Zanzibar ni bomu linalosubiri kulipuka, Watawala mkifanya kiburi halitoiacha nchi salama

Zanzibar ni bomu linalosubiri kulipuka, Watawala mkifanya kiburi halitoiacha nchi salama

Uhuru wa Zanzibar haukupatikana kwenye kipande cha kikaratasi cha kupigia kura

Pili wakati waafrika weusi wakibeba mashoka na mapanga kumpindua sultani wapemba waarabu akina Seif Sharif Hamad walikuwa wakinywa kahawa na kutafuna tambuu na watoto wa sultani

Mapunduzi ya 1964 yataendelea kulindwa kwa gharama zote

Mapinduzi daimaaaaaaaa!!!!
Sasa huu ndio mnayoyata kwa vile haikupatikana kwa vikaratasi?

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Nakuaapia binadamu ni kiumbe wa ajabu sanaa.
Kipimo
Kama Magufuli anapendwa angeruhusu mfumo wa DEMOKRASIA ndani ya chama
Mtu yeyote makini CCM achukue fomu ya Urais zipigwe kura ndani ya chama hakika yangetokea ya Paul makonda KIGAMBONI.

Mtu usimpe nyongeza ya mshahara usimpandishe madaraja alafu unawaziba watu wasipaze sauti.
Alafu unajinasibu unapendwa

Watu walio karibu na Magufuli wamweleweshe maana ya Mfumo wa uwakilishi wa vyama vingi....
Mm sishadadii chadema kuchukua power la! Kama wananchi wakiamua who know?

Haiwezekani watu tupo karne ya 21 Tena uchumi wa Kati mtu mmoja mwenye PHD Anasimama anasema msipo niletea SILINDE sileti maji....

Mtu huyo huyo anasema MAENDELEO hayana chama huyo huyo anasema mkichagua upinzani hawaletei MAENDELEO....
 
Bomu hilo vipi tena...huku Tbr tuna mabomu ys nyuki hayo ni htr..
 
Walipigiwa kelele watatue kero za muungano wakaweka pamba yasingetokea haya, badala ya kuwasikiliza wananchi unawekeza kwenye dola mawazo ya kijima kabisa, kuwaweka masheik ndani hakuwezi waogopesha watu, kumechangia nn kuzuia hisia za watu wasidai haki zao. Global vision dunia ya Sasa ni ya majadiliano Kati ya watawala na watawaliwa ukaa chini pamoja na kuzitatua kero zao na sio ya kuweka gapi Kati ya pande zote mbili
 
Watu watatu Pemba wameshapigwa risasi usiku huu na kufa hapo hapo maeneo ya kangagani

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Unamwaga damu ya mtz mwenzako sababu ya tumbo la mtawala ambae hawezi kukusaidia Wala kukumbuka pindi utokapo kuuwa raia wasio na silaha mtaani na unarudi nyumbani unakuta nawe familia yako au wazazi wako nawe wameuliwa na waandamanaji.Maana mtawala yeye upanda ndege na familia yake kutorokea nchi nyingine.Thus hizi kazi za utumwa unaamurishwa tu Kama hi ng'ombe kauwe watz wenzako unakwenda tu u reason nilikataa.
 
Umenena vyema jeshi lijifunze kwa jeshi la Malawi liwaache wanasiasa wanyukane wenyewe lisijiingize kuegemea upande mmoja
 
Nakuaapia binadamu ni kiumbe wa ajabu sanaa.
Kipimo
Kama Magufuli anapendwa angeruhusu mfumo wa DEMOKRASIA ndani ya chama
Mtu yeyote makini CCM achukue fomu ya Urais zipigwe kura ndani ya chama hakika yangetokea ya Paul makonda KIGAMBONI.

Mtu usimpe nyongeza ya mshahara usimpandishe madaraja alafu unawaziba watu wasipaze sauti.
Alafu unajinasibu unapendwa

Watu walio karibu na Magufuli wamweleweshe maana ya Mfumo wa uwakilishi wa vyama vingi....
Mm sishadadii chadema kuchukua power la! Kama wananchi wakiamua who know?

Haiwezekani watu tupo karne ya 21 Tena uchumi wa Kati mtu mmoja mwenye PHD Anasimama anasema msipo niletea SILINDE sileti maji....

Mtu huyo huyo anasema MAENDELEO hayana chama huyo huyo anasema mkichagua upinzani hawaletei MAENDELEO....
Mimi nimesema ninamwombea Jakaya Kikwete Muumba ampe afya na uzima katika miaka mitano hadi kumi ili ashuhudie alichowafanyia waTz kwa kuruhusu hili boga kuingia ikulu. Tz itachafuka sana zaidi ya kila mtu alivyowahi kufikiria - kisa ni akilio za bogo hili. Halina soni, halina aibu, halina utu hata chembe,
 
Back
Top Bottom