Zanzibar ni nzuri kwa kuisikia ila ni chafu kwa kuiona

Zanzibar ni nzuri kwa kuisikia ila ni chafu kwa kuiona

Kuna mpemba alikuwa anaingia na kikombe cha kunywea maji chooni na kujitawazia, ukimuuliza anasema kama unaingia na mdomo wako chooni kwanini isiwezekane yeye kuingia na kikombe chooni?
 
Kuna mpemba alikuwa anaingia na kikombe cha kunywea maji chooni na kujitawazia, ukimuuliza anasema kama unaingia na mdomo wako chooni kwanini isiwezekane yeye kuingia na kikombe chooni?
Hawezi shindana na wanaokula najisi.
 
Nchi yenye waislamu wengi lakini kitendo viovu vya kuingilia watoto, ubakaji na udhalilishaji umeenea sana.

Ni kipande hicho tu kimenifanya nijue kusudio la huu uzi wako. Chuki za udini ndizo zimekusukuma kuuandika hicho ulichoandika.

Hivi ungeandika tu bila kuhusisha Uisilamu usingeeleweka??
 
So tupinge chafu au tupige vita uislam Kwa kuwa waislam wa Pemba wachaf?. Mbona udinism hapa jf una mizizi ya chuma?
Moderator
YinYang
Comment za kidini ziondoeni mana sioni kama zitaendeleza mjadala nje ya kuleta watu kutukanana humu
Hao ndivyo walivyolelewa hivyo,kuchukia na kudharau waislam,ndiyo uchamungu wao,yaani hata nguruwe wanamtukuza kisa uislam umeharamisha
 
Kuna mpemba alikuwa anaingia na kikombe cha kunywea maji chooni na kujitawazia, ukimuuliza anasema kama unaingia na mdomo wako chooni kwanini isiwezekane yeye kuingia na kikombe chooni?
Waume zako wazungu hula matango chooni wakinya
 
Daaah kuna siku nimekosea nikaingia lukman kwa kule nyuma
Jamani, ni pachafu mno mno
 
Usafi wako ni sawa na wa paka, kunya mavi kujipaka.

Au wewe umekuwa mstaarabu unajuwa kutumia maji ukienda haja? Sidhani.
SEMA usipanic ....[emoji23] Anajaribu kutoa maoni yake yaani anamaanisha...usafi sio tu "Kutawaza* na kuchamba" ni pamoja na kuweka mazingiea safi....punguza makasiriko... bint wa mnyazi...
 
Daaah kuna siku nimekosea nikaingia lukman kwa kule nyuma
Jamani, ni pachafu mno mno
Hawa watu wachafu sana...narudia ni wachafu mnoooo.....nilikua na Dem mmoja nikiwa huko yan akija geto akipika kila kitu hpo hapo ni mchafu ila anavyo nukia marashi Sasa...[emoji23]
 
Hawa watu wachafu sana...narudia ni wachafu mnoooo.....nilikua na Dem mmoja nikiwa huko yan akija geto akipika kila kitu hpo hapo ni mchafu ila anavyo nukia marashi Sasa...[emoji23]
Na hiki ndio nilikuwa namaanisha usafi ni mwili pamoja na mazingira yanayokuzunguka hawa wenzetu wakishajifukiza udi wanaona tayari wamemaliza usafi.
 
Back
Top Bottom