Zanzibar: Mwanafunzi wa Shule ya Kizimbani, aliyepotea tangu ijumaa apatikana akiwa kafariki, amekatwa mkono

Binti raiyan ameir amour mwanafunzi shule ya kizimbani Zanzibar aliepotea tangu ijumaa apatikana akiwa amefariki huku akiwa amekatwa mkono mMoja.

Mbunge wa Jimbo hilo ataka uchunguzi wa kina ufanyike na watuhumiwa wakamatwe, bado haija julikana chanzo nk

View attachment 3683980

Najiuliza swali kuhusu haya mauaji ya sasa...Kuna watu wanaotoa binadamu wenzao makafara? Na kwanini?
 
99.9% ni mwanaume ndiyo atakuwa amefanya hivyo.
Anaweza kua mamba,allien,mwanamke or asijulikane aliefanya hivyo tho mimi pia nafikiri atakuwa mwanaume..BUT

Kujadili masuala haya ya uhalifu kwa ku point gender huwa yana Hamisha mjadala wanaume watakuja kutafuta justification ya mauaji hili wanaume wasiwe matopeni..

Umeona mjadala wa dada wa Bunju?now haijadili mauaji,inajidiliwa Usaliti na kupenda mali wa wanawake wa kichaga..

Kuna mtu kwenye uzi huu anauliza kuhusu mauaji ya Haiti mbona yamefanywa na mwanamke?you see???Kuna uhusiano gani na mtoto wa Zanzibar??..
 
daah naumia sana aisee. nina watoto na cjui mzazi wake yukoje muda huu.
 
Anaweza kua mamba,allien,mwanamke or asijulikane aliefanya hivyo tho mimi pia nafikiri atakuwa mwanaume..BUT

Kujadili masuala haya ya uhalifu kwa ku point gender huwa yana Hamisha mjadala wanaume watakuja kutafuta justification ya mauaji hili wanaume wasiwe matopeni..

Umeona mjadala wa dada wa Bunju?now haijadili mauaji,inajidiliwa Usaliti na kupenda mali wa wanawake wa kichaga..

Kuna mtu kwenye uzi huu anauliza kuhusu mauaji ya Haiti mbona yamefanywa na mwanamke?you see???Kuna uhusiano gani na mtoto wa Zanzibar??..
Hiyo ya Haiti nimeisikia tu lakini nasikia waliofanya hicho kitendo kabisa ni wanaume kwa kutumwa na mwanamke.
 
Wa bunju je? nitajie matukio matano ya mauaji yaliyofanywa wanawake nitakutajia matukio kumi yaliyofanywa na wanaume likiwemo hili, acheni kutetea ushenzi
I hate to play gender games but let's do it

Samia Suluhu Hassan akiwa kama amiri jeshi mkuu aliruhusu askari kuua raia zaidi ya 10,000 Tanzania nzima..

Why women are so evil??wanaume wanaua ila hakuna wa kuvunja record ya samia
 
Alishika bunduki yeye akawa anaua? katika hao askari waliokua wanaua kulikua kuna askari wa kike???
 
Back
Top Bottom