PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,786
- 35,916
Hii ni moja ya thread Bora Kwa mwaka huu kama hawa wajinga wa kijani watachukua ushauri huu basi nchi itavuka Salama mwaka huu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida ni kwamba ccm hii nani ana busara?Zanzibar wakati huu ni busara zaidi ndizo zinazohitajika ili kuiokoa
Nguvu ya dola mnayotumia ili tu mshinde wakat hamna uwezo ni ya nini? Sijui mna vichwa gani.Chama cha Mbowe kinatamani machafuko siku zote,ila Mungu sio Mbowe na genge lake. Tutavuka salama.
Sasa huu ndio mnayoyata kwa vile haikupatikana kwa vikaratasi?Uhuru wa Zanzibar haukupatikana kwenye kipande cha kikaratasi cha kupigia kura
Pili wakati waafrika weusi wakibeba mashoka na mapanga kumpindua sultani wapemba waarabu akina Seif Sharif Hamad walikuwa wakinywa kahawa na kutafuna tambuu na watoto wa sultani
Mapunduzi ya 1964 yataendelea kulindwa kwa gharama zote
Mapinduzi daimaaaaaaaa!!!!
Unamwaga damu ya mtz mwenzako sababu ya tumbo la mtawala ambae hawezi kukusaidia Wala kukumbuka pindi utokapo kuuwa raia wasio na silaha mtaani na unarudi nyumbani unakuta nawe familia yako au wazazi wako nawe wameuliwa na waandamanaji.Maana mtawala yeye upanda ndege na familia yake kutorokea nchi nyingine.Thus hizi kazi za utumwa unaamurishwa tu Kama hi ng'ombe kauwe watz wenzako unakwenda tu u reason nilikataa.Watu watatu Pemba wameshapigwa risasi usiku huu na kufa hapo hapo maeneo ya kangagani
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Jiwe ni muumini wa kupiga na sio kujadili ndie atatuletea vitaZanzibar wakati huu ni busara zaidi ndizo zinazohitajika ili kuiokoa
Mimi nimesema ninamwombea Jakaya Kikwete Muumba ampe afya na uzima katika miaka mitano hadi kumi ili ashuhudie alichowafanyia waTz kwa kuruhusu hili boga kuingia ikulu. Tz itachafuka sana zaidi ya kila mtu alivyowahi kufikiria - kisa ni akilio za bogo hili. Halina soni, halina aibu, halina utu hata chembe,Nakuaapia binadamu ni kiumbe wa ajabu sanaa.
Kipimo
Kama Magufuli anapendwa angeruhusu mfumo wa DEMOKRASIA ndani ya chama
Mtu yeyote makini CCM achukue fomu ya Urais zipigwe kura ndani ya chama hakika yangetokea ya Paul makonda KIGAMBONI.
Mtu usimpe nyongeza ya mshahara usimpandishe madaraja alafu unawaziba watu wasipaze sauti.
Alafu unajinasibu unapendwa
Watu walio karibu na Magufuli wamweleweshe maana ya Mfumo wa uwakilishi wa vyama vingi....
Mm sishadadii chadema kuchukua power la! Kama wananchi wakiamua who know?
Haiwezekani watu tupo karne ya 21 Tena uchumi wa Kati mtu mmoja mwenye PHD Anasimama anasema msipo niletea SILINDE sileti maji....
Mtu huyo huyo anasema MAENDELEO hayana chama huyo huyo anasema mkichagua upinzani hawaletei MAENDELEO....