Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

Status
Not open for further replies.

hahahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!
 

Ulikuwa hujui hawa wanaongozwa na majini, wanasali na majini, na kulindwa na majini??!...
 
Jamani embu tuache kutia chumvi haya mambo, kuanza kusema waislam as if ni wote hamuwatendei haki,ni sawa na kusema marekani yenye wakristu wengi kuwa wakristu wanawauwa waislam iraq,afghan,palestine na kwingineko...na pia hata kama hamumpendi jk sio viziuri kila jambo mnamuunganisha tu,tukae tutafakari nini kimetufikisha hapa, mie kwa mtazamo wangu ni matokeo ya muda mrefu sana nadhani tokea baada ya uhuru tu, hata boko haram ni matokeo ya muda mrefu, tujipange bila kulaumiana tutafute suluhu

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 


WAAUJI WAKAMATWE, WAJULIKANE. WAUWAE. KAULI ZA UCHOCHEZI NA KASHFA DHIDI YA UISLAMU HAPA SIO MAHALA PAKE.

KUMBUKENI OKLOHOMA BOMBINGS. PALE SEREKALI YA MAREKANI ILIPOKURUPUKA NAKUSEMA KUA, WANA UHAKIKA NI WAISLAMU, WALIOKUA WANA HUSIKA NA SHAMBULIO LILE. BAADA YA UCHUNGUZI WAKAKUTA WALIKUA NI WAKRISTO NA ALIE HUSIKA HASA NI EX SOLDIER WA VITA VYA GHUBA ALIE ITWA Timothy MAcVeigh.





[TABLE="width: 80%"]
[TR]
[TD="width: 100%, colspan: 2"]Classification: Mass murderer
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 100%, colspan: 2"] Characteristics: Revenge for "what the U.S. government did at Waco and Ruby Ridge"[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 100%, colspan: 2"] Number of victims: 168[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 100%, colspan: 2"] Date of murder: April 19, 1995[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 100%, colspan: 2"] Date of arrest: Same day[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 100%, colspan: 2"] Date of birth: April 23, 1968[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 100%, colspan: 2"] Victims profile: Men, women and children (Alfred P. Murrah Federal Building)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 100%, colspan: 2"] Method of murder: Bombing (ammonium nitrate and nitromethane)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 100%, colspan: 2"] Location: Oklahoma County, Oklahoma, USA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 100%, colspan: 2"] Status: Executed by lethal injection in Oklahoma on June 11, 2001[/TD]
[/TR]
[/TABLE]





KWA HIYO TUSICHAFUE AMANI YA NCHI KWA KUYAPA MTUKIO YA UHALIFU, ANUANI ZA KIDINI.

MWENYENZI MUNGU AKUWEKE MAHALI PANAPOKUSTAHILI PADRE Evarist Mushi
 
katika dini ninazozifahamu mimi Ukristo na Uislam hakuna pahala panaposema uuwe eti utakwenda peponi au kujilipuwa na kwenda peponi
katika maandiko yote yanasisitiza amani juu ya wote
Hawa wanaotumia njia za dini ili kukamilisha malengo yao ndio wanaoharibu jamii kwa kuwagawa na kufaidika na matatizo wanayopata jamii
Katika maisha niliyosoma shule hatukuwa na ubaguzi wowote wa kidini baina ya waislamu na wakristo,( bahati mbaya nilifikia darasa la saba)
 

unawea kuvaa bomu ww na umepata master juzi juzi tu.na nyumba ndo unamlazia
 
Dada white, usitoke povu sana ndio mitihani ya kidunia, labda nikuweke sawa dini ya kiislam hairuhusu kuua hata kidogo hata kama mtu huyo si muislam, mungu anatuambia ktk kitabu chetu yeyote atakaye toa roho ya mwanadam mwenzake pasina sababu za kisheria mtu huyo anahesabika kama aliyetoa roho za watu wote ulimwenguni.hili lililotokea halikubaliki hata kidogo na sivizuri kuwakusanya waislam wote na kuwaangushia mzigo huu.jina ama sehemu fulani isiwe ndio kimbilio kwa kila jambo ovu.

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Ujue kuna mda naona kama lowasa alikuwa anamcover sana kikwete ndo maana miaka ya mwanzo mambo yalimwendea vizuri sababu ya utendaji wa L,ila huyu pinda hana Say at al ni sawa na hatuna waziri mkuu,yeye kila anakoenda anajifungia tu ukumbini na watumishi waliochini yake wakati hao hao ndio wameshindwa kutatua tatizo ndio maana akaja yeye,suruhisho ni mkutano wahadhara tu TALK TO THE PEOPLE N LISTEN TO THEM na pia anaweza adabisha mtendaji hata mmoja as kafara.
 
mie umeniboa kuliko kinyesi cha barabarani !
 


MMEYAONA HAYO MANENO!!! Tatizo ni dunia itawaliwe kwa Quran na si Katiba yoyote ile.....
 
Mungu airehemu roho ya Padre Evaristi Mushi, Amen. Tanzania sasa ishakuwa Afghanstan.
 
Ndiyo tatizo la viongozi kutoa matamka kiholela uholela kwenye nchi yenye majority ya watu ambae hawaja elimika na wana maisha duni. Viongozi angalieni sana mnatoa maneno kisiasa lakini hao mnao wahubiria hayo maneno wanaya chukulia serious. Haya yote ni mazao ya uchaguzi wa 2010.
 
Sikutaka kuchangia chochote kwa hilo kwa vile nimeumia sana. Lakini kwa kejeli hii namwachia mungu si rais ndo ametufikisha hapo wacha washangilie.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…