Zanzibar ni bomu linalosubiri kulipuka, Watawala mkifanya kiburi halitoiacha nchi salama

Hilo ni boga kweli
 
Bullet no. 5 imemaliza yote.
 
Reactions: BAK
Wanadhani wako juu ya sheria hivyo wanaweza kutia vilema, kuumiza na hata kuwaua Watanzania wasio na hatia na wakaendelea kupeta tu kama vile hakuna kilichotokea. Safari hii itawatokea puani au kwenye tundu lolote kwenye miili yao.
ICC wapo Zanzibar tayari
 
🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
 
Jakaya alituletea janga ambalo hata yeye alipo anajilaumu kwa alichotufanyia watanzania
 
Kuweni tayari kupokea matokeo ya mshindi yakitangazwa, haki siyo Seif kutangazwa mshindi, Tume ndiyo inamamlaka ya kumtangaza mshindi ni nani, sheria na miongozo hipo fuateni taratibu, kinyume cha hapo mtakuwa ni genge la wahuni tu.
 
Kuweni tayari kupokea matokeo ya mshindi yakitangazwa, haki siyo Seif kutangazwa mshindi, Tume ndiyo inamamlaka ya kumtangaza mshindi ni nani, sheria na miongozo hipo fuateni taratibu, kinyume cha hapo mtakuwa ni genge la wahuni tu.
Unaongea utopolo kama umekalia gunzi, mauaji yanayoendelea huko Pemba yamesababishwa na kuzuia mshindi kutangazwa? Puumbavu zako sana wewe kijana.
 
Sasa fukuto hili si la kawaida, Kama kuna watu wana akili ndani ya System, serikali na chama tawala inabidi sasa watulize akili badala ya maguvu!
Kuna haya mambo yafuatayo
Mifumo na watawala iko imara, maalim seif atulie ale kiinua mgongo kwa amani la damu ya binadamu haitamwacha salama
 
Usimuonee mzee wa watu wa kulaumiwa ni yule walikwapua wote nyumba za serikali akamuweka mwizi mwenzake ili amlinde.Sema kosa la jk ni kukiuka makubaliano yao Lowasa ni matured civilized educated na ana exposure asingeumiza na kunyanyasa watu
 
Jk nadhan ata wakt anampigia kampeni hakutegemea kama angekuwa killer na mtu katili namna hii.
 
Naona unatamani kura zisipigwe ila seif akabidhiwe nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…