Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

Status
Not open for further replies.
kwenye kumtangaza Kristo kufa si jambo la ajabu lakini wakristo tusikate tamaa na kuikimbia Zanzibar bali ni kuwahubiria wapo wafia dini wengi waliuwawa na ndio maana tukaipata hii neema tuliyonayo leo ya kumjua Mungu wa kweli nasi kizazi cha leo tusiogope bali iwe ni kichocheo cha kumtangaza Kristo Yesu, Ni majonzi kwa kanisa na wakristo wote lakini Mbiguni imeandikwa na ardhi ni shahidi, Mungu wa amani atasimama nasi, tumwombee kwa Mungu baba yetu Pdri E. Mushi apumzike kwa amani.
 
Ni Ujinga kudhani kwamba matatizo haya yanaletwa na CCM au na Kikwete, iko siku wote TUTAKUMBUKA MANENO YA RAIS MSTAAFU WA MAREKANI G.W.BUSH Jr. ALIYOSEMA KUWA '' BAADA YA UKOMUNIST DUNIA IMEBAKIWA NA TATIZO MOJA UISLAM'' Dunia nzima ilisisimama kinyume naye na kung'aka kumlazimisha Bush afute kauli yake.
Uislam hauko compatible na Ustaarabu mwingine wowote, Iwe Demokrasia, Haki za Binadam na kila aina ya Ustaarabu isipokuwa Uislam wenyewe kwa kundi husika, ni ujinga kufikiri kuandika JF kila siku kutabadilisha msimamo wa hao wauaji na kuamini kwamba iko siku Waislam na Wakrsito watakaa kwa amani na kuheshimiana, yale yatendwayo na Waislam ni sehemu ya kutafuta utakataifu wa KIDINI, huwezi kuwabadilisha wauaji hawa, ili uwabadilisha unatakiwa uwaoneshe njia mbadala ya kuufikia utakatifu na kufika ahera wakafaidi mabikira na mito ya pombe, hakuna aya unayoweza kuwaonesha kwenye Quran yao inayoweza kuwapa utakatifu kwanjia nyingine isipokuwa kuua wale ambao sio Waislam.
Wakristo mnatakiwa msimame mkijua kwamba haya Mauaji ni sehemu ya kutafuta utakatifu wa Kiislam ili watu waende wakafaidi ahera yao, ni wakati wa kuacha ujinga na kuamini kuwa CCM au Kikwete anmaweza kutulinda, ulinzi pekee ni kupiga marufuku Quran na Hadith ambazo ndizo zenye mafundisho ya aina hiyo ya tabia.

Serikali haiwezi kufanya lolote juu ya hawa watu wanao Ua kwa kumtendea vema mungu wao ALLAH.Wakristo Zindukeni

Ni Kweli unalolisema ukiangalia hata kuenea kwa Dini kwenyewe kuliambatana na mauaji ya watu sana kaskazini mwa Africa. No value for human life. Mungu yupi huyo mnaemtumikia.
 
Tatizo umeshalitaja mbele ya swali lako au unataka upewe tatizo gani tena?
Tatizo ni kuwa waislamu hawatupendi na wana vita na chuki kubwa sana juu ya ukristo at the same time wakristo wanaendelea kulala usingizi fofofo wakizani hawa jamaa ni ndugu zetu.

Asante dada white kwa jibu lako!manaake naona anauliza vumbi store
 
kama ilivyo huku bara TANGANYIKA SI ENEO SALAMA KWA WAISLAM,KILA SIKU MASHUSHUSHU WANATUSUMBUA MISIKITINI,WENGINE WAKRISTO WANAJIFANYA KUJA KUSWALI ILI KUTUSKIZA TUNAZUNGUMZA NIN?

Kwa nini unawaangalia hao unaowaita mashushu kwa imani ya dini zao?Kama wanatekeleza majukumu yao ya kikazi pana ttz gani kama kweli wapo?
 
Serikali ina uwezo kabisa tena mkubwa wa kuzuia haya ndo maana miaka ya nyuma haikua kwa kiasi hiki! Sio kwamba walikua hawataki la hasha ni kua serikali iliikua makini haikuruhusu haya mambo yasemwe bila kukemewa! Sasa kaja huyu mdini baasi kacha kila kitu kijiendee na moto wake huu kuuzima tena ni vigumu!
Zaidii tutaishia kuana wenywewe wakati wao wakiomba hifdhi nchi za nje

Serkali haiwezi kuzuia wakati yenyewe ndiyo ina propagate hii campaign behind the scene
 
Sina cha kuchangia ila naomb ni tue hasira zangu.waislamu dunia nzma,nyie ni ------,mnamambo ya kisenge kama mnataka kuish pekeenu nendeni oman ama iraki,waafrika tunajifunza mambo meng ila waliojifunza uislamu ni kiboko bora niwe shoga ila sio kua mwislamu upumbv ulopita upumbv wte duniani,islam is a devils shit.
 
Kwa sababu wamekuwa wakitangaza wazi wazi kuwa baada ya kumshindwa padre Ambrose wataendelea na harakati zao kuwunda roho nyingine.

Hebu tuwejee hilo tangazo lao hapa ili nasisi tujiridhishe

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk 2
 
Kuna siri nadhani ya kuwauwa si bure
Padri wanawindwa km wanyama si waseme wazi walichokosa ili wajirekebishe!
Itakuja tokea kwa watu wasio Mapadri
Tatizo Serikali iko kimya chuki zinazidi

Bwana Kennedy,
Inaelekea hujui nini kinaendelea Zanzibar. Kwa watu wanajua hili halishangazi sana hasa kutokana na response ya vyombo vya dola kwa matukio ambayo yamekuwa yanatokea.

Mwanzoni walikuwa wana target makanisa ya Pentekoste, lakini kadri siku/miaka ilivyosegea na kutokana na wakubwa kufumbia macho, watu wakapanua wigo. Kwa sasa wanatarget makanisa kongwe kabisa kama Anglican na Katoliki.

Nilibahatika kufanya kazi na Padri Mushi, alikuwa Nairobi na baadae tuliambiwa kuwa anakwenda Zanzibar. Ni mtu mpole sana na mwenye hekma. Huzuni kubwa.

Cc Chilisosi
 
Last edited by a moderator:
Duh! Hii ni mbaya sana!


Kuna haja ya kulitazama hili upya na kwa undani zaidi!

Mwenyenzi MUNGU wa rehema ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi. Amina!
 
Hivi hii habari inasema kuwa padri kauawa na waislam au padri kapigwa risasi na watu wasiojulikana. What if kama hawa watu walikuwa na personal interest zao na padre na sio suala la imani za dini. Tuache kukurupuka na kukimbilia kutoa mawazo yetu yaliyojaa hisia bila kuwa ushahidi wowote wa kushutumu bila kuwa na uhakika. Tuache polisi ifanye kazi yao na mwisho wa siku waje na ripoti yao. Huu u greet thinker wa humu JF naanza kupata mashaka nao siku hizi, naona member wengi ni waropokaji wasio na fact zozote na huku wasiojua nadhara ya wanachokiropokea.

Basi tusemeje, juzi Padri Mkenda, Leo Padri Mushi, makanisa kuchomwa moto, na vipeperushi je. Hayo yooote bado ni visa vya binafsi? eeh ndugu basi wasaidie polisi kumkamata huyo mbaya wa mapadre
 
Tatizo kubwa la serikali inalea sana baadhi ya wapuuzi wa dini flani flani ! Jumuiya ya uamsho na wafuasi wake ktk page yao fb karibia kila siku huwa wanatangaza dawa ya makafili ni A47 Ila mpaka kesho hawashughulikiwi na hata ili ukitizama ktk page yao leo utaona wakijisifu na majigambo ya na bado !
 
Kama ni mdini asingezungukwa na wakristu ndani ya serikali yake; na kama ni mdini asingeingia kanisani kuzika wakristu

Chama
Gongo la mboto DSM
Ni usanii tuu ili hii chuki iendelee yaani waislamu wamuone yeye sio mtu wao kwa hiyo waendeleze chuki! Mi nakwambia haya yote anayoyafanya ni kupalilia mbegu aliootesha
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom