Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

Status
Not open for further replies.
Inasikitisha sana na nimeamua kwa ridhaa yangu mwenyewe kuanzia leo kuwa mkristo maana sisi waislam nahisi hatujui tulitendalo na mapenzi ya mungu hatuyajui zaidi ya kufata mila za kiarabu. Kila tukikaa tunaita wenzetu makafiri nahuku maendeleo yote wametuletea wao! Siipendi tena dini yangu ya kiislam na kuanzia sasa nakuwa mkristu

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Hii ni hatari sana, siku wakristo nao wakatoa maneno kama hayooooo, sijui kama kutakuwa na amani tena, ......sehemu yeyeote ukitaka anamni jengenei utamaduni wa kuvumiliana....mfano mwananke mwenye akili, mume akirudi na mimaneno mingi, hutakiwi kujibu, atalala na kesho yeke umtayamaliza kwa amani


Ya... wameelekezwa vizuri kwenye dakika ya 14 - 20 kwenye hii video ya IGP wao...



Hongera Ustaadh Ilunga. Mafunzo yako yanafanya kazi...
 
Last edited by a moderator:
Tusihukumu dini fulani kuwa imehusika katika hili ni vema tukasubiri vyombo vya usalama vitutafutie ukweli. Nahisi something is behind this and i think is not religious issue may be there is another business. Nawasilisha
Kweli DINI haipendi jambo hili ila watu wake kwa maslahi yao. Hebu tujiulize wale waliomwagia tindikali Katibu wa kadhi na waliotaka kumuua padre mwaka jana wameisha kamatwa?
 
Tusihukumu dini fulani kuwa imehusika katika hili ni vema tukasubiri vyombo vya usalama vitutafutie ukweli. Nahisi something is behind this and i think is not religious issue may be there is another business. Nawasilisha
And you expect us to believe in what you think? Ok, tell us, what other business is it?
 
Hakuna sababu ya kupindisha ukweli hakuna sababu serikali imekuwa legelege katika kushughulikia tatizo la maauaji kwa viongozi wa dini ya kikristo umeleta uzi huu ili upate publi support ya ushetani unaofanyika haiwezekani kabisa kwa namna ambavyo mambo yanavyoenda hapa nchini yakaendelea kwa jinsi hii kwa kipindi kifupi tutaingia kwenye lindi la damu inauma kweli machozi yanatutoka tunaenda wapi
 
what a sad day; mungu atusaidie. Na bado atasimama jk na kutoa hotuba yake ya "jamani udini haufai, haijawahi kutokea katika historia yetu".. Maskini kikwete..

ni muda muafaka wa sheikh ilunga hassan kapungu kukamatwa kwani yeye ndie mchochezi mkuu wa haya mambo..

Umoja wa kikristo tanzania walishawasirisha ushahidi wa video ya uchochezi wa kapungu lakini polisi na serikali bado inamwacha kapungu.

Na hivi juzi tu alikuwa rufiji akihimiza mambo hayo hayo tu.
 
Padri Evarist Mushi, ambaye ni paroko wa parokia ya Minara Miwili - Mtoni Zanzibar amepigwa risasi na watu wasiojulikana leo mida ya saa moja asubuhi akielekea kanisani kuongoza ibada.

Source: Radio Wapo

Yote haya yameletwa na Mzee rukhsa.
 
tunasma siku nyingi Nchimbi haiwezi Wizara ya mambo ya ndani. Aseme tena ni wahuni ndio wamemuua Padri Mushi, kama alivyosema kuhusu uchomaji makanisa. Hawa ni watu wana malengo na wanajua wanachokifanya.
 
What a sad day; Mungu atusaidie. Na bado atasimama JK na kutoa hotuba yake ya "jamani udini haufai, haijawahi kutokea katika historia yetu".. Maskini Kikwete..
Hata pinda jana ametoa kauli ya eti kulaani mauaji ya mchungaji kule Geita. Ni viongozi wa juu kabisa wa serikali ambao wananchi tunakuwa very anxious kusikia kauli zao na vitendo vyao juu ya mambo mazito lakini kama kawaida yao, wanaibuka na vi-statements ambavyo hata masikio yamekinai kusikia.
 
padri Mushi wa zanzibar apigwa risasi kichwana na kufa alikuwa anaenda kufanya ibaada..
Itv breaking news.

RIP F. Mushi, Dr Shein rais wetu unakazi kubwa ya kufanya kumbuka kikulacho kinguoni mwako, usiwachekee tena hao wauwaji ama sivyo uvumilivu ukiisha kwa Wakristu patachimbika
 
Na dhani sasa uvumilivu unanishinda.... live.


Mkuu Tuko

Pole sana nakuona umeandika kwa uchungu sana, lakini utanzania wetu ni zaidi ya hawa akina Ilunga. Serikali

inatuangusha, tusingefikia hapa tulipo bro.
 
kuna watu wamekaa kipropaganda wakati wenzao wana kufa tuache propaganda , tuwambie wenzetu waislam huko zanzibar mambo yanayoyafanya sio mazuri tunakoelekea ni kubaya zaidi sasa kama wewe unaleta propaganda , wenzenu wakristo huko zanzibar wataendelea kuuwawa. Wakeemeni kwa mabaya wanayo yafanya ,tuache siasa jamani kwenye mambo serious

ndugu zetu waislam

ndugu zetu uamsho

uvumilivu sasa unafikia kikomo

kwa hiyo kwa imani ya kiislam huyo aliyemuua padri ameshapata thawabu?

jamani hii ni sababu ya serikali kuuchekea udini(uislam)

dah kweli waislamu mnakera mbaya! Mungu awarehemu

sent from my blackberry 9900 using jamiiforums

imani yetu ya kiislam muuwaji ana uhakika wa mabikira 72 ahera

islam wa uamsho

Hayo ni mauji ni uhalifu kama uhalifu mwengine, sawa tu na kumpleka Sheikh Ponda Mahakamni alfajiri, na kumsomea mashtaka hata wakili wake asikutanenae.

Mwenye ushahidi kua mauaji hayo yametekelezwa kwa fatwa ya mufti wa zanzibar aulete. Au akamatwe mufti kwani yeye ndio kiongozi wa uislamu au sheikh yoyote alie toa fatwa hiyo.

Hapo uislamu hauhusiki. Huo ni uhalifu, ila nyinyi kizazi cha ......., hamchoki kuuchafua uislamu.
 
Out of topic....acheni mauwaji mtume wenu hapendi

Mkuu na wewE unaogopa nini!! ilhali yeye kazi yake kubwa ilikuwa kufundisha watu kwenda kupina bila kufikiri......na haya ndio matunda ya mafundisho yake......!! Then usiseme hapendi, sema alikuwa hapendi..maana alikufa na kuoza zamani!!
 
Kwa wale wasiokuwa na tabia ya kukaa na kuanza kufanyia utafuti mambo ndio wanakuja na conclusion kama zako! Hio ni kazi ya usalama wa taifa, usalama wa taifa ndio wenye uwezo wa kuchafua amani ya nchi kwa nama hio. Vipeperushi vilikuwe vikiwaponda wapemba kule unguja, unafikiri kuna mtu aliekaa akasema watanganyika ndio wamerusha ivo vipeperushi? Bali wenye akili wote walijua hio kazi ya kufitinisha ni ya usalama wa taifa! Na nchi mashallah in majasusi wazuri sana tu!

Ikowapi conclusion yangu hapo? Mimi nimetoa kilichoripotiwa kabla ninyi wana propaganda hamjaanza kazi yenu ya ku-neutralize. Wenye akili wanajua ushenzi unaoenezwa na akina shehe Ilunga huku hao usalama wa taifa wako wakimtazama tu. And where do they get their support?? Guess what? The word of Allah!! What kind of God is this????????????????????/
 
inaoneka huyajui maisha na umekuja juzi mjini,mimi naishi na watoto wa kikristo wawili na wote nawasomesha mmoja chuo kikuu na mwingine sekondari,haya na mimi ni mwisilamu safiii.embu acha maneno ya uchochezi nyio ndio mnaosababisha matatizo na hizo imani zenu za facebook na jamii forums

wengi wanaoeneza chuki za dini humu ukifuatilia wametoka koo za dini moja,unakuta mtu anawasema watu wa dini nyingine ni wabaya wakati ajawahi hata kuishi nao kwa karibu.
Sisi ambao tuna ndugu wa dini zote ni vigumu sana kukuta tunasema waislamu au wakristo ni wabaya,kwa sababu najua ni jinsi gani mjomba wangu mkristo alivyo mwema na vivyohivyo baba mdogo muislam alivyo mtu safi.
Tunawaomba mpunguze jazba kwenye maandish yenu mnatukwaza sisi wenye interest na dini zote na tupo wengi sana hapa Tanzania.
 
Hii nchi hii..!, kazi ya mahubiri ya Sheikh Ilunga imeanza kuonekana....
ndg.zangu.waislam.na wakristo.tuepuke sana maneno tunayo lishwa na viongozi wa dini zetu mbili vitabu vyote vya dini vina ubiri upendo.maubiri yoyote yanayo ubiri kumchukia mtu mahubiri hayo ni dhairi yanatoka kwa shetani.mtume muamadi.na yesu.wote wali ubiri upendo.tujiulize leo hawa watumishi wa mungu.wana tupelekawapi.maubiri ya leo yamejaachuki na kuwapandikizia watu chuki.leo mauaji yanayotokea zanzibar.na geita.ni matokeo ya mbegu zinazopandwa.miskitini na makanisani.angalizo wewe muislam unae muua mkristo na wewe mkristo unae muua muislam jiulize huyo unae muua au unaetaka kumuua.anasura tofauti na wewe.kama anasura kama yako basi uyo ni ndugu yako.umpende.waislam.na wakristo.tupendane.je wapagani wasio na dini waende kwa nani kama sisi tuna uana na kuchukiana.adui yetu ni shetani uyo ndiye wa kupambana nae na watumishi wa mungu tuwaambie waumini wetu adui yetu sio mslam au mkristo.adui yetu ni shetani.mungu ibariki tanzania mungu ibariki africa.amen.
 
Wew kweli chizi hapa si mahali pako unatakiwa urudi mitembe.
Hapo sasa tunaenda sawa manake kuna Shehe alimwagiwa Tindi Kali lakini maswala ya udini hayakuzungumziwa ila padri ameuwawa watu wanazungumzia udini.Poor thinking
Alipouwawa SHEIKH ROGO kule Mombasa hawa viwavi walishangilia tu, leo kauwa Mushi full makekeke! Fanyeni haki kwanza kwa wengine ndipo mudai haki zenu!

Shehe Rogo aliuwawa na mashirika ya kiintelejensia kwa kuwa alishukiwa kuwa gaidi hilo hatawewe walijua. She aliemwagiwa tindikali ilikuwa ishu za ndani za kiislam hili pia unalijua usijifanye mtoto. Ishu ya Mapadre kutaka kuuwawa pamoja na tukio la Mushi yote ni mipango iliyoratibiwa na kundi fulani katika dini ya kiislam hilo linajulika wazi wala haihitaji kuunda tume. Waislamu waseme nini wanataka, Rais wa nchi ni muislam, makamu ni muislam, jaji mkuu, mkuu wa usalama, mkuu wa polisi ni muislam hata mkipewa serikali yote ikawa ya kiislam bado hamtaridhika ( mfano somalia, misri,libya, tunisia na nchi nyingi za kiislam). Najua kuwa maandiko yenu yanasema ukiuwa kutetea dini unapata thawabu, ndo maana siku zote nasema mungu wa waislam sio Mungu wetu wakristo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom