Larusai Mux
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 979
- 277
What hell iz this?,tusubiri tamko la wakristu,nafkiri walishachoshwa na haya matukio,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe kwanza hiyo picha uliyojiwekea hapo haiendani na unacho zungumza kwa sasa. South waafrica wengi waliuawa lkn huyo mzee hakulipiza kisasi. Sasa wewe hiyo picha maana yake nini kwako?
Mkapa hakufuata m2 kwenye msikiti kumuua bali wale wauni. Matamshi yako yanafanya waislam wote waonekane maboya kama ndo mnavyo fikiri.
hata mkiwakamata viongozi wa kiislamu mauaji yataendelea
Tayari ameandaliwa mabikira 72..atafaidije!!!kwa hiyo kwa imani ya kiislam huyo aliyemuua padri ameshapata thawabu?
achana na avatar nliyoweka hayo ni maamuzi yangu, nnaweza kuweka hata avatar ya baba yako pia nikitaka, maamuzi ni yangu
rudi; mkapa hakuuwa watu msikitini ? Una uhakika ? Mwembechai waliuwawa hakufuatwa msikitini ? Au unafikiria kwa masaburi style ?
Mlifurahi enzi zile mkasahau kuwa mungu anayaonaaa
Ukiristo wa Masalia !
Nani asiyewajua roho mbaya yenu mnasahau kuwa wote ni binadam mnaeneza sera za ubaguzi wa dini nakujiona nyie ndo taifa teule la Mungu.Kazi mnayo na huyo allah wenu.
Ka Padri kamoja tu mnatokwa na Povu namna hii
Suala la upadri wake ni la kwanza, lapili kama raia, latatu ni wapili kwa kipindi kifupi kupigwa risasi. Swali langu dogo kwako ulitaka wafe wangapi? Na kwanini wafe?
Mbona enzi ya Mkapa, Waislamu waliuwawa kuanzia Mwembechai na Unguja kwa mamia na na mamia !
Unaweza kuelezea matukio ukifananisha visa yaani comparison kati ya hayo ya mkapa na hawa mapadri kupigwa risasai na sasabu zao kama zinafanana? Nasema hivyo kwasababu ili kuvilinganisha visa au matukio, lazima viwe na matendo na vyanzo vya kufanana je unamaanisha hivyo tufafanulie
Lakini kwakuwa ninyi ni watu mmeshushwa kutoka mbinguni mlionani sawa na wala hamkukemea kuwa hayo ni mauaji
Kazi ya kusimamia haki na amani ya taifa ni jukumu la serikali, kama raia tunalalamika kwasababu serikali hachukiu hatua stahiki kuulinda utanzania wetu, na amani ipo rehani. kama erikali ingejishughulisha ipasavyo hakuna wa kutoa kauli.
1. Zanzibar raia walipambana na wakristu au jeshi la polisi?
a) kama ni mapadre unaweza kutuambia hao mapadri walipata silaha wapi na waliongozwa na nani? Raisi alikuwa padri nani wakati huo huko zazibar? Isijeikawa uasikofu wa rais wa zanzibar wakati huo ulitumika.
b) Kama ni jeshi la polisi kwanini uhalalishe mauwaji ya mapadri na kulinganisha na mnyukano kati ya serikali na raia wake
na Kadinali Pengo akatoa tamko kuwa hao mamia ya Waislamu waliouwawaa walikuwa ni Wahuni tu
1.Unaweza kutuwekea ushahidi wowote kuthibitisha kauli ya pengo?
2. kama ndivyo alikosea nini pale tunashuhudia kauli kila siku kwamba wanaochoma makanisa zanziba sio waislam safi ni wahuni tu nk nini mtazamo wako? nadhani waislamu wanaoujuwa uislam hawawezi kufanya upuuzi na mimi naamini hivyo wewe unaamini nini katika wahuni ambao sio waislam wa kweli?
Mkuu hata Rais mwenyewe hana ujasiri kuwakemea waovu. Si uliona kwenye ile issue ya Mbagala eti anasema " aliyekojolea Quraan ana makosa (yaani yule mtoto) na aliyechoma makanisa pia anamakosa (yaani ile mijitu mizima)NasDaz kinachosikitisha hakuna juhudi za wazi za makusudi kutoka kwa hao Waislamu safi kuelimisha wenzao ubaya wa haya!