Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

Status
Not open for further replies.
Kuna mtu yeyote anamfaham Shekh yeyote kutoka Zanzibar anaehudum huku Tz Bara?!

Nahitaji kwenda kumsalimia tu, mana sis sote ni ndugu na tunapendana sana.!!!!

R.I.P Padre Mushi, tuliobaki hai tutakutetea kwa njia yeyote wakat ukifika, mana serikal yako imeshindwa..!

Kuna Sheikh Mmoja anaitwa AL-alama, Mufti, Al-haji, Chief Kadhi Mkuu MZIMU. Anapatikana Pale Mbagala Kizuiani. Ukifika tu Muulizie. Utampata. The red color line is noted, as well.
 
We unafahamu knachoendea! kama unakifaham tuelimishe


ugaidi.........




[h=1]Stupid Terrorists[/h]


StumbleUpon
Reddit





  • [*=center]

[h=2][/h][FONT=Helvetica, Arial, sans-serif]
[/FONT]
 
Mimi ningekuwa rais wa tz ningetangaza wazanzibar wote hata kama huna nauli nenda pale feri mrudishwe wote znz.na watakaobaki watatiwa magerezan watusaidie kulima mpunga.na kila mzanzibar atakae taka kuja huku iwe ni kwa kibali maalum.tuone watakula nin wavivu wale.tunawalea sana hawa ifike mahali tuwarudishe kwao wakapigane huko.maanake nyanya tu zinatoka huku.sion haja ya muungano tuuvunje
 
1325855.jpg


WAAUJI WAKAMATWE, WAJULIKANE. WAUWAE. KAULI ZA UCHOCHEZI NA KASHFA DHIDI YA UISLAMU HAPA SIO MAHALA PAKE.

KUMBUKENI OKLOHOMA BOMBINGS. PALE SEREKALI YA MAREKANI ILIPOKURUPUKA NAKUSEMA KUA, WANA UHAKIKA NI WAISLAMU, WALIOKUA WANA HUSIKA NA SHAMBULIO LILE. BAADA YA UCHUNGUZI WAKAKUTA WALIKUA NI WAKRISTO NA ALIE HUSIKA HASA NI EX SOLDIER WA VITA VYA GHUBA ALIE ITWA Timothy MAcVeigh.



1a.jpg


[TABLE="width: 80%"]
[TR]
[TD="width: 100%, colspan: 2"]Classification: Mass murderer
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 100%, colspan: 2"] Characteristics: Revenge for "what the U.S. government did at Waco and Ruby Ridge"[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 100%, colspan: 2"] Number of victims: 168[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 100%, colspan: 2"] Date of murder: April 19, 1995[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 100%, colspan: 2"] Date of arrest: Same day[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 100%, colspan: 2"] Date of birth: April 23, 1968[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 100%, colspan: 2"] Victims profile: Men, women and children (Alfred P. Murrah Federal Building)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 100%, colspan: 2"] Method of murder: Bombing (ammonium nitrate and nitromethane)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 100%, colspan: 2"] Location: Oklahoma County, Oklahoma, USA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 100%, colspan: 2"] Status: Executed by lethal injection in Oklahoma on June 11, 2001[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

OKC_Bomb.jpg
Z


images


KWA HIYO TUSICHAFUE AMANI YA NCHI KWA KUYAPA MTUKIO YA UHALIFU, ANUANI ZA KIDINI.

MWENYENZI MUNGU AKUWEKE MAHALI PANAPOKUSTAHILI PADRE Evarist Mushi
Maneno unayozungumza yana kila dalili ya amani kama kweli unayamaanisha. Hata hivyo, unafahamu kuwa wewe ni miongoni mwa wachache ambao wanaamini katika amani? Yule shehe wa Mombasa alikuwa anahubiri kuwa ili kutetea uislamu ni lazima kutumia bunduki, maneno ya kuelewana na kuvumiliana hayana nafasi. Hapa kwetu yeye anatumika kama alama ya ushujaa kwa waislamu kwamba yale aliyoyasema ndiyo inatakiwa waislamu wayaenzi kwa kushika bunduki na kuua wenzao ambao si waislamu. Kamata padri, mchungaji, askofu, kadinali, chinja..hivyo ndivyo mashehe wa kiislamu wanatangaza tena hadharani!! Hiyo amani inayotangazwa kwa mtutu wa bunduki na ncha ya upanga ni ipi?
 
hili dini limekuwa kero kushindwa hata gonjwa la zinaa tupa kule i hate this shit kwa kweli ifike muda bwana waislamu mshirikishe akili zenu kwenye mambo madogo ya kidini.Hata kwa simple judgement or reasoning huwezi kuamini ujinga eti ukimuua asiye muislamu unaingia peponi kijingajinga.Pumbafu kabisa acheni ujinga sisi ni binadamu wenzenu shenzi type kama ban nipigeni tu kulaleki nimeshakasirika nipo tayari kwa lolote bullshit tumevumilia sana tumeshawachoka arggggg....

You have been banned for 2 months. Reason, the ban you have searched for. Kwi kwi kwi
 
Inauma sana pale mwanadamu anapokatisha uwahi wa binadamu mwenzake,sijui tunaelekea wapi,Naomba BARAZA LA MAASKOFU KATOLIKI TANZANIA LITOE TAMKO,na ikiwezekana kanisa katoliki liondoke kabisa zanzibar kwani si sehemu salama,tena inaonekana adui wa kwanza wa uislamu ni ukatoliki,iweje ashambuliwer Fr Ambrose nna kisha Fr Evarist Mushy?
Chondechonde baba Askofu Augustino Shayo wa jimbo katoliki la Zanzibar kaa na wasaidizi wako na mtazame hii hali kwa jicho la tatu.RAHA YA MILELE UMPE EE BWANA NA MWANGA WA MILELE UMWANGAZIE APUMZIKE KWA AMANI.
 
1325855.jpg


WAAUJI WAKAMATWE, WAJULIKANE. WAUWAE. KAULI ZA UCHOCHEZI NA KASHFA DHIDI YA UISLAMU HAPA SIO MAHALA PAKE.

KUMBUKENI OKLOHOMA BOMBINGS. PALE SEREKALI YA MAREKANI ILIPOKURUPUKA NAKUSEMA KUA, WANA UHAKIKA NI WAISLAMU, WALIOKUA WANA HUSIKA NA SHAMBULIO LILE. BAADA YA UCHUNGUZI WAKAKUTA WALIKUA NI WAKRISTO NA ALIE HUSIKA HASA NI EX SOLDIER WA VITA VYA GHUBA ALIE ITWA Timothy MAcVeigh.



1a.jpg


[TABLE="width: 80%"]
[TR]
[TD="width: 100%, colspan: 2"]Classification: Mass murderer

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 100%, colspan: 2"]Characteristics: Revenge for "what the U.S. government did at Waco and Ruby Ridge"
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 100%, colspan: 2"]Number of victims: 168
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 100%, colspan: 2"]Date of murder: April 19, 1995
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 100%, colspan: 2"]Date of arrest: Same day
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 100%, colspan: 2"]Date of birth: April 23, 1968
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 100%, colspan: 2"]Victims profile: Men, women and children (Alfred P. Murrah Federal Building)
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 100%, colspan: 2"]Method of murder: Bombing (ammonium nitrate and nitromethane)
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 100%, colspan: 2"]Location: Oklahoma County, Oklahoma, USA
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 100%, colspan: 2"]Status: Executed by lethal injection in Oklahoma on June 11, 2001
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

OKC_Bomb.jpg
Z


images


KWA HIYO TUSICHAFUE AMANI YA NCHI KWA KUYAPA MTUKIO YA UHALIFU, ANUANI ZA KIDINI.

MWENYENZI MUNGU AKUWEKE MAHALI PANAPOKUSTAHILI PADRE Evarist Mushi

Utetezi wako hauna mashiko!... SISI tunarejea CD zilizosambazwa na viongozi wa kiislamu kuwa waache kuchoma magari ya watu bali waanze kuua mapadri na maaskofu na wakristo wengine!... Hili tukio si bahati mbaya. Ni mauaji ya kupanga. ... HUWEZI KUWAWEKA MBALI WAISLAMU NA MAAUAJI HAYA!
 
Wazanzibari hawakamatani, wanawajua vyema wauwaji wote lakini hiyo ni ajenda ya viongozi pia. Ili kuwaadhibu hawa ni kutangaza serkali moja Tanzania mana SMS haina kazi yoyote
 
Imani yetu ya kiislam muuwaji ana uhakika wa mabikira 72 ahera

mbinguni hakuna kuoa wala kuolewa,sharti miili hii iliyojaa uharibifu ife alufu tuvae miili ya roho..kwa hiyo miili ya roho hakuna kuoa wala kuolewa
 
Umeelewa swali? haya ndiyo yanayotokea Necta mtu akiferi oh ameferishwa, mkuu jibu swali nimerudia hapo chini acha siasa


quote_icon.png
By adolay

Mkuu chama

Nikweli nakubaliana na wewe kanisa halikuanza jana ni ukweli usiopingika.

Kwa Dhana hiyo hiyo unaweza pia kutueleza kwanini kwa kipind kifupi zaidi ya makanisania 20 yamwchomwa moto

ukilinganisha na misikiti ambayo kwa bahati mbaya sina kumbukumbu mingapi imechomwa huko zanzibar Rejea kauli yako kwenye redi hapo juu.
Mkuu adolay
Waislamu wa Zanzibar hawana tatizo na wakristu; wameishi begabega miaka mingi hata hay matatizo ya kuchoma makanisa chanzo ni siasa za maji taka; kama hawakuyachoma miaka hiyo iweje leo? Rejea kwenye suala la padri nimewauliza hivi hamjawahi kuona au kusikia mapadri wanazini na wake za watu mbona hamjibu? Kuuwawa kwa padri Zanzibar haimaniishi muaji ni muislamu anaweza akatoka George Kibaha kwenda kuua Zanzibar; sioni ni kwa misingi ipi mnataka kuwahusisha wazanzibar na mauji ya padri; acheni vyombo vya sheria vifanye kazi yake; JF wanafiki mpo wengi sana mnakumbuka siku alipouliwa polisi Zanzibar maneno mliyoyatoa? Hizo zote ni roho za binadamu.
Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
Wakristo ni mang'ombe tu nawashauri Waislamu waendelee kuuwa mapadri na wachungaji mpaka mtakapopata akili na kujuwa hii ni war against crusaders inayoratibiwa kwa umahili na Mkwele.

Kifalsafa,ng'ombe ni mpole,huzaliwa mmoja mmoja,huchinjwa sana hawaishi.waislam ni mbwa pia huzaliwa wengi hata 8 na mama 1 hufa kwa wingi.
 
Tunapoelekea pabaya sana.

Serikali iwape ulinzi viongozi wote wa dini ya kikristo waliokuepo zanzibar kuanzia sasa hivi kama bado hawajafanya hivyo.

Kila mtu ana haki ya kuabudu anachotaka. Sioni sababu ya mtu kuumizwa kichwa na dini/imani ya mtu mwingine kama una huakika unachoa amini wewe ni sawa.

Na sisi JF haina haja ya kuendeleza chuki, tuoneshe mfano kwa kuheshimu dini zote.

Tuheshimu dini za ndugu,marafiki, jirani na maadui zetu pia.
 
kama ilivyo huku
bara TANGANYIKA SI ENEO SALAMA KWA WAISLAM,KILA SIKU MASHUSHUSHU
WANATUSUMBUA MISIKITINI,WENGINE WAKRISTO WANAJIFANYA KUJA KUSWALI ILI
KUTUSKIZA TUNAZUNGUMZA NIN?

hii ni kutokana na vitendo vya kigaidi kama hiki kupangwa misikitini....inaniuma sn ugomvi kati ya waislam na serikali unapochukuliwa kama ugomvi wa wakristo na waislam ,taabuni kuwa ukristo huiwakilisha serikali
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom