Zanzibar msiposimama imara kuendelea kulinda mila na tamaduni zenu, heshima yenu duniani itashuka

Zanzibar msiposimama imara kuendelea kulinda mila na tamaduni zenu, heshima yenu duniani itashuka

Friends and Our Enemies,

Beautiful Islands Of Africa, Zanzibar...
Fahari pekee iliyobakia Africa na inayozidi kuwakilisha ubantu na TAMADUNI za heshima ni wewe Zanzibar.

Watu wengi wakitaka kujitambulisha Kwa wageni WASIO ifaham Tanzania basi utawaskia wakisema huko kuwaambia wageni kuwa Mimi ninatokea Tanzania ile Nchi ya Mlima Kilimanjaro na visiwa vya marashi ya Zanzibar...

Asitokee MTU kuwatisha na kuwadhihaki eti kisa tuh nyinyi mmeamua Kwa dhati na uzalendo kabisa kusimamia MILA na TAMADUNI ZENU.

Tokea zama na enzi Zanzibar imekuwa na utaratibu wa kuheshimu Imani za wananchi wake na za wageni mbalimbali wanaoingia ndani ya visiwa hivyo.

Wageni wanapokaribishwa Zanzibar siku zote hupewa sheria na taratibu za kuishi na wenyeji wa visiwa hivyo na bila kinyongo wageni hao wamekuwa wakizikubali na kuziheshimu, kiasi Cha kufikia kuishi na Kisha kutamani kurudi Tena na Tena ndani ya visiwa hivyo.

Wanaokwazika na TAMADUNI za Zanzibar kiasi Cha kufikia kuona kama ni kero kwao au wanatengwa basi siyo lazima Kwa wao kwenda,wabakie makwao ambako wao wanaona Wana uhuru wa kujiamulia kuishi Kwa namna wapendavyo wao.

ZANZIBAR, endelea kusimama IMARA pasipo na kutetereka.

Zanzibar, mmenikumbusha msimamo imara wa Qatar, ambapo walipoandaa world cup finals na kuwakatalia wazungu kuwa wao hawakubali kuruhusu kampeni za LGBTQ katika finals hizo Kwa namna yoyote Ile.

Japo, wazungu walinuna wengine kutishia kutoshiriki lakini Qatar walisimamia msimamo wao na mashindano yaliendelea Kwa mafanikio makubwa yasiyo na kifani.

Hongera sana Zanzibar,Dumisheni Mila na Tamqduni zenu pasi na kuhofia kitu chochote.
Ni safi kabisa, kamata wote wanaokula tia ndani, lazima utamaduni wa Zanzibar ulindwe.
 
Makafiri wao pepo yao ni hapa duniani,thats why wako radhi kufanya kufuru zozote kwa kuwa wanajuwa wakifa wao ni wanaenda kupata uzima wa milele na YESU KESHAKUFA KWA DHAMBI ZAO,UKIWAULIZA KATIKA HUO UZIMA WA MILELE MAISHA YENU YATAKUWA VIPI??HAWANA LA KUSEMA
Kweli kabisa, ni kuwatandika viboko makafiri.
 
NENDA ZANZIBAR UTAPEWA.

SISI TUMEAMINI UWEPO WA MUNGU MMOJA MUUMBA WA MBINGU NA ARDHI,NA TUMEAMINI KUWA MUHAMMAD NI MTUME WAKE,KAMA VILE AMBAVYO TUMEAMINI KUWA YESU ALIKUWA MTUME WAKE NA SIYO MUNGU,KAMA AMBAVYO TUMEAMINI KUWA IBRAHIM,JACOB,MUSSA,ISHAQ,YACOUB,NUHU,ISMAIL,YUNUS NA WENGINE WEENGI HADI BABA YETU ADAM KUWA NI MITUME WAKE,KAMA VILE AMBAVYO WALILAZIMISHWA HAO MITUME WAKE KUFUNGA NA NDIVYO HUVYO HIVYO SISI TUMELAZIMISHWA KUFUNGA ILI TUPATE KUWA WACHAMUNGU.

NYINYI MAKAFIRI MNASEMA MNAFUNGA KWARESMA SIJUI,MNAFUNGA NINI EXACTLY??MAANA HALISI YA FASTING MNAIJUA??

YESU ALIFUNGA KWA UTARATIBU UPI,NA JE NYINYI MNAFUNGA KAMA VILE AMBAVYO YEYE ALIKUWA ANAFUNGA AU MNAIGIZA??

Wewe ni duni sana katika kila kitu. Maana unaamini kubadilisha muda wa kula ndiyo kufunga.

Yesu alifunga usiku na mchana kwa siku 40, akijaribiwa na ibilisi. Yesu hakuwa na sababu ya kufunga bali aliyoyatenda ilikuwa ni mpango wa Mungu Baba kutaka kutuonesha sisi wanadamu tunavyotakiwa kuenenda kwa kadiri ya mpango wa Mungu. Yesu alipofunga, hakuna siku alienda kuwachapa watu barabarani eti kwa sababu hawajafunga. Na katika kufunga kwake, lililokuwa kubwa siyo kutokula bali ilikuwa kumshinda shetani, yaani kuishinda dhambi. Sasa wewe huli mchana, usiku mzima unafakamia chakula, tena unakula kuliko wanaokula mchana, unatoka na chuki tele kwa wanadamu wenzako, umefunga nini mnafiki wewe?

Wanaofanya hivyo ndio hao ambao Yesu aliwaona toka nyakati hizo pale aliposema, msiwe kama wale wanafiki, ambao wakifunga, wanakunja sura zao, wakitaka watu wote wajue kuwa wamefunga. Hakika hao hawana thawabu yoyote maana sifa wanayoitafuta wamekwishaipata. Ila ninyi mfungapo, jipakeni mafuta, tabasamuni ili watu wasijue kama mmefunga bali Baba yenu wa Mbinguni".

Wakristo wa kweli hawafungi kwa maonesho kama baadhi yenu mnavyofanya. Huwezi kujua nani amefunga na nani hajafunga.

Endeleeni kubadilisha ratiba ya kula ili kutafuta sifa kwa wanadamu.
 
Viongoz wamekanusha sio sheria, sasa sijui wanamkata nani kwa sheria ipi
Hao si wanaongea tu kujikosha kwa wana dunia, lakini deepdown wanatamani kuyatia ndani makafiri yote.

Na watu wa dini hiyo ni wanafiki sana, wanaongea hivi wanatenda vile.
 
Wakristo mna funga wapi??tunaskia tuh mnasema kuwa mnafunga kwaresma,mnachofunga ni kipi sasa??

Maana ya funga ni kuabstain something,sasa kama hauabstain kula unaabstain kitu gani na kwa wakati upi??

Sisi hatufungi kumuonesha mtu,sisi funga ni NGUZO YETU YA DINI,DINI YETU INA NGUZO TANO YA SHAHADAH,SWALA,FUNGA,ZAKAH,HIJJAH,SASA UNASEMAJE TUNAFUNGA KUMUONESHA MTU??

Wewe unaumia nini na funga yangu hadi utake kujifananisha na ya kwako??we kama una funga yako na kwako unaiona bora sawa endelea nayo,hapo hapo unasema yesu alifunga mchana na usiku siku arobaini sawa..FUNGA BASI NA WEWE KAMA ALIVYOKAFUNGA YESU MBONA HAUIGI KITU ALICHOKIFANYA YESU SASA KAMA KWELI UNA MPENDA.

Na kwa taarifa yako hakuna mtu anabadilisha muda wa kula,hapo unaongea upuuzi tuh,FUNGA NI MWANZO WA ALFAJIR HADI KUZAMA KWA JUA,KAMA MTU AKIAMUA KULA USIKU KUCHA NI HIYARI YAKE HAJABANWA KATIKA HILO,SASA TATIZO LAKO NINI.
 
Hao si wanaongea tu kujikosha kwa wana dunia, lakini deepdown wanatamani kuyatia ndani makafiri yote.

Na watu wa dini hiyo ni wanafiki sana, wanaongea hivi wanatenda vile.
Viongozi ndio wasimamizi wakuu wa sheria pamoja na vyombo husika. Sasa unasema ni maneno tu, lakini mahakama haifanyi kazi kwa maneno tu, haijalishi deep down wana feel vipi, sheria ndio mwamuzi wa mwisho. Kwanini walibadili kesi dakika za mwisho?
 
Friends and Our Enemies,

Beautiful Islands Of Africa, Zanzibar...
Fahari pekee iliyobakia Africa na inayozidi kuwakilisha ubantu na TAMADUNI za heshima ni wewe Zanzibar.

Watu wengi wakitaka kujitambulisha Kwa wageni WASIO ifaham Tanzania basi utawaskia wakisema huko kuwaambia wageni kuwa Mimi ninatokea Tanzania ile Nchi ya Mlima Kilimanjaro na visiwa vya marashi ya Zanzibar...

Asitokee MTU kuwatisha na kuwadhihaki eti kisa tuh nyinyi mmeamua Kwa dhati na uzalendo kabisa kusimamia MILA na TAMADUNI ZENU.

Tokea zama na enzi Zanzibar imekuwa na utaratibu wa kuheshimu Imani za wananchi wake na za wageni mbalimbali wanaoingia ndani ya visiwa hivyo.

