Zanzibar ni nzuri kwa kuisikia ila ni chafu kwa kuiona

Cha kushangaza, Zanzibar ya Sultan haikuwa hivyo. Hao Wazanzibari waliopinduliwa ambao wengi wao ndiyo walikuwa idara zote za kuendesha nchi walipokimbilia Oman wakapewa nyadhifa huko, sasa tunaiona Oman kuwa na maendeleo, kwa usafi kwa aliyefika Oman, hakuna mfano wake labda uilinganishe na Singapore.

Mimi siyo Muunguja lakini nasema watu kutoka bara waliojazana huko ndiye waliopeleka huo uchafu, kama walivyotuletea Dar na viunga vyake.

Naona umechomekea Waislam, kwa kujujuza tu, hakuna imani inayofundisha na kyongoza kwa usafi kama Uislam.
Unapokuta kundi la watu wanalia unajiunga nalo hivyo nadhani hao unaowasemea ni kwamba wamewakuta waarabu wako wa safi.
 
Daaa hebu ngoja nichangie kidogo baada ya kusoma mada na replies kadhaa.

Ukweli nimekaa kidogo Pemba na sehemu niliyokaa (konde hospital) landa ni kwa sababu ilikuwa jirani na hospitali so kidogo usafi ulikuwepo.

Ila ukweli kuna mahala kwingi na nyumba ukipita unaona kinyaa.

Twende Unguja sasa 😢 niwe mkweli, watu ni wachafu nasema ni wachafu usione mtu kavaa uzuri asee.

Kinachosababisha magonjwa ya Malaria, kipindupindu au kuhara yasiwakumbe raia wa hiyo nchi ni serikali, yaani serikali kwa kutumia kodi inafanya kazi nzuri kwa kugawa na kupuliza mara chache hasa uswahilini as daraja bovu nk.

Yaani issue ya usafi kwa nchi hiyo ni zero degree, ukiishi nyumba ya kukodi na wapangaji wenzako ambao ni wenyeji ndipo unaweza kupata real test of zanzibar life, bafu au choo ni no usafi, labda uamue mwenyewe na ukifanya usafi wanakushangaa.

Ukiwaambia au kuwauliza wanasema siye ndo maisha yetu, kuswakia chooni, yaani choo cha jumuiya na harufu wao ndo uhai wa kinywa 😢!.
 
Watu wa pwani wachafu bna!! Ukitoa kuoga na kujifukiza udi huwa wanaishi kwenye mazingira machafu sana nadhani pia inachangiwa na uvivu.
Si kweli, mnalo lililowakaba kooni mnashindwa kulisema tu. Mtabaki mara "wapemba" mara "wazanzibari", mara wa "pwani" mara "waswahili", kuutamka ukweli i uliowakaa kooni mnashindwa. Hiyo inaitwa "... Phobia"

Limewakaa kooni, kulitema hamuwezi kulimeza hamuwezi.
 
Africa kuna upumbavu wa aina take,watu wakikemea kitu zinatangulizwa dini-kwa hiyo unataka watu wasizungumze kisa dini za kikoloni.
Kuna haja gani ya kupiga vita uchafu na kuchanganya mitazamo ya dini. Unaweza kunieleewesha uhusiano wa hivyo vitu viwili Kwa mkabala huu unaoongelewa hapa?
 
Daaa hebu ngoja nichangie kidogo baada ya kusoma mada na replies kadhaa.

Ukweli nimekaa kidogo Pemba na sehemu niliyokaa (konde hospital) landa ni kwa sababu ilikuwa jirani na hospitali so kidogo usafi ulikuwepo.

Ila ukweli kuna mahala kwingi na nyumba ukipita unaona kinyaa.

Twende Unguja sasa 😢 niwe mkweli, watu ni wachafu nasema ni wachafu usione mtu kavaa uzuri asee.

Kinachosababisha magonjwa ya Malaria, kipindupindu au kuhara yasiwakumbe raia wa hiyo nchi ni serikali, yaani serikali kwa kutumia kodi inafanya kazi nzuri kwa kugawa na kupuliza mara chache hasa uswahilini as daraja bovu nk.

Yaani issue ya usafi kwa nchi hiyo ni zero degree, ukiishi nyumba ya kukodi na wapangaji wenzako ambao ni wenyeji ndipo unaweza kupata real test of zanzibar life, bafu au choo ni no usafi, labda uamue mwenyewe na ukifanya usafi wanakushangaa.

Ukiwaambia au kuwauliza wanasema siye ndo maisha yetu, kuswakia chooni, yaani choo cha jumuiya na harufu wao ndo uhai wa kinywa 😢!.
Hivi watu wote wakiongea kama mkuu hapa bila kuzua tafarani Kwa kugusa dini zao Nn kitaharibika?
 
Si kweli, mnalo lililowakaba kooni mnashindwa kulisema tu. Mtabaki mara "wapemba" mara "wazanzibari", mara wa "pwani" mara "waswahili", kuutamka ukweli i uliowakaa kooni mnashindwa. Hiyo inaitwa "... Phobia"

Limewakaa kooni, kulitema hamuwezi kulimeza hamuwezi.
Acheni uchafu khaa.usafi sio kuoga na kujifukiza udi tu
 
Huwezi kuchukuwa dola kwa kumwaga damu ya watu wasio hatia ukaweza ukapata baraka . Huwezi kudhulumu Mali Za watu ukapata baraka. Mambo yataendelea kuvurugika mpaka pale tutapojielewa kuwa Uvamizi uitwao Mapinduzi yalikuwa ni makosa. Haki Za watu zirejeshwe na kuombana radhi huku tukimuomba Mungu msamaha.

Tusidanganyane Bure Hakuna litalokuwa
mwarabu wewe
 
Back
Top Bottom