Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Sio Zanzibar tu, nakwambiaje CCM ni Chama pinzani Tanzania nzima Bara na visiwani 2020-2025. Amini nakwambia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa huko mbona zile mashine ndo zawatazama kwenye nyuso zao?
Sio Zanzibar tu, nakwambiaje Ccm ni Chama pinzani Tanzania nzima Bara na visilani 2020-2025. Amini nakwambia
Watanzania siyo wajinga, Jiwe aende chatoWatanzania safari hii watamfundisha Tundu Lissu somo muhimu sana la kihistoria kwa kumpa kura zote raisi John Magufuli.
Litakuwa si fundisho kwa Tundu Lissu pekee bali hata kwa bosi wake Bob Amsterdam, washirika wao wote na wale wote wasoitakia mema Tanzania.
Baada ya JPM kutangazwa mshindi kwa kishindo tutangojea aapishwe rasmi na kisha kuhutubia Bunge la JMT ambalo safari hii litakuwa limesheheni wabunge karibu wote kutoka CCM.
Tukimaliza hilo twaendelea na maisha.
Three days to go
uHakuna raia yoyote ambae atathubutu kuandamana.
Uchaguzi utakuwa na utulivu kuliko unavyofikiria.
Watanzania hawana desturi ya kupenda vurugu za kijinga.
Ila polisi wapo tayari kwa vurugu na chochokocho zitakazojitokeza wakati wa kupiga kura na baada ya shughuli hiyo kukamilika.
Mimi nipo hapa Kijitoupele Stone Town naona hali ni shwari kabisa.
Chama cha Mbowe kinatamani machafuko siku zote,ila Mungu sio Mbowe na genge lake. Tutavuka salama.
Tatizo vijana mmeanza kuahiriki Uchaguzi mwaka huu
Hivyo vimhemko vitaisha October 29
Dah mkuu kijito upele ni stone town.. tuache bwana
Mimi nakuapia kwa mungu nishajitoa mhanga liwalo na liwe lkn hatukubal.
Kinachosikitisha kura ya tarehe 27 wanaopiga wengi watu kutoka bara.
u
Waapi bwanaa!!! mtapoteana msijue mlipoanzia .. maana mtakapoishia ni dhahiri..wanangu wa kangagani wananiambia ama wamkabidhi nchi maalim au vituo vya polisi wete na chake viwe magofu! They are now in possession of handgrenades (8 in number ), successful imported from shimoni
Maalim Seif Sharif Hamad Aongezewe ulinzi... ndie Rais mpya wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.