Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

Status
Not open for further replies.
What hell iz this?,tusubiri tamko la wakristu,nafkiri walishachoshwa na haya matukio,
 
Wewe kwanza hiyo picha uliyojiwekea hapo haiendani na unacho zungumza kwa sasa. South waafrica wengi waliuawa lkn huyo mzee hakulipiza kisasi. Sasa wewe hiyo picha maana yake nini kwako?

Mkapa hakufuata m2 kwenye msikiti kumuua bali wale wauni. Matamshi yako yanafanya waislam wote waonekane maboya kama ndo mnavyo fikiri.

Achana na Avatar nliyoweka hayo ni maamuzi yangu, nnaweza kuweka hata Avatar ya Baba yako pia nikitaka, maamuzi ni yangu

Rudi; Mkapa hakuuwa watu msikitini ? Una uhakika ? Mwembechai waliuwawa hakufuatwa msikitini ? Au unafikiria kwa Masaburi style ?

Mlifurahi enzi zile mkasahau kuwa MUNGU anayaonaaa
 
Nazani vyombo vya usalama wachimbe zaidi wapate kiini cha mauaji haya,si bure hapa,kuna kitu tu kipo nyuma ya pazia
 
Haya ni matunda maovu ya udini alioupandikiza JK. Na wenye akili kama ya kwake, kina ustadhi Ilunga, wanaendelea kupalilia kwa kuhamasisha mauaji dhidi ya viongozi wa Kikristu. Serikali iko kimya inasubiri wakristu wachukue wenyewe hatua za kujihami. Serikali inapaswa kutwambia ina ajenda gani katika hili.
 
inawezekana abdul. pia inawezekana ni watu wachache kadhaa wanafadhiliwa au hawafadhiliwi wanataka kujenga mtizamo fulan kwa watu. polis na usalama wa taifa watafuteni na tafitini tatizo hasa nin. mafunzo, pesa na uwezo naamin mnavyo. Fanyeni kazi zenu
 
Kwa hakika ni tukio la kusikitisha,lakini tunapaswa kujiuliza tuna serikali nchi hii? Na kama ipo inafanya kazi gani kuwalinda raia wake? Ni majuzi tumeshuhudia padre mwingine akipigwa risasi huko znz,je?wahusika wamekamatwa?wamechukuliwa hatua gani? R.I.P PADRE EVARIST MUSHI,NAAMIN DAMU YAKO HAITAPOTEA BURE.
 
achana na avatar nliyoweka hayo ni maamuzi yangu, nnaweza kuweka hata avatar ya baba yako pia nikitaka, maamuzi ni yangu

rudi; mkapa hakuuwa watu msikitini ? Una uhakika ? Mwembechai waliuwawa hakufuatwa msikitini ? Au unafikiria kwa masaburi style ?

Mlifurahi enzi zile mkasahau kuwa mungu anayaonaaa

ndo mungu wenu amewatuma wahuni wakamwue padri!!! Ngoja aje ndugu yako kuuawa na ushangilie pia
 
Tusihukumu dini fulani kuwa imehusika katika hili ni vema tukasubiri vyombo vya usalama vitutafutie ukweli. Nahisi something is behind this and i think is not religious issue may be there is another business. Nawasilisha
 
Wakristo mlioko Zanzibar tembeeni na nyundo kwenye mifuko................mkimbaatisha mwislam mwenye akili mbovu kama huyo aliyeua....pigeni tu......mpaka waishe..
 
Sasa povu linawatoka kwa kuhukumu msichokijua mna uhakika gani hilo tukio na imani za kidini, kiukweli inauma kwa binaadam kupoteza maisha kwa mazingira kama hayo lakini tusihukumu kwa jambo tusilokuwa na uhakika nalo
 
Nani asiyewajua roho mbaya yenu mnasahau kuwa wote ni binadam mnaeneza sera za ubaguzi wa dini nakujiona nyie ndo taifa teule la Mungu.Kazi mnayo na huyo allah wenu.

inaoneka huyajui maisha na umekuja juzi mjini,mimi naishi na watoto wa kikristo wawili na wote nawasomesha mmoja chuo kikuu na mwingine sekondari,haya na mimi ni mwisilamu safiii.embu acha maneno ya uchochezi nyio ndio mnaosababisha matatizo na hizo imani zenu za facebook na jamii forums
 
Ka Padri kamoja tu mnatokwa na Povu namna hii

Suala la upadri wake ni la kwanza, lapili kama raia, latatu ni wapili kwa kipindi kifupi kupigwa risasi. Swali langu dogo kwako ulitaka wafe wangapi? Na kwanini wafe?

Mbona enzi ya Mkapa, Waislamu waliuwawa kuanzia Mwembechai na Unguja kwa mamia na na mamia !

Unaweza kuelezea matukio ukifananisha visa yaani comparison kati ya hayo ya mkapa na hawa mapadri kupigwa risasai na sasabu zao kama zinafanana? Nasema hivyo kwasababu ili kuvilinganisha visa au matukio, lazima viwe na matendo na vyanzo vya kufanana je unamaanisha hivyo tufafanulie

Lakini kwakuwa ninyi ni watu mmeshushwa kutoka mbinguni mlionani sawa na wala hamkukemea kuwa hayo ni mauaji

Kazi ya kusimamia haki na amani ya taifa ni jukumu la serikali, kama raia tunalalamika kwasababu serikali hachukiu hatua stahiki kuulinda utanzania wetu, na amani ipo rehani. kama erikali ingejishughulisha ipasavyo hakuna wa kutoa kauli.

1. Zanzibar raia walipambana na wakristu au jeshi la polisi?

a) kama ni mapadre unaweza kutuambia hao mapadri walipata silaha wapi na waliongozwa na nani? Raisi alikuwa padri nani wakati huo huko zazibar? Isijeikawa uasikofu wa rais wa zanzibar wakati huo ulitumika.

b) Kama ni jeshi la polisi kwanini uhalalishe mauwaji ya mapadri na kulinganisha na mnyukano kati ya serikali na raia wake

na Kadinali Pengo akatoa tamko kuwa hao mamia ya Waislamu waliouwawaa walikuwa ni Wahuni tu

1.Unaweza kutuwekea ushahidi wowote kuthibitisha kauli ya pengo?

2. kama ndivyo alikosea nini pale tunashuhudia kauli kila siku kwamba wanaochoma makanisa zanziba sio waislam safi ni wahuni tu nk nini mtazamo wako? nadhani waislamu wanaoujuwa uislam hawawezi kufanya upuuzi na mimi naamini hivyo wewe unaamini nini katika wahuni ambao sio waislam wa kweli?

......................................
 
NasDaz kinachosikitisha hakuna juhudi za wazi za makusudi kutoka kwa hao Waislamu safi kuelimisha wenzao ubaya wa haya!
Mkuu hata Rais mwenyewe hana ujasiri kuwakemea waovu. Si uliona kwenye ile issue ya Mbagala eti anasema " aliyekojolea Quraan ana makosa (yaani yule mtoto) na aliyechoma makanisa pia anamakosa (yaani ile mijitu mizima)
Na juzi kuhusu issue ya Kuchinja badala ya kuwakemea waliosababisha vurugu anasema "mvumiliane"
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom