Zanzibar na ndizi za mjane!

Kwani huu muungano unafaida gani. Uvunjike tu
 
Weye ni mchonganishi.Unamfundisha mtu namna ya kumchukia mtu na kumpa na maneno ya kuyatumia.
Najua ninachofanya.

Naongea na NAFSI na DHAMIRA ya ndani ya mtu.

Tuungane pamoja tuijenge Nchi yetu, nyuma yetu tuna maelfu wanaotutegemea.

Aamen.
 
Tunalaumu kitendo cha serikali ya Zanzibar, silaumu mtu binafsi.
Sera ya kuibagua Bara ni ya nchi ya Zanzibar.
Suala la kumsapoti mama Samia kiuongozi maana yake atatue kero hizi.
Fact ni kwamba presently ndiye rais wa Tanzania, kelele hizi zimfikie.
Akidharau hizi sentimennts, mie namtosa tu, kuna tatizo gani?
Hata Magufuli tulimchagua, lakini kwa figisu zake tulimtosa humu mtandaoni.

Pili, mimi nabishana on matters of principles based on facts.
Siweki score sheet nabishana na nani.
Hivyo hata tulivyobishana mimi sikumbuki.
Hili ndio linaifanya JF kuwa uwanda wa Great Thinkers.
 
Kwani huu muungano unafaida gani. Uvunjike tu
Lakini sisikii lolote toka huko kwa wanufaika wa huo muungano wakilisema hilo la kuuvunja.
Na hata nyinyi mnaotaka uvunjwe, naona hamchukui hatua yoyote ya kuanza kazi hiyo ya kuuvunja. Naona ni sauti zinazopigwa toka uchochoroni tu zisizosikika kokote ili hatua zichukuliwe kuuvunja.
 
Hizi sauti za uchochoroni ndiyo hatua zenyewe
 
Huna msimamo unaoeleweka katika jambo lolote.

Huyo Rais anayetawala nchi inayoparaganyika, yeye haoni kitu chochote juu ya hilo, ni rais wa kitu gani huyo!

EeenHee, eti huweki 'scorecard', ndiyo maana unayumbayumba kwa kila jambo, kwa sababu hujui jana umechangia kitu gani, na leo unasimamia nini. Hiyo ndiyo maana ya kutoweka 'scorecard'.
 
ZRA sio TRA

T sio Tanganyika
T ni Tanzania (Tanganyika+Zanzibar)

ZRA is for Zanzibar Only!

Tanganyika is nothing to Zanzibar, nyinyi wa Bara mnajipendekeza sana kwa kupitia kivuli cha muungano wa nchi mbili (Tanyanyika & Zanzibar) Ila wenzenu wanawachukulia km nchi zingine za Mozambique au Malawi au Kenya sio nchi moja km nchi ya Tanzania wao wana nchi yao ya Zanzibar hawaijui Tanzania wala Tanganyika

Anzia hapo
 
You are not neccessarily right in fact or opinion.
Actually uko entitled to your own opinion, however erroneous!
 
You are not neccessarily right in fact or opinion.
Actually uko entitled to your own opinion, however erroneous!
Miye nina'observe' tu ninayoyashuhudia na kuyasema.
Indeed, it is my right, and there should be no questions about that.

The good thing about JF, records are abundantly available, and they speak for themselves.

Anyone interested to know the truth about the issues at hand can easily access these records and judge for themselves based on what is available.
 
Niko tayari kumchangia elfu20 kila mwezi kwa mwaka mzima, tafadhari namba yake ipatikane, tunaomba Gadi TV na Milard Ayo wamhoji tupate details zake
 
Kwelli ila kukitokea kutengana, basi Dar na pwani nzima ijiandae kupokea wakimbizi mana hawa jamaa hawatawezana wakibaki wenyewe. Ni kama Somalia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…