pepo yao ni hapa duniani,thats why wako radhi kufanya kufuru zozote kwa kuwa wanajuwa wakifa wao ni wanaenda kupata uzima wa milele na YESU KESHAKUFA KWA DHAMBI ZAO,UKIWAULIZA KATIKA HUO UZIMA WA MILELE MAISHA YENU YATAKUWA VIPI??HAWANA LA KUSEMA
 
NENDA ZANZIBAR UTAPEWA.

SISI TUMEAMINI UWEPO WA MUNGU MMOJA MUUMBA WA MBINGU NA ARDHI,NA TUMEAMINI KUWA MUHAMMAD NI MTUME WAKE,KAMA VILE AMBAVYO TUMEAMINI KUWA YESU ALIKUWA MTUME WAKE NA SIYO MUNGU,KAMA AMBAVYO TUMEAMINI KUWA IBRAHIM,JACOB,MUSSA,ISHAQ,YACOUB,NUHU,ISMAIL,YUNUS NA WENGINE WEENGI HADI BABA YETU ADAM KUWA NI MITUME WAKE,KAMA VILE AMBAVYO WALILAZIMISHWA HAO MITUME WAKE KUFUNGA NA NDIVYO HUVYO HIVYO SISI TUMELAZIMISHWA KUFUNGA ILI TUPATE KUWA WACHAMUNGU.

NYINYI MAKAFIRI MNASEMA MNAFUNGA KWARESMA SIJUI,MNAFUNGA NINI EXACTLY??MAANA HALISI YA FASTING MNAIJUA??

YESU ALIFUNGA KWA UTARATIBU UPI,NA JE NYINYI MNAFUNGA KAMA VILE AMBAVYO YEYE ALIKUWA ANAFUNGA AU MNAIGIZA??
Inawezekana hata hizo by laws zikawaka hazipo
 
Back
Top Bottom