kukumdogo
JF-Expert Member
- Feb 1, 2011
- 2,871
- 2,762
Inasikitisha sana na nimeamua kwa ridhaa yangu mwenyewe kuanzia leo kuwa mkristo maana sisi waislam nahisi hatujui tulitendalo na mapenzi ya mungu hatuyajui zaidi ya kufata mila za kiarabu. Kila tukikaa tunaita wenzetu makafiri nahuku maendeleo yote wametuletea wao! Siipendi tena dini yangu ya kiislam na kuanzia sasa nakuwa mkristu
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums