matumbo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 7,224
- 3,951
Mkuu sio Sheikh Ilunga tu, hawa wahubiri wa dini zote kuu mbili,siku hizi wanahubiri zaidi utengano na chuki! hawana mahubiri ya upendo kama walokuja nayo wamisionary na waanzilishi wa uislamu huku kwetu! wengi ni kukashifiana kwa hali ya juu,hili naliona hata humu Jf,imefika mahali Mtume Muhammad katukanwa sana humu,mara mmbakaji, anafuga majini, sheikh kikoti nk.Hii si ishara nzuri,tujirudi jamani!
hahahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!