Wageni wanapokaribishwa Zanzibar siku zote hupewa sheria na taratibu za kuishi na wenyeji wa visiwa hivyo na bila kinyongo wageni hao wamekuwa wakizikubali na kuziheshimu, kiasi Cha kufikia kuishi na Kisha kutamani kurudi Tena na Tena ndani ya visiwa hivyo.

Wanaokwazika na TAMADUNI za Zanzibar kiasi Cha kufikia kuona kama ni kero kwao au wanatengwa basi siyo lazima Kwa wao kwenda,wabakie makwao ambako wao wanaona Wana uhuru wa kujiamulia kuishi Kwa namna wapendavyo wao.

ZANZIBAR, endelea kusimama IMARA pasipo na kutetereka.

Zanzibar, mmenikumbusha msimamo imara wa Qatar, ambapo walipoandaa world cup finals na kuwakatalia wazungu kuwa wao hawakubali kuruhusu kampeni za LGBTQ katika finals hizo Kwa namna yoyote Ile.

Japo, wazungu walinuna wengine kutishia kutoshiriki lakini Qatar walisimamia msimamo wao na mashindano yaliendelea Kwa mafanikio makubwa yasiyo na kifani.

Hongera sana Zanzibar,Dumisheni Mila na Tamqduni zenu pasi na kuhofia kitu chochote.
Naunga mkono hoja,wasije kuua zile tamaduni zao ikiwemo matamasha ya kiximkazi,sauti za busara ,taarabu nk vinginevyo itakuwa ni hasara kwao maana ishu ya muhimu zaidi kwao ni Utalii wa Asili.
 
Naunga mkono hoja,wasije kuua zile tamaduni zao ikiwemo matamasha ya kiximkazi,sauti za busara ,taarabu nk vinginevyo itakuwa ni hasara kwao maana ishu ya muhimu zaidi kwao ni Utalii wa Asili.

Asante sana.
 
Na kwa taarifa yako hakuna mtu anabadilisha muda wa kula,
Waislamu wakianza kufunga ofisini hapakaliki ni wanacheua mavimbizi ya machakula ya usiku kucha

Maana usiku wanakula kama viwavi jeshi
 
Waislamu wakianza kufunga ofisini hapakaliki ni wanacheua mavimbizi ya machakula ya usiku kucha

Maana usiku wanakula kama viwavi jeshi
Haitakiwi kuwa hivyo,labda hao itakuwa wanafunga kwaresma na siyo RAMADHANI...

Ramadhani ni funga ya heshima muislam anaeijitambua hawezi kufanya ujinga kama huo.
 
Baada ya kubadilisha masaa ya kula ili kuzingatia ramadhani ya muarabu warudi kwenye minyanduano na anasa za kila aina ikiwemo kufumuana marinda.

Suala la kufumuana marinda ni lenu,na hadi papa kawapa RUHUSA KATIKA HILOO,WHY MNAKATAA UHALIA AMBAO HATA KIONGOZI WENU WA DINI KAWAPA RUKSA??
 
Lini zanzibar iliheshimu imani za wengine?daily wanabomoa na kuandamana kisa makanisa
Makanisa zanzibar yapo toka zama za utumwa,na mengine yalikuwa hadi yanatumika kuombea watumwa kabla hawajapeleka ulaya na marekani,yasibomolewe kipindi hiko yale yabomolewe leo?

The Anglican Cathedral of Christ Church was built in Stone Town (the old part of Zanzibar city) in the place where the biggest slave market of Eastern Africa operated. Its altar was placed exactly where the slaves for sale were whipped. On the floor, among the benches, there are black cobblestones as a remembrance of the dungeons used for slaves in the basement. Outside the Cathedral, there is a stone monument showing four people enchained by their necks as a way of reproducing the way in which slaves were offered to buyers.

Near the Church there is the Exhibition of the Slave Market of Eastern Africa, an exhibition center that displays pictures, photographs and historical information.

1712315322100.png
 
Dini ya kobazi ni ya kijima sana! Mtu akila mbele yako wewe inakuathiri nini kama si kujiendekeza?

Hao wazungu wasipokuja kutalii thamani ya Zanzibar itakua nini? Ile minyoo mnayosoma imewaharibu sana akili!
Swala si kuathirika kwa mtu kula mbele yako ila hapa swala ni kuheshimu mila na desturi za wenyeji. Kuna majaribu ya kuigeuza na kuibadili Zanzibar kama ilivyofanywa Dar es salaam. Hili kwa uwezo wa Mungu halitofanikiwa. Huwezi kuheshimu mila na desturi usije Zanzibar.
Thamani ya Zanzibar haipo kwa kuja Wazungu. Wazungu wanakuja Zanzibar ina thamani tokea enzi. Kama hujui wazungu wanakuja kushuhudia thamani yake. Nasi tunasema 'Zanzibar ni njema atakaye aje'.
 
Back
Top Bottom