Ya... wameelekezwa vizuri kwenye dakika ya 14 - 20 kwenye hii video ya IGP wao...
Hongera Ustaadh Ilunga. Mafunzo yako yanafanya kazi...
Kweli DINI haipendi jambo hili ila watu wake kwa maslahi yao. Hebu tujiulize wale waliomwagia tindikali Katibu wa kadhi na waliotaka kumuua padre mwaka jana wameisha kamatwa?Tusihukumu dini fulani kuwa imehusika katika hili ni vema tukasubiri vyombo vya usalama vitutafutie ukweli. Nahisi something is behind this and i think is not religious issue may be there is another business. Nawasilisha
And you expect us to believe in what you think? Ok, tell us, what other business is it?Tusihukumu dini fulani kuwa imehusika katika hili ni vema tukasubiri vyombo vya usalama vitutafutie ukweli. Nahisi something is behind this and i think is not religious issue may be there is another business. Nawasilisha
what a sad day; mungu atusaidie. Na bado atasimama jk na kutoa hotuba yake ya "jamani udini haufai, haijawahi kutokea katika historia yetu".. Maskini kikwete..
Padri Evarist Mushi, ambaye ni paroko wa parokia ya Minara Miwili - Mtoni Zanzibar amepigwa risasi na watu wasiojulikana leo mida ya saa moja asubuhi akielekea kanisani kuongoza ibada.
Source: Radio Wapo
hapa ndo mnapodhihirisha dini yenu ni ya baba yenu shetani na mapepo
Hata pinda jana ametoa kauli ya eti kulaani mauaji ya mchungaji kule Geita. Ni viongozi wa juu kabisa wa serikali ambao wananchi tunakuwa very anxious kusikia kauli zao na vitendo vyao juu ya mambo mazito lakini kama kawaida yao, wanaibuka na vi-statements ambavyo hata masikio yamekinai kusikia.What a sad day; Mungu atusaidie. Na bado atasimama JK na kutoa hotuba yake ya "jamani udini haufai, haijawahi kutokea katika historia yetu".. Maskini Kikwete..
padri Mushi wa zanzibar apigwa risasi kichwana na kufa alikuwa anaenda kufanya ibaada..
Itv breaking news.
Na dhani sasa uvumilivu unanishinda.... live.
kuna watu wamekaa kipropaganda wakati wenzao wana kufa tuache propaganda , tuwambie wenzetu waislam huko zanzibar mambo yanayoyafanya sio mazuri tunakoelekea ni kubaya zaidi sasa kama wewe unaleta propaganda , wenzenu wakristo huko zanzibar wataendelea kuuwawa. Wakeemeni kwa mabaya wanayo yafanya ,tuache siasa jamani kwenye mambo serious
ndugu zetu waislam
ndugu zetu uamsho
uvumilivu sasa unafikia kikomo
kwa hiyo kwa imani ya kiislam huyo aliyemuua padri ameshapata thawabu?
jamani hii ni sababu ya serikali kuuchekea udini(uislam)
dah kweli waislamu mnakera mbaya! Mungu awarehemu
sent from my blackberry 9900 using jamiiforums
imani yetu ya kiislam muuwaji ana uhakika wa mabikira 72 ahera
islam wa uamsho
Out of topic....acheni mauwaji mtume wenu hapendi
Kwa wale wasiokuwa na tabia ya kukaa na kuanza kufanyia utafuti mambo ndio wanakuja na conclusion kama zako! Hio ni kazi ya usalama wa taifa, usalama wa taifa ndio wenye uwezo wa kuchafua amani ya nchi kwa nama hio. Vipeperushi vilikuwe vikiwaponda wapemba kule unguja, unafikiri kuna mtu aliekaa akasema watanganyika ndio wamerusha ivo vipeperushi? Bali wenye akili wote walijua hio kazi ya kufitinisha ni ya usalama wa taifa! Na nchi mashallah in majasusi wazuri sana tu!
Kama mnaamini mlikichukuwa, basi warudishiwe !
inaoneka huyajui maisha na umekuja juzi mjini,mimi naishi na watoto wa kikristo wawili na wote nawasomesha mmoja chuo kikuu na mwingine sekondari,haya na mimi ni mwisilamu safiii.embu acha maneno ya uchochezi nyio ndio mnaosababisha matatizo na hizo imani zenu za facebook na jamii forums
ndg.zangu.waislam.na wakristo.tuepuke sana maneno tunayo lishwa na viongozi wa dini zetu mbili vitabu vyote vya dini vina ubiri upendo.maubiri yoyote yanayo ubiri kumchukia mtu mahubiri hayo ni dhairi yanatoka kwa shetani.mtume muamadi.na yesu.wote wali ubiri upendo.tujiulize leo hawa watumishi wa mungu.wana tupelekawapi.maubiri ya leo yamejaachuki na kuwapandikizia watu chuki.leo mauaji yanayotokea zanzibar.na geita.ni matokeo ya mbegu zinazopandwa.miskitini na makanisani.angalizo wewe muislam unae muua mkristo na wewe mkristo unae muua muislam jiulize huyo unae muua au unaetaka kumuua.anasura tofauti na wewe.kama anasura kama yako basi uyo ni ndugu yako.umpende.waislam.na wakristo.tupendane.je wapagani wasio na dini waende kwa nani kama sisi tuna uana na kuchukiana.adui yetu ni shetani uyo ndiye wa kupambana nae na watumishi wa mungu tuwaambie waumini wetu adui yetu sio mslam au mkristo.adui yetu ni shetani.mungu ibariki tanzania mungu ibariki africa.amen.Hii nchi hii..!, kazi ya mahubiri ya Sheikh Ilunga imeanza kuonekana....
Hapo sasa tunaenda sawa manake kuna Shehe alimwagiwa Tindi Kali lakini maswala ya udini hayakuzungumziwa ila padri ameuwawa watu wanazungumzia udini.Poor thinking
Alipouwawa SHEIKH ROGO kule Mombasa hawa viwavi walishangilia tu, leo kauwa Mushi full makekeke! Fanyeni haki kwanza kwa wengine ndipo mudai haki zenu!