Ka Padri kamoja tu mnatokwa na Povu namna hii
Suala la upadri wake ni la kwanza, lapili kama raia, latatu ni wapili kwa kipindi kifupi kupigwa risasi. Swali langu dogo kwako ulitaka wafe wangapi? Na kwanini wafe?
Mbona enzi ya Mkapa, Waislamu waliuwawa kuanzia Mwembechai na Unguja kwa mamia na na mamia !
Unaweza kuelezea matukio ukifananisha visa yaani comparison kati ya hayo ya mkapa na hawa mapadri kupigwa risasai na sasabu zao kama zinafanana? Nasema hivyo kwasababu ili kuvilinganisha visa au matukio, lazima viwe na matendo na vyanzo vya kufanana je unamaanisha hivyo tufafanulie
Lakini kwakuwa ninyi ni watu mmeshushwa kutoka mbinguni mlionani sawa na wala hamkukemea kuwa hayo ni mauaji
Kazi ya kusimamia haki na amani ya taifa ni jukumu la serikali, kama raia tunalalamika kwasababu serikali hachukiu hatua stahiki kuulinda utanzania wetu, na amani ipo rehani. kama erikali ingejishughulisha ipasavyo hakuna wa kutoa kauli.
1. Zanzibar raia walipambana na wakristu au jeshi la polisi?
a) kama ni mapadre unaweza kutuambia hao mapadri walipata silaha wapi na waliongozwa na nani? Raisi alikuwa padri nani wakati huo huko zazibar? Isijeikawa uasikofu wa rais wa zanzibar wakati huo ulitumika.
b) Kama ni jeshi la polisi kwanini uhalalishe mauwaji ya mapadri na kulinganisha na mnyukano kati ya serikali na raia wake
na Kadinali Pengo akatoa tamko kuwa hao mamia ya Waislamu waliouwawaa walikuwa ni Wahuni tu
1.Unaweza kutuwekea ushahidi wowote kuthibitisha kauli ya pengo?
2. kama ndivyo alikosea nini pale tunashuhudia kauli kila siku kwamba wanaochoma makanisa zanziba sio waislam safi ni wahuni tu nk nini mtazamo wako? nadhani waislamu wanaoujuwa uislam hawawezi kufanya upuuzi na mimi naamini hivyo wewe unaamini nini katika wahuni ambao sio waislam wa kweli?