Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

Status
Not open for further replies.
Wazanzibari hawakamatani, wanawajua vyema wauwaji wote lakini hiyo ni ajenda ya viongozi pia. Ili kuwaadhibu hawa ni kutangaza serkali moja Tanzania mana SMZ haina kazi yoyote
 
amna mwislam anaye mchukia mkiristo. Kama umepitia vizuri comant zote za hii post, utagundua kua wacristo ndio hamtupendi waislam. Mimi nawapenda wacrito. Kwakumuogopa mungu, mimi nimeowa ktk familia ya k-cristo, mkewangu kabadili dini hivisasa ni muislam. Ila nduguzake wote ( kasoro mama 2 ) ni wacathoric. Naleo tunam pango wa kwenda kutembelea familia yake.

Hata wewe ni mdini!.. Msikitini mnahubiri chuki, mtaani mnaleta unafiki na kuua watu mkitimiza maagizo ya Ustadh Ilunga Hassan.
 
HI AMANI TULIYONAYO INATUPUMBAZA,WE NGOJA KILA MTU ANUNUE JAMBIA,SIME NA MKUKI TUTWANGANE NDIPO TUTA RENEW AMAN NYINGNE hali hi haivumiliki kamwe!
 
Nimekuwa nikisoma taarifa za mateso kwa wakristo yanayolipuka sehemu nyingi zenye uislam duniani.naamini upo mkakati wa kudhoofisha ukristo duniani na hapa tz umeingia.sasa huu ni wakati wa wakristo kukaa pamoja,kuunda mikakati ya kukabiliana na hali hii huku wakiomba MUNGU awape jibu sahihi.pia ni wakati wa wakristo kuyapa uzito matatizo yote wanayoyapata kwa jina la uislam,wayachunguze,wajue kama huu ni mkakati wa waislam au sio?na kama ni waislam ni official agenda ya waislam au ni mkakati wa watu wachache ndani ya uislam?mwisho baada ya kujua adui ni nani na anapanga nini then ni kupambana nae accordingly na ktk kupambana huko it has to be assumed hakuna serikali ya kuwatetea kwa sababu kama ingekuwepo ingekuwa imeshajidhihirisha.naweza kuonekana nageneralise mambo au kuyakuza but i have learned from the past,haya mambo si ya kuyaachia wala kuyapuuza hata kidogo na inatakiwa itumike nguvu kubwa hivi sasa.ikisubiriwa baadae majeruhi watakuwa wengi,ni nani ajuaye,huenda ukawa wewe unayeishia kusema R.I.P tu humu ndani!usisubiri mchungaji wako au mwanao achinjwe,it will be too late!wakati wa kuwa wakali ni hapa hapa mwanzo na kutuma message strong kwamba hatutaki upuuzi na tunaupenda ukristo wetu na tuna haki kama binadamu wengine.Jifunzeni toka Israel.si wajinga wale.reaction zao huwa babu kubwa kwa sababu wanajua tabia na ajenda za maadui zao wasioridhika ambao watakushika sikio,ukikaa kimya unapigwa kofi,ukiendelea na kimya wanakuvua nguo!nimekuwa muumini mzuri wa amani humu JF lakini sasa naona hawa watu wanataka kutukojolea.kilichobaki ni kurusha teke utakayemkuta kainama ameshika nanihii zake huku analia ujue ndio huyo alikuwa anakukojolea,muongezee kichapo!iwe serikali,iwe waislam watajiju pumbavu kabisa!
 
kum..........ke Muungano wa kingese huu uvunjike watu wa bara tumechoka haya manyanyaso ya hawa Alshabab wa Zanzbar.............ujinga gani huu kulazimshana majitu yenyewe mabinafsi hata vyuoni tunayaona yanavyojitenga nawatu bara
 
Huu ni ujinga...ndo maana mimi niliachana na kujihusisha na dini yoyote..Mimi namwamini Mungu mmoja..sijui mkristo, mwislamu wote they can go to hell..
 
