FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Ikiwa unaishi na mchafu na wewe ni mchafu, kwanini uishi na mtu mchafu?Wapemba tunaishi nao ni wachafu kama Wahindi
Nadhani shule nayo inachangia maana wengi wao hawana elimu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ikiwa unaishi na mchafu na wewe ni mchafu, kwanini uishi na mtu mchafu?Wapemba tunaishi nao ni wachafu kama Wahindi
Nadhani shule nayo inachangia maana wengi wao hawana elimu.
Unapokuta kundi la watu wanalia unajiunga nalo hivyo nadhani hao unaowasemea ni kwamba wamewakuta waarabu wako wa safi.Cha kushangaza, Zanzibar ya Sultan haikuwa hivyo. Hao Wazanzibari waliopinduliwa ambao wengi wao ndiyo walikuwa idara zote za kuendesha nchi walipokimbilia Oman wakapewa nyadhifa huko, sasa tunaiona Oman kuwa na maendeleo, kwa usafi kwa aliyefika Oman, hakuna mfano wake labda uilinganishe na Singapore.
Mimi siyo Muunguja lakini nasema watu kutoka bara waliojazana huko ndiye waliopeleka huo uchafu, kama walivyotuletea Dar na viunga vyake.
Naona umechomekea Waislam, kwa kujujuza tu, hakuna imani inayofundisha na kyongoza kwa usafi kama Uislam.
Tena ingekuwa zaidi ya Singapore wangekuwepo, kwani kuna maendeleo yepi toka wameondolewa?Kwa hiyo ulitaka wa Oman na Sultani waendelee kukaa Zanzibar?
Kwanini nijilize wakati sina cha kulilia? Ujinga huo mimi sina.Unapokuta kundi la watu wanalia unajiunga nalo hivyo nadhani hao unaowasemea ni kwamba wamewakuta waarabu wako wa safi.
Ndio wameshaondolewa sasaTena ingekuwa zaidi ya Singapore wangekuwepo, kwani kuna maendeleo yepi toka wameondolewa?
Tumeruka mkojo tumekanyaga mavi.Ndio wameshaondolewa sasa
Kafie mbele!
wana waislam ni wasafi kuliko wanawake wa kiislam kwa research zanguNa uislam unakazania usafi
Ukiwa Muislam lazima uwe nadhifu
Si kweli, mnalo lililowakaba kooni mnashindwa kulisema tu. Mtabaki mara "wapemba" mara "wazanzibari", mara wa "pwani" mara "waswahili", kuutamka ukweli i uliowakaa kooni mnashindwa. Hiyo inaitwa "... Phobia"Watu wa pwani wachafu bna!! Ukitoa kuoga na kujifukiza udi huwa wanaishi kwenye mazingira machafu sana nadhani pia inachangiwa na uvivu.
Kuna haja gani ya kupiga vita uchafu na kuchanganya mitazamo ya dini. Unaweza kunieleewesha uhusiano wa hivyo vitu viwili Kwa mkabala huu unaoongelewa hapa?Africa kuna upumbavu wa aina take,watu wakikemea kitu zinatangulizwa dini-kwa hiyo unataka watu wasizungumze kisa dini za kikoloni.
Hivi watu wote wakiongea kama mkuu hapa bila kuzua tafarani Kwa kugusa dini zao Nn kitaharibika?Daaa hebu ngoja nichangie kidogo baada ya kusoma mada na replies kadhaa.
Ukweli nimekaa kidogo Pemba na sehemu niliyokaa (konde hospital) landa ni kwa sababu ilikuwa jirani na hospitali so kidogo usafi ulikuwepo.
Ila ukweli kuna mahala kwingi na nyumba ukipita unaona kinyaa.
Twende Unguja sasa 😢 niwe mkweli, watu ni wachafu nasema ni wachafu usione mtu kavaa uzuri asee.
Kinachosababisha magonjwa ya Malaria, kipindupindu au kuhara yasiwakumbe raia wa hiyo nchi ni serikali, yaani serikali kwa kutumia kodi inafanya kazi nzuri kwa kugawa na kupuliza mara chache hasa uswahilini as daraja bovu nk.
Yaani issue ya usafi kwa nchi hiyo ni zero degree, ukiishi nyumba ya kukodi na wapangaji wenzako ambao ni wenyeji ndipo unaweza kupata real test of zanzibar life, bafu au choo ni no usafi, labda uamue mwenyewe na ukifanya usafi wanakushangaa.
Ukiwaambia au kuwauliza wanasema siye ndo maisha yetu, kuswakia chooni, yaani choo cha jumuiya na harufu wao ndo uhai wa kinywa 😢!.
Acheni uchafu khaa.usafi sio kuoga na kujifukiza udi tuSi kweli, mnalo lililowakaba kooni mnashindwa kulisema tu. Mtabaki mara "wapemba" mara "wazanzibari", mara wa "pwani" mara "waswahili", kuutamka ukweli i uliowakaa kooni mnashindwa. Hiyo inaitwa "... Phobia"
Limewakaa kooni, kulitema hamuwezi kulimeza hamuwezi.
Sababu Zanzibar wamejaa watu wa dini Fulani.Hivi watu wote wakiongea kama mkuu hapa bila kuzua tafarani Kwa kugusa dini zao Nn kitaharibika?
Usafi wako ni sawa na wa paka, kunya mavi kujipaka.Acheni uchafu khaa.usafi sio kuoga na kujifukiza udi tu
nyinyi siku hizi mumeacha kujifuta na majani baada ya kufanya ile haja?Watu wa pwani wachafu bna!! Ukitoa kuoga na kujifukiza udi huwa wanaishi kwenye mazingira machafu sana nadhani pia inachangiwa na uvivu.
mwarabu weweHuwezi kuchukuwa dola kwa kumwaga damu ya watu wasio hatia ukaweza ukapata baraka . Huwezi kudhulumu Mali Za watu ukapata baraka. Mambo yataendelea kuvurugika mpaka pale tutapojielewa kuwa Uvamizi uitwao Mapinduzi yalikuwa ni makosa. Haki Za watu zirejeshwe na kuombana radhi huku tukimuomba Mungu msamaha.
Tusidanganyane Bure Hakuna litalokuwa
Ukweli umekuingia.mwarabu wewe
Imekuchoma hiyo!! Acheni uchafu.Usafi wako ni sawa na wa paka, kunya mavi kujipaka.
Au wewe umekuwa mstaarabu unajuwa kutumia maji ukienda haja? Sidhani.