Zanzibar ni nzuri kwa kuisikia ila ni chafu kwa kuiona


Huwezi kuchukuwa dola kwa kumwaga damu ya watu wasio hatia ukaweza ukapata baraka . Huwezi kudhulumu Mali Za watu ukapata baraka. Mambo yataendelea kuvurugika mpaka pale tutapojielewa kuwa Uvamizi uitwao Mapinduzi yalikuwa ni makosa. Haki Za watu zirejeshwe na kuombana radhi huku tukimuomba Mungu msamaha.

Tusidanganyane Bure Hakuna litalokuwa
 
Tume soma na tumeelewa hulitaka hao waisilamu wa unguja ndio wajenge mifumo ya majitaka ulitaka uchafu waupeleke wapi bora ungesema hivi waisilamu waunguja hawalipi kodi

Wewe ulikotoka huko kwenu kijijini kunausafi au dar mbona usemi inzi kila pahala hacha kujipaisha maisha yako tunayajua
 
Kama umesomà critical think unaweza kujua nimetumia kanuni gani hapo

"Generalization"

Sio kwamba hakuna wasafi ila kama umefanya research utaelewa kwa sample yangu niliyochukua imenionesha hivyo.

Do ila suala la dini japo wengi mmenukuu vibaya Hapana mimi pia ni muislamu tatizo kitendo vya ubakaji, udhalilishaji, unyanyasaji na ulawiti imenisukuma kuandika hivyo.


Zaidi nimefanya hivyo kuonyesha watu kwamba waislamu ni wema na wasafi kama ni muelewa ila ikilaza fuvu utaona kwamba nimeuponda uislamu.
 
... wastani wa watoto 394 wamebakwa kila mwezi katika maeneo mbalimbali ya Tanzania bara kuanzia mwezi Januari hadi Juni 2018.

Chanzo: Utafiti: Watoto 394 hubakwa kila mwezi Tanzania - BBC News Swahili
 
Umenena , siku nyengine ukienda tena au kama bado upo tembelea mtaa wa Kilimani bar pita njia inayokatiza chuo cha uandishi wa habari ujionee uchafu unavozagaa than katiza chocho za mtaa wa migombani ujionee zaidi.
 
Sio kwamba ni Udini ila uislmu umekataza uchafu na maovu.


"Al islamu nadhif fata nadhwafu""
Waisilamu wa unguja kama kichwa cha habari kinavio sema kweli ndio wachafu kuliko watu wote?nyiyi bila kuwa kwasema waisilamu amjisikii raha mbona dar uchafu kila kona amsemi sababu dar mpo nyiyi wakiristo
 
Sasa kama tunapigana na chafu dini haina maana kuwepo kwenye mjadala huu. Labda kama watu W humu hujawajua vizur
Kichwa cha habari kime wasema waisilamu,sasa kila mtu na ataje mkoa wake kijiji chake wilaya tulinganishe na pemba na unguja kwa usafi
 
Uchafu mwingine ulioshamiri kila mtaa ni Ushoga na Ulawiti kwa watoto vijana na wanawake...
Kweli kabisa kumbe hata mapadri wanao riwatwi watoto kumbe ni Wapemba hehe kumbe Wapemba wako kila idara
 
Huyo ndio kafiri kazi yake kujifanya mwema
 
Bora ungeandika viongozi wa zanzibar wameshindwa kudhibiti uchafu na masuala ya udhalilishaji Zanzibar. Maana kwa ulichozungumza udhibiti wa usafi na udhalilishaji wa wtt Serikali ndio inahusika kwa aslimia kubwa zaidi.

Na kwa taarifa yako Zanzibar ina mchanganyiko wa watu wengi sana kwa sasa nje ya Zanzibar.
Hii imepelekea watu kujenga nyumba kiholela...

MashaAllah Zanzibar ya zamani ilikuwa safi mno mnooo. Zanzibar ilikuwa sehemu yenye watu waloshika dini sana...lkn ndio ivo gone are the days.

Sasa hivi ukikemea unaonekana una uzamani...unajifanya una msimamo mkali wengi wanakupinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…