Zanzibar ni nzuri kwa kuisikia ila ni chafu kwa kuiona

Kwanza salaam

Unguja na Pemba ndiyo zao la nchi ya Zanzibar ila nitoe exclusion kwa Pemba sijawahi kufika ila unguja/Zanzibar imejawa kila aina ya uchafu licha kuwa watu wake asilimia 90 ni waislamu.

Mifumo ya maji taka ni mibovu hakuna streets chember au mifereji ya maji taka mfano maji ya kuoshea vyombo.

Utupaji wa Taka holela unaweza kukuta mtu anatoka ndani taka mkononi akaitupa nje bila kwenda kutupa sehemu maalumu

  • Hakuna maeneo ya kudumu ya utupaji taka
  • Magari ya ubebaji taka yanachelewa kuchukua taka.

- Shekha wengi wanakula pesa za watu Mfano kuna sehemu inaitwa Mwanyanya niliishi pale zone D aisee yule shekha ni tapeli anapenda pesa kuliko chochote na licha ya kukusanya pesa alikuwa anawazurumu wabebaji taka mpk walishindwa kuja kuchukua taka licha ya kutokuwa kuchukua taka then akawa anakuja kukusanya pesa.

Nchi yenye waislamu wengi lakini kitendo viovu vya kuingilia watoto, ubakaji na udhalilishaji umeenea sana.

Serikali ifanye jitihada zaidi ya kushughulikia hizo changamoto la sivyo akiingia kipindupindu atapindua wengi.

NAWASILISHA.
Ukitaka kutaja aibu ya mwenzako taja yako kwanza

Embu twambie kwenu hlf tukujadili kma ni pasafi au pachafu
 
Naomba kueleweshwa, kwa hiyo Bara ni kusafi sana, hakuna uchafu, wasio waislamu ni wasafi sana, si ndio !!??
Ndugu yangu kazi ya kafiri nikujikweza na kujiona bora ukweli ulivio dar inaongoza kwa uchafu wote unao ujua
 
Hata dar maeneo yanayokaliwa na waislam wengi machafu sana!! Mfano,manzese,magomeni,mabibo,kigogo,ilala,temeke .kifupi waislam wengi wachafu.nangoja povu
 
Ni ngumu kumtenga muafrika na uchafu...

Ukiona sehemu safi Afrika ujue ni mitaa wanayoita uzunguni, ushuani na majina kama hayo...
 
Zenji 70% ya wanaume watu wazima ktk ujana wao wamelawitiwa... Hali ya ushoga ni kubwa sana... Ndiyo maana ile issue ya afwande wao sio habar kwao...
 
Ulitaka waisilamu ndio watengeneze sehemu ya kutupa uchafu serikali kodi inayo kusanya serikali ya nn?mbona dar inaongoza kwa uchafu kazi kuwaandama waisilamu
Wasitupe taka hovyo na maeneo wasafishe yawe masafi
 
Kama umesomà critical think unaweza kujua nimetumia kanuni gani hapo

"Generalization"

Sio kwamba hakuna wasafi ila kama umefanya research utaelewa kwa sample yangu niliyochukua imenionesha hivyo.

Do ila suala la dini japo wengi mmenukuu vibaya Hapana mimi pia ni muislamu tatizo kitendo vya ubakaji, udhalilishaji, unyanyasaji na ulawiti imenisukuma kuandika hivyo.

Zaidi nimefanya hivyo kuonyesha watu kwamba waislamu ni wema na wasafi kama ni muelewa ila ikilaza fuvu utaona kwamba nimeuponda uislamu.
Huna lolote wewe unateletea habari wa wachungaji unakuta wanaubili kwa lugha ya kiswahili ukiwa waulize swali wanasema wewe ujaelewa sababu huna roho mtakatifu[emoji12][emoji2957][emoji23]
 
Ukitaka kutaja aibu ya mwenzako taja yako kwanza

Embu twambie kwenu hlf tukujadili kma ni pasafi au pachafu
Kutiaka kumjua kafiri akikutukana mkubalie kisha muulize wewe jambo hilo kwenu halipo?jibu lake kusepa hata huyu awezi taja mkoa wake wala kabila lake
 
Na gari zao wakikaa wanaangaliana kama matiki maji ila wapemba ni ndugu zangu ila hii ni too much.
 
Kwanza salaam

Unguja na Pemba ndiyo zao la nchi ya Zanzibar ila nitoe exclusion kwa Pemba sijawahi kufika ila unguja/Zanzibar imejawa kila aina ya uchafu licha kuwa watu wake asilimia 90 ni waislamu.

Mifumo ya maji taka ni mibovu hakuna streets chember au mifereji ya maji taka mfano maji ya kuoshea vyombo.

Utupaji wa Taka holela unaweza kukuta mtu anatoka ndani taka mkononi akaitupa nje bila kwenda kutupa sehemu maalumu

  • Hakuna maeneo ya kudumu ya utupaji taka
  • Magari ya ubebaji taka yanachelewa kuchukua taka.

- Shekha wengi wanakula pesa za watu Mfano kuna sehemu inaitwa Mwanyanya niliishi pale zone D aisee yule shekha ni tapeli anapenda pesa kuliko chochote na licha ya kukusanya pesa alikuwa anawazurumu wabebaji taka mpk walishindwa kuja kuchukua taka licha ya kutokuwa kuchukua taka then akawa anakuja kukusanya pesa.

Nchi yenye waislamu wengi lakini kitendo viovu vya kuingilia watoto, ubakaji na udhalilishaji umeenea sana.

Serikali ifanye jitihada zaidi ya kushughulikia hizo changamoto la sivyo akiingia kipindupindu atapindua wengi.

NAWASILISHA.
Cha kushangaza, Zanzibar ya Sultan haikuwa hivyo. Hao Wazanzibari waliopinduliwa ambao wengi wao ndiyo walikuwa idara zote za kuendesha nchi walipokimbilia Oman wakapewa nyadhifa huko, sasa tunaiona Oman kuwa na maendeleo, kwa usafi kwa aliyefika Oman, hakuna mfano wake labda uilinganishe na Singapore.

Mimi siyo Muunguja lakini nasema watu kutoka bara waliojazana huko ndiye waliopeleka huo uchafu, kama walivyotuletea Dar na viunga vyake.

Naona umechomekea Waislam, kwa kujujuza tu, hakuna imani inayofundisha na kuongoza kwa usafi kama Uislam.
 
So tupinge chafu au tupige vita uislam Kwa kuwa waislam wa Pemba wachaf?. Mbona udinism hapa jf una mizizi ya chuma?
Moderator
YinYang
Comment za kidini ziondoeni mana sioni kama zitaendeleza mjadala nje ya kuleta watu kutukanana humu
Africa kuna upumbavu wa aina take,watu wakikemea kitu zinatangulizwa dini-kwa hiyo unataka watu wasizungumze kisa dini za kikoloni.
 
Cha kushangaza, Zanzibar ya Sultan haikuwa hivyo. Hao Wazanzibari waliopinduliwa ambao wengi wao ndiyo walikuwa idara zote za kuendesha nchi walipokimbilia Oman wakapewa nyadhifa huko, sasa tunaiona Oman kuwa na maendeleo, kwa usafi kwa aliyefika Oman, hakuna mfano wake labda uilinganishe na Singapore.

Mimi siyo Muunguja lakini nasema watu kutoka bara waliojazana huko ndiye waliopeleka huo uchafu, kama walivyotuletea Dar na viunga vyake.

Naona umechomekea Waislam, kwa kujujuza tu, hakuna imani inayofundisha na kyongoza kwa usafi kama Uislam.
Kwa hiyo ulitaka wa Oman na Sultani waendelee kukaa Zanzibar?
 
Cha kushangaza, Zanzibar ya Sultan haikuwa hivyo. Hao Wazanzibari waliopinduliwa ambao wengi wao ndiyo walikuwa idara zote za kuendesha nchi walipokimbilia Oman wakapewa nyadhifa huko, sasa tunaiona Oman kuwa na maendeleo, kwa usafi kwa aliyefika Oman, hakuna mfano wake labda uilinganishe na Singapore.

Mimi siyo Muunguja lakini nasema watu kutoka bara waliojazana huko ndiye waliopeleka huo uchafu, kama walivyotuletea Dar na viunga vyake.

Naona umechomekea Waislam, kwa kujujuza tu, hakuna imani inayofundisha na kyongoza kwa usafi kama Uislam.
Watu wa pwani wachafu bna!! Ukitoa kuoga na kujifukiza udi huwa wanaishi kwenye mazingira machafu sana nadhani pia inachangiwa na uvivu.
 
Siyo kweli, mimi siyo Mpemba wala Mzanzibari lakini nimeenda sana Unguja na Pemba. Mgahawa upi huo wa Pemba ulioukuta mchafu?

Kuwa mkweli.
Wapemba tunaishi nao ni wachafu kama Wahindi
Nadhani shule nayo inachangia maana wengi wao hawana elimu.
 
Wengi humu wanadhani usafi ni kutawaza na kujifukiza udi wanasahau usafi unaangaliwa na mazingira yanayokuzunguka.
 
Back
Top Bottom