Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

Status
Not open for further replies.
kwenye kumtangaza Kristo kufa si jambo la ajabu lakini wakristo tusikate tamaa na kuikimbia Zanzibar bali ni kuwahubiria wapo wafia dini wengi waliuwawa na ndio maana tukaipata hii neema tuliyonayo leo ya kumjua Mungu wa kweli nasi kizazi cha leo tusiogope bali iwe ni kichocheo cha kumtangaza Kristo Yesu, Ni majonzi kwa kanisa na wakristo wote lakini Mbiguni imeandikwa na ardhi ni shahidi, Mungu wa amani atasimama nasi, tumwombee kwa Mungu baba yetu Pdri E. Mushi apumzike kwa amani.
 

Ni Kweli unalolisema ukiangalia hata kuenea kwa Dini kwenyewe kuliambatana na mauaji ya watu sana kaskazini mwa Africa. No value for human life. Mungu yupi huyo mnaemtumikia.
 

Asante dada white kwa jibu lako!manaake naona anauliza vumbi store
 
kama ilivyo huku bara TANGANYIKA SI ENEO SALAMA KWA WAISLAM,KILA SIKU MASHUSHUSHU WANATUSUMBUA MISIKITINI,WENGINE WAKRISTO WANAJIFANYA KUJA KUSWALI ILI KUTUSKIZA TUNAZUNGUMZA NIN?

Kwa nini unawaangalia hao unaowaita mashushu kwa imani ya dini zao?Kama wanatekeleza majukumu yao ya kikazi pana ttz gani kama kweli wapo?
 

Serkali haiwezi kuzuia wakati yenyewe ndiyo ina propagate hii campaign behind the scene
 
Sina cha kuchangia ila naomb ni tue hasira zangu.waislamu dunia nzma,nyie ni ------,mnamambo ya kisenge kama mnataka kuish pekeenu nendeni oman ama iraki,waafrika tunajifunza mambo meng ila waliojifunza uislamu ni kiboko bora niwe shoga ila sio kua mwislamu upumbv ulopita upumbv wte duniani,islam is a devils shit.
 
Kwa sababu wamekuwa wakitangaza wazi wazi kuwa baada ya kumshindwa padre Ambrose wataendelea na harakati zao kuwunda roho nyingine.

Hebu tuwejee hilo tangazo lao hapa ili nasisi tujiridhishe

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk 2
 
Kuna siri nadhani ya kuwauwa si bure
Padri wanawindwa km wanyama si waseme wazi walichokosa ili wajirekebishe!
Itakuja tokea kwa watu wasio Mapadri
Tatizo Serikali iko kimya chuki zinazidi

Bwana Kennedy,
Inaelekea hujui nini kinaendelea Zanzibar. Kwa watu wanajua hili halishangazi sana hasa kutokana na response ya vyombo vya dola kwa matukio ambayo yamekuwa yanatokea.

Mwanzoni walikuwa wana target makanisa ya Pentekoste, lakini kadri siku/miaka ilivyosegea na kutokana na wakubwa kufumbia macho, watu wakapanua wigo. Kwa sasa wanatarget makanisa kongwe kabisa kama Anglican na Katoliki.

Nilibahatika kufanya kazi na Padri Mushi, alikuwa Nairobi na baadae tuliambiwa kuwa anakwenda Zanzibar. Ni mtu mpole sana na mwenye hekma. Huzuni kubwa.

Cc Chilisosi
 
Last edited by a moderator:
Duh! Hii ni mbaya sana!


Kuna haja ya kulitazama hili upya na kwa undani zaidi!

Mwenyenzi MUNGU wa rehema ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi. Amina!
 

Basi tusemeje, juzi Padri Mkenda, Leo Padri Mushi, makanisa kuchomwa moto, na vipeperushi je. Hayo yooote bado ni visa vya binafsi? eeh ndugu basi wasaidie polisi kumkamata huyo mbaya wa mapadre
 
Tatizo kubwa la serikali inalea sana baadhi ya wapuuzi wa dini flani flani ! Jumuiya ya uamsho na wafuasi wake ktk page yao fb karibia kila siku huwa wanatangaza dawa ya makafili ni A47 Ila mpaka kesho hawashughulikiwi na hata ili ukitizama ktk page yao leo utaona wakijisifu na majigambo ya na bado !
 
Kama ni mdini asingezungukwa na wakristu ndani ya serikali yake; na kama ni mdini asingeingia kanisani kuzika wakristu

Chama
Gongo la mboto DSM
Ni usanii tuu ili hii chuki iendelee yaani waislamu wamuone yeye sio mtu wao kwa hiyo waendeleze chuki! Mi nakwambia haya yote anayoyafanya ni kupalilia mbegu aliootesha
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…