Kuua mtu yoyote ni unyama...
Kuua mtu sababu ya imani yake ni ulimbukeni
Kuua mtu kwa kisingizio cha imani yako (ingawa hata imani yako haisemi ufanye hivyo) ni upuuzi na kuchanganyikiwa..
Kutetea mauaji ya aina yoyote ni ukosefu wa busara na akili..
Kujenga chuki kwa tabaka la watu sababu baadhi ya tabaka hilo la watu wamepotoka ni kupotoka
Imani kama haijengi upendo, usawa na mshikamano imani hio/hizo hazina nafasi katika jamii
 
Hapa kilichopo jino jino aman ikivunjika tuta renew nyingne wamezd kutuonea wakristo,wanalipiza kpgo cha ijumaaaa
 
Mkuu adolay
Waislamu wa Zanzibar hawana tatizo na wakristu; wameishi begabega miaka mingi hata hay matatizo ya kuchoma makanisa chanzo ni siasa za maji taka; kama hawakuyachoma miaka hiyo iweje leo? Rejea kwenye suala la padri nimewauliza hivi hamjawahi kuona au kusikia mapadri wanazini na wake za watu mbona hamjibu? Kuuwawa kwa padri Zanzibar haimaniishi muaji ni muislamu anaweza akatoka George Kibaha kwenda kuua Zanzibar; sioni ni kwa misingi ipi mnataka kuwahusisha wazanzibar na mauji ya padri; acheni vyombo vya sheria vifanye kazi yake; JF wanafiki mpo wengi sana mnakumbuka siku alipouliwa polisi Zanzibar maneno mliyoyatoa? Hizo zote ni roho za binadamu.
Chama
Gongo la mboto DSM

Inawezekana tukawa wanafiki wala sikatai lakini unafiki wetu usadikishwa na idadi kubwa ya makanisa kuchomwa zanziba ikafuatiwa na padri kupigwa risasi zanzibar na kisha kufuatiwa na kupigwa risasi na amekufa padri leo.

Tatizo langu ni kwamba hiyo siasa kwanini haiendi kuchoma misikiti? na kwanini haiendi kupiga risasi mashekh labda tena utuwekesawa kwanini siasa inalenga upande mmoja wa imani?
 
Habari mbaya sana, nawaomba wakristo wasilipizie maana hiyo itasababisha vurugu kubwa. Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi. Amen
 
Mkuu adolay
Waislamu wa Zanzibar hawana tatizo na wakristu; wameishi begabega miaka mingi hata hay matatizo ya kuchoma makanisa chanzo ni siasa za maji taka; kama hawakuyachoma miaka hiyo iweje leo? Rejea kwenye suala la padri nimewauliza hivi hamjawahi kuona au kusikia mapadri wanazini na wake za watu mbona hamjibu? Kuuwawa kwa padri Zanzibar haimaniishi muaji ni muislamu anaweza akatoka George Kibaha kwenda kuua Zanzibar; sioni ni kwa misingi ipi mnataka kuwahusisha wazanzibar na mauji ya padri; acheni vyombo vya sheria vifanye kazi yake; JF wanafiki mpo wengi sana mnakumbuka siku alipouliwa polisi Zanzibar maneno mliyoyatoa? Hizo zote ni roho za binadamu.
Chama
Gongo la mboto DSM

Chama, kwa upande mmoja ninakubaliana nawe - Zanzibar, kama ilivyo Bara, ni nchi ya watu wa imani zote: Waislamu, Wakristu, Wahindu, Wajadi, nk ijapokuwa Waislamu ndio waliowengi. Lakini hilo halihalalishi waliowachache wasiachiwe uhuru wa kuabudu wanachokiabudu. Uislamu na Ukristu umeishi sambamba kwa amani tokea biashara ya utumwa ilipoharamishwa. Pia ninakubaliana nawe kuwa Waislamu wa zanzibar au wa Bara au duniani kote hawana tatizo na Wakristu. Wakati huo huo tunapaswa kutambua na kukubali kuwa dunia ya leo kumeibuka vikundi vya MAGAIDI wanaotumia mwavuli wa dini ya UISLAMU kuhalalisha vitendo vyao vya KIGAIDI. Kwa bahati mbaya hata waislamu wasiokuwa na matatizo na Wakristu hawajafanya jitihada za kutosha kukemea hao MAGAIDI. Ndugu Chama utakuwa unafanya kosa kubwa kukimbilia kujenga fikira kuwa huyu Padri ameuwawa kutokana na kuchukua mke wa mtu, badala ya kuanza na fikra amabyo inaweza kuepusha shari ya kwamba pengine ni vitendo vya KIGAIDI. Ukiishajiridhisha kuwa sio UGAIDi bali ni UHALIFU hapo unakuwa umeitendea jamii haki na umewajibika. Hawa binadamu wanaofanya mauaji haya wawe ni Wazanzibari au Wazanzibara, au wabara ni MAGAIDI. Kazi ya UGAIDi ni kuterrorize binadamu wenzao ili wakimbie mahali hapo. Ukifumbia macho uwezakano huu basi ni dalili kuwa hutaweza kutatua tatizo hili na hicho ndicho serikali yetu sikivu ya CCM (Bara na Zanzibar) inachokifanya, na ndio watu kama nyie mnachochagizia. Ni UPOTOVU wa hoja na fikira na mnaipeleka nchi pabaya.
 
This is too much, for real , christians should do "something", otherwise tutakwisha.
Mamlaka hazichukui 'hatua", halafu anatoa majibu mepesi "nikikundi kidogo kinataka kuvuruga amani ya nchi, wakristo vuteni subira, hasa wakatoliki" that is nonsense how many times? We should respect each other. Pengo toa ruti!
 
Nimekuwa nikisoma taarifa za mateso kwa wakristo yanayolipuka sehemu nyingi zenye uislam duniani.naamini upo mkakati wa kudhoofisha ukristo duniani na hapa tz umeingia.sasa huu ni wakati wa wakristo kukaa pamoja,kuunda mikakati ya kukabiliana na hali hii huku wakiomba MUNGU awape jibu sahihi.pia ni wakati wa wakristo kuyapa uzito matatizo yote wanayoyapata kwa jina la uislam,wayachunguze,wajue kama huu ni mkakati wa waislam au sio?na kama ni waislam ni official agenda ya waislam au ni mkakati wa watu wachache ndani ya uislam?mwisho baada ya kujua adui ni nani na anapanga nini then ni kupambana nae accordingly na ktk kupambana huko it has to be assumed hakuna serikali ya kuwatetea kwa sababu kama ingekuwepo ingekuwa imeshajidhihirisha.naweza kuonekana nageneralise mambo au kuyakuza but i have learned from the past,haya mambo si ya kuyaachia wala kuyapuuza hata kidogo na inatakiwa itumike nguvu kubwa hivi sasa.ikisubiriwa baadae majeruhi watakuwa wengi,ni nani ajuaye,huenda ukawa wewe unayeishia kusema R.I.P tu humu ndani!usisubiri mchungaji wako au mwanao achinjwe,it will be too late!wakati wa kuwa wakali ni hapa hapa mwanzo na kutuma message strong kwamba hatutaki upuuzi na tunaupenda ukristo wetu na tuna haki kama binadamu wengine.Jifunzeni toka Israel.si wajinga wale.reaction zao huwa babu kubwa kwa sababu wanajua tabia na ajenda za maadui zao wasioridhika ambao watakushika sikio,ukikaa kimya unapigwa kofi,ukiendelea na kimya wanakuvua nguo!nimekuwa muumini mzuri wa amani humu JF lakini sasa naona hawa watu wanataka kutukojolea.kilichobaki ni kurusha teke utakayemkuta kainama ameshika nanihii zake huku analia ujue ndio huyo alikuwa anakukojolea,muongezee kichapo!iwe serikali,iwe waislam watajiju pumbavu kabisa!

Naunga mkono hoja ..............mambo gani haya kuonewa serikali inachukulia poa .......eti tuwe nasubira mamake tusubilri mpaka lini tunakufa....mtu anakuja na panga badala ya kuniambia nijihami unasema nisubiri......ninamoto mimi...kudadeki...hayo makristo yaliyo kwenye mfumo yanadhani hii vita haiwahusu ...bila kujua wakitumaliza sisi watayarudi yenyewe....mko wapi akina pinda
 
Mauji ya Daudi Mwangosi, kuweka ndani kwa Sheikh Ponda,Sheikh Farid na wenzake, kutekwa na kuteswa kwa Dr Ulimboka, na hata kufungiwa na gazeti la Mwanahalisi, kunathibitisha pasi na shaka kuwa serikali ya CCM inayo uwezo, nia na ujasiri wa kutenda pale tu maslahi yao yanapoguswa.

Mauji ya Padre Evarist Mushi huko Zanzibar si kwamba yamefanywa na waislam, bali yamefanywa na wahalifu wanaotumia kivuli cha dini kutimiza azma zao. Na wahalifu hawa wamekuwa na wakati mzuri sana wa kufanya mambo yao kwa sababu serikali ya CCM ina 'interest' kubwa kwenye udini kwani ni njia muhimu ya kugawa na kutawala Watanzania.

Kama kweli serikali ya CCM ingekuwa inaguswa (kimaslahi) na misuguano ya udini wangeshachukua hatua mapema kama walivyofanya kwa Mwangosi, Dr Ulimboka, Sheikh Ponda, na Mwahalisi.

Na huko tuendekako, unless mambo yabadilike - tena kwa haraka - basi Watanzania andaeni viroba vya kubebea vifusi. Makanisa Zanzibar yatapigwa mabomu ya nguvu. Hiki ndicho kinachofuta.

Mazishi ya Padre Evarist Mushi.

Kama kumbukumbu zangu ni sahihi, Padre Evarist Mushi anatokea shirika la White Fathers. Ingekuwa vema kama uongozi wa Kanisa Katoliki wangemzika Padre Evarist Mushi kwenye Seminary yao - USA-River, Arusha. Wakimzika huyu Padre Zanzibar, haitachukuwa muda mrefu, watu 'wasiojulikana - tena, watalifukuwa kaburi lake. Ni matumaini yangu kuwa Kanisa litamrudisha huyu Padre mahali ambapo atapumzika kwa amani.
 
This is too much, for real , christians should do "something", otherwise tutakwisha.
Mamlaka hazichukui 'hatua", halafu anatoa majibu mepesi "nikikundi kidogo kinataka kuvuruga amani ya nchi, wakristo vuteni subira, hasa wakatoliki" that is nonsense how many times? We should respect each other. Pengo toa ruti!
 
Mungu ampe pumziko la amani,na wahusika watafutwe na kukamatwa na kupelekwa mbele ya sheria

Wanaogopwa hao cz wanadai fadhila yao baada ya kutumiwa na kuachwa kama walivyokutwa,sasa wanadai maslahi/ujira wao kwa nguvu na hivyo ni vitisho kwa serikali ili iwalipe mafao yao kama walivyotumiwa kutumwa.
 
Utetezi wako hauna mashiko!... SISI tunarejea CD zilizosambazwa na viongozi wa kiislamu kuwa waache kuchoma magari ya watu bali waanze kuua mapadri na maaskofu na wakristo wengine!... Hili tukio si bahati mbaya. Ni mauaji ya kupanga. ... HUWEZI KUWAWEKA MBALI WAISLAMU NA MAAUAJI HAYA!

ACHA KUHUSISHA UHALIFU NA IMANI ZA DINI, KAMA UNAO USHAHIDI PIGA NAMBA HIZI HAPA:-

IGP MWEMA 0769-168-850
Kaskazini Pemba SACP Yahaya Mohamed Salehe 0777 429 365;
Kusini Pemba ACP Hassan Nassir Ally 0777 425 353;
Kaskazini Unguja ACP Ahamad .H. Hamisi 0777 474 601;
Kusini Unguja ACP Augostino Ulomi 0786 662 099;
Mjini Magharibi ACP Aziz.J.Mohamed 0777 414 488.
 
mshiushutumu uislam kwani uislam hauruhusi maua yanamna hii.huruhusu kisasi kwa kias cha kitendo kilivyofanyika.msitafute njia ya kuhilikisha waznz.mim nionavyo acheni serikali ifanye uchunguzi kama walivyofanya uchunguzi 2001 pemba na 1998 mwembe chai.asionekane ilunga ni mchochezi au anahamasisha mauaji.la ila anasema uadilifu usimame ktk jamii.pasiwepo na tabaka ktk jamii wala upendeleo(msome sivalon ktk kitab chake siasa ya tanzania bara na kanisa katoliki 1953/1985 , kwa heri ukoloni kwa heri uhuru by harith ghassany) yawezekana mtu akauliza kwanin nimeandika hivi,lakin nimuhimu kupata rejea upate uwezo kufanya tafsiri ya kinachoendelea sana kama ni matokeo ya yaliopita au maandlizi ya yaliolopita.jitahid uvipitie vitabu hivi wakati ambao umeiruhusu akili yako kupokea yaliyomo ndni ya vitabu iliupate faida na upeo wa kutafasir matukio yanayotokea ktk tz yetu.BE TRANSPARENT INORDER TO GAIN KNOWLEDGE
 
kama ni uvumilivu wa wakristu umefika hatua umekuwa ni mwiba kwao, serikali haijali ipo usingizini, mi nadhani tuwaombe viongozi wa dini zote za wakristo kuandaa maandamano kuishinikiza serikali kuhakikisha usalama na heshima ya wakristo!!!!
this is too much

Maandamano ya kutaka SMZ ifutwe ndio inaowaficha waislamu wenye siasa kali Zanzibar, bunge lipige kura ya kuwepo serikali moja Tanzania
